TCRA yatoa onyo kali kwa makampuni na watu binafsi wanaosambaza visimbuzi vya CANAL PLUS

TCRA yatoa onyo kali kwa makampuni na watu binafsi wanaosambaza visimbuzi vya CANAL PLUS

Its all about the Moolah....

Hii serikali ni waroho wanaotaka kuvuna na kula hata wasipopanda..., wametuminya kwenye Bundle na huku wanafanya kile kile mwisho wa siku hata hizi packages huenda ni gharama kutokana na uroho wao...

Kutokuwepo kwa TCRA huenda ni bora kuliko uwepo wao..., Totally Useless...
Hiki ndio kinawaukiza wapenda soka
 
Tupeni maelezo ya kutosha wazee wa canal,vinapatikana wapi na vifurushi vilivyo na upatikanaji wake.

Uzuri wake tofauti na hivi tunavyotumia.?
 
Back
Top Bottom