TCRA yatoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi kuhusu usafirishaji vipeto. Wapewa muda kujisajili

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi ambazo zimekuwa zikisafirisha vipeto bila kuwa na Leseni. Wamepewa muda hadi Oktoba wawe wamejisajili la sivyo kitanuka.

TCRA ONYO.png
 
Posta ilishajifia. Naona TCRA wanajaribu kuifufua. Ukituma Posta mzigo unachukua siku tatu na zaidi, ila ukimpa konda wa basi ni siku hiyo hiyo bila usumbufu wowote.
TCRA tambueni zama zimebadilika, tafuteni vyanzo vingine vya mapato.
 
mianya ya upigaji (ukwepaji kodi) ni mingi sanaaa haiishi
 
Vipeto ndio nini? Tcra si inahusika na mambo ya masafa ya redio, tv na mitandao? Au mabasi yanafunga vyombo vya mawasiliano hayo?
 
Posta ilishajifia. Naona TCRA wanajaribu kuifufua. Ukituma Posta mzigo unachukua siku tatu na zaidi, ila ukimpa konda wa basi ni siku hiyo hiyo bila usumbufu wowote.
TCRA tambueni zama zimebadilika, tafuteni vyanzo vingine vya mapato.
TCRA wanajaribu kuifufua Posta lakini kumbukeni kuna Plan A na B. Yaani sisi tunaiamini hesabu tu,njia tofauti jibu ni Moja. Posta mzigo unafika na kwenye Mabasi mzigo unafika. Acheni tuchague wenyewe
 
Ushauri mzuri sana huu. Siwezi kupeleka parcel kwa EMS Posta halafu ifike baada ya wiki nzima wakati nina uhakika nikituma parcel hio hio leo, keshokutwa asb inakuwa ishafika Bukoba ama Ngara.
 
Wapambane kuhakikisha huduma za usafirishaji vifurushi kupitia kampuni letu la posta inaimprove na kuendana na uhalisia..
 
Kweli mkuu
 
Kabisa. Walibebe hilo km ushauri wa kuwasaidia
 
TCRA wanajaribu kuifufua Posta lakini kumbukeni kuna Plan A na B. Yaani sisi tunaiamini hesabu tu,njia tofauti jibu ni Moja. Posta mzigo unafika na kwenye Mabasi mzigo unafika. Acheni tuchague wenyewe
Kweli, mteja ndio aamue sio kumlazimisha atumie Posta. Ndugulile katumbuliwa sababu ya urasimu kama huo. Mama alisema TIC ndio iwe one stop centre yeye anapeleka Posta.
 
Issue hapo sio kulazimishwa. Suala ni kama unataka kusafirisha vipeto lazima usajiliwe na Sheria inataka hivyo tujifunze kufuata sheria...sio unajisafirishia tu mizigo bila usajili...kwanza ni hatari kwa mtumaji mizigo kutumia kampuni ambayo haina leseni.
 
Ujinga mtupu, waende kuboresha huduma zao.
 
Vipeto kama vya mahindi na viazi??
 
Back
Top Bottom