Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli akina Sanchi wanapeta tu kule instaHizi sheria huwa zinatungwa kwa kuwalenga zinawalenga watu maalumu ndiyo maana huko mitandaoni kuna watu wanaweka picha za utupu na wanajulikana ila hawakamatwi pamoja na zile sheria zao,wale wezi kwenye mitandao ya simu bado wanaendelea.
Inashangaza kweli mkuu,mwanzoni wakati inatangazwa hiyo sheria tukawa tunasema watakamatwa watu wengi kweli ila hadi sasa kuna watu wanaweka picha ajabu hata huyo Sanchi ana afadhali.Kweli akina Sanchi wanapeta tu kule insta
Sheria ya umiliki wa laini moja ya simu kwa kila mtandao imeanza kutumika leo Julai Mosi 2020 ambapo ndio siku ya kwanza ya mwaka wa fedha wa serikali.
Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja, isipokuwa atalazimika kutolea ufafanuzi laini ya ziada, na kwamba lengo la sheria hiyo ni kudhibiti umiliki holela wa laini za simu na kudhibiti uhalifu.
“Kuna wengine wanasajili [laini zaidi ya moja] kwa ajili ya matumizi ya biashara au majumbani, hivyo huwezi kuwafunga kwa kuwaambia wamiliki laini moja,” amenukuliwa Msemaji wa TCRA, Semu Mwakyanjala wakati akizungumza na Gazeti la Mwananchi.
Kifungu cha 18 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, sheria ya usajili wa laini za simu ya mwaka 2020 inaeleza kuwa mtu anatakiwa kumiliki laini moja ya simu kwa mtandao kwa ajili ya matumizi ya kupiga, kutuma jumbe na huduma za intaneti.
Sheria hiyo inaeleza kuwa mtu atakayemiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao kinyume cha sheria atatozwa faini ya TZS 5 milioni au kifungo jela kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja.
Na katika kila siku ambayo laini ya ziada ilitumika mhusika atalipa faini ya TZS 75,000 kwa siku.
Aidha, sheria hairuhusu kampuni kumiliki laini zaidi ya 30 ambazo zitatumika katika kupiga, kutuma jumba au huduma ya intaneti. Endapo kampuni itakiuka sheria hiyo, itatozwa faini isiyopungua TZS 50 milioni pamoja na TZS 175,000 kwa kila siku ambayo laini za/ya ziada ilitumika.
Wananchi kupitia mitandao ya kijamii wameonekana kuilalamikia sheria hiyo ambayo baadhi wamedai kuwa inaminya uhuru wao.
Pia soma > Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020
Mimi nauliza tu je nani anapoteza kwenye hili, naona kama serikali inapoteza mapato ambayo yalikua yanachangiwa sana na hizo line wanazosema hazina ulazimaSheria ya umiliki wa laini moja ya simu kwa kila mtandao imeanza kutumika leo Julai Mosi 2020 ambapo ndio siku ya kwanza ya mwaka wa fedha wa serikali.
Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja, isipokuwa atalazimika kutolea ufafanuzi laini ya ziada, na kwamba lengo la sheria hiyo ni kudhibiti umiliki holela wa laini za simu na kudhibiti uhalifu.
“Kuna wengine wanasajili [laini zaidi ya moja] kwa ajili ya matumizi ya biashara au majumbani, hivyo huwezi kuwafunga kwa kuwaambia wamiliki laini moja,” amenukuliwa Msemaji wa TCRA, Semu Mwakyanjala wakati akizungumza na Gazeti la Mwananchi.
Kifungu cha 18 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, sheria ya usajili wa laini za simu ya mwaka 2020 inaeleza kuwa mtu anatakiwa kumiliki laini moja ya simu kwa mtandao kwa ajili ya matumizi ya kupiga, kutuma jumbe na huduma za intaneti.
Sheria hiyo inaeleza kuwa mtu atakayemiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao kinyume cha sheria atatozwa faini ya TZS 5 milioni au kifungo jela kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja.
Na katika kila siku ambayo laini ya ziada ilitumika mhusika atalipa faini ya TZS 75,000 kwa siku.
Aidha, sheria hairuhusu kampuni kumiliki laini zaidi ya 30 ambazo zitatumika katika kupiga, kutuma jumba au huduma ya intaneti. Endapo kampuni itakiuka sheria hiyo, itatozwa faini isiyopungua TZS 50 milioni pamoja na TZS 175,000 kwa kila siku ambayo laini za/ya ziada ilitumika.
Wananchi kupitia mitandao ya kijamii wameonekana kuilalamikia sheria hiyo ambayo baadhi wamedai kuwa inaminya uhuru wao.
Pia soma > Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020
piga "Call Centre" number ya mtandao husika watakupa mwongozo."Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja, isipokuwa atalazimika kutolea ufafanuzi laini ya ziada".
Hayo maelezo unaenda kuyatolea wapi?Tcra/police/kwny Co. Ya simu husika au?
piga "Call Centre" number ya mtandao husika watakupa mwongozo.
mimi nilifanya hivo juzi.
Ulipewa mwongozo gani?piga "Call Centre" number ya mtandao husika watakupa mwongozo.
mimi nilifanya hivo juzi.
Nadhani kwa mwenyekiti wa mtaa wako unapoishi"Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja, isipokuwa atalazimika kutolea ufafanuzi laini ya ziada".
Hayo maelezo unaenda kuyatolea wapi?Tcra/police/kwny Co. Ya simu husika au?
Umeshaambiwa tcra,,,uzuri siku hizi wana matawi kila kona ya nchiHizo fomu za kujaza matumizi ya kuwa na laini zaidi ya moja zinapatikana wapi?
... Sanchi Instagram tena? Si juzi kati alisilimu huyu na kuachana mambo ya ku-post mipicha kwenye mitandao? Umekosea Mkuu.Kweli akina Sanchi wanapeta tu kule insta
Sijamfatilia hivi karibuni.. Kama kaacha basi ni kheri!!... Sanchi Instagram tena? Si juzi kati alisilimu huyu na kuachana mambo ya ku-post mipicha kwenye mitandao? Umekosea Mkuu.
piga "Call Centre" number ya mtandao husika watakupa mwongozo.
mimi nilifanya hivo juzi.
Sheria ya umiliki wa laini moja ya simu kwa kila mtandao imeanza kutumika leo Julai Mosi 2020 ambapo ndio siku ya kwanza ya mwaka wa fedha wa serikali.
Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja, isipokuwa atalazimika kutolea ufafanuzi laini ya ziada, na kwamba lengo la sheria hiyo ni kudhibiti umiliki holela wa laini za simu na kudhibiti uhalifu.
“Kuna wengine wanasajili [laini zaidi ya moja] kwa ajili ya matumizi ya biashara au majumbani, hivyo huwezi kuwafunga kwa kuwaambia wamiliki laini moja,” amenukuliwa Msemaji wa TCRA, Semu Mwakyanjala wakati akizungumza na Gazeti la Mwananchi.
Kifungu cha 18 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, sheria ya usajili wa laini za simu ya mwaka 2020 inaeleza kuwa mtu anatakiwa kumiliki laini moja ya simu kwa mtandao kwa ajili ya matumizi ya kupiga, kutuma jumbe na huduma za intaneti.
Sheria hiyo inaeleza kuwa mtu atakayemiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao kinyume cha sheria atatozwa faini ya TZS 5 milioni au kifungo jela kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja.
Na katika kila siku ambayo laini ya ziada ilitumika mhusika atalipa faini ya TZS 75,000 kwa siku.
Aidha, sheria hairuhusu kampuni kumiliki laini zaidi ya 30 ambazo zitatumika katika kupiga, kutuma jumba au huduma ya intaneti. Endapo kampuni itakiuka sheria hiyo, itatozwa faini isiyopungua TZS 50 milioni pamoja na TZS 175,000 kwa kila siku ambayo laini za/ya ziada ilitumika.
Wananchi kupitia mitandao ya kijamii wameonekana kuilalamikia sheria hiyo ambayo baadhi wamedai kuwa inaminya uhuru wao.
Pia soma > Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020
Unaweza sajili laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja kwa alama za vidole?Kama nimesajili kwa alama za vidole na kwa kitambulisho cha nida shida iko wapi?
Kwani hata kama ninazo tano ili mradi ninazitumia Mimi shida iko wapi?
Kama point ni kuzuia uhalifu si tayari wanajua ni laini yangu hvyo watanitafuta mm niliyesajili.
Tusipangiane matumizi kiasi hichi.
.eti nitolee ufafanuzi wa matumizi.
Haya line Moja ni ya ofisi na line ya pili ni ya familia na jamaa wa karibu, line ya tatu ni kwa ajili ya marafiki na madem zangu mbali mbali line ya NNE ni kwa ajili ya matumizi ya bando tu.