TCRA yatolea ufafanuzi sheria ya umiliki wa laini moja iliyoanza kutumika leo

Nawapongeza TCRA kwa kufata sheria ila nawalaumu sana wasomi wetu wenye PhD bungeni kwa kupitisha hichi kitanzi kwa wananchi.

Nahisi wali download file Google's bila kuedit likawa sheria
 
Duh..nilikuwa sijui, na kampuni za simu zilikuwa nikiruhusu vipi usajili wa aina hiyo wakati wakijua wazi kwamba sheria ilishatungwa na hairuhusu muda wake ukifika? tatizo ni kubwa sana, mitaani mawakala wanasajili mamia ya lines kwa namba zao za nida nadhani hao ndo wanaolengwa.
 
unategemea nn kutoka bunge dhaifu...full of vilazaz!.
 
Nawapongeza TCRA kwa kufata sheria ila nawalaumu sana wasomi wetu wenye PhD bungeni kwa kupitisha hichi kitanzi kwa wananchi.

Nahisi wali download file Google's bila kuedit likawa sheria
Hivi kabla ya kuandaa hivi vitu kwanini huwa hawashirikishi wananchi kwanza.
 
... yaani kila mwaka haya majamaa lazima yapigishe watanzania foleni hadi inakera! Ndani ya miaka hii mitano hatujawahi kupumua mifoleni yahusianayo na simu/SIM card!

Kwamba leo ndio kwanza umeona sheria ya aina hii ilipitishwa na Bunge sio wewe tu; tuko wengi mimi ni juzi (3 days ago) niliona kwa mara ya kwanza humu humu JF. You know why? Bunge la gizani ndio matokeo yake haya.
 
Mambo mengine anayoangaika nayo huyo msukuma wetu ni ya ovyo sana
 
hii sharia imepitishwa na ile mi bwenyenye ya CCM ambayo kazi yao kubwa kule mjengoni ni kusema ndiyoooooo kwa kila muswaada wanaopelekewa bila hata kujua kilichomo na madhara yake
 
Hivi kabla ya kuandaa hivi vitu kwanini huwa hawashirikishi wananchi kwanza.
... pia hayo ndio matokeo ya Bunge la gizani! Wananchi wangeshakuwa aware muda mrefu sana tangu mijadala ikiendelea Bungeni bahati mbaya ndio hivyo tena mambo gizani sijui kwa faida ya nani.
 
Sheria saafi sana, ninafikiri ILE ELA TUMA KWENYE NAMBA HII itaelekea kupungua au kufa kabisa
 
...
Mimi nilikua na laini ya Airtel kabla sijaajiriwa Coca-Cola. Au nahitaji laini ya Airtel kwa matumizi yangu binafsi sio ya kampuni.
... kama maelezo yenyewe ni ya kijinga hivyo ya nini kusumbua wananchi? Kuna ambaye atamiliki zaidi ya laini moja bila kuwa na sababu? Wanadhani mwenye kumiliki zaidi ya laini moja kwa nia ovu atatoa maelezo yanayoonesha nia yake ovu? Always, atatoa maelezo mazuri tu.

La muhimu, kwa kuwa line zimesajiliwa kwa fingerprints basi kila mtu awajibike endapo line yake itatumika ndivyo sivyo! Na la muhimu zaidi ni kuendlea kutoa awareness na kuwapa wananchi provision ya nini cha kufanya tena bila usumbufu usio wa lazima (kama sijui kwenda kuripoti polisi) pale wanapopoteza simu na situations kama hizo.

Teknolojia itumike kurahisisha maisha sio kuwatwisha wananchi mizigo isiyo ya lazima!
 
Sheria saafi sana, ninafikiri ILE ELA TUMA KWENYE NAMBA HII itaelekea kupungua au kufa kabisa
... kwanini hao TCRA waruhusu namba zisizosajiliwa kutumika? Kama zimesajiliwa, kwanini wahusika wanaotuma hizo sms wasikamatwe?
 
Kwahiyo watu wote wakapange foleni tcra tena kujaza fomu ?
Dah tunarudi kulekule tulikotoka NIDA watawala wa nchi hii ni watu waajabu sana, na usishangae ukajaza fomu majibu yakarudi 2022 kwamba ombi lako limekubaliwa
 
Mwezi ulopita nilisajili laini wakala akajisajili mbili kiujanja ujanja.. kwaio izi sheria za kipuuzi kama izi zitaumiza wasiokua na hatia
 
... pia hayo ndio matokeo ya Bunge la gizani! Wananchi wangeshakuwa aware muda mrefu sana tangu mijadala ikiendelea Bungeni bahati mbaya ndio hivyo tena mambo gizani sijui kwa faida ya nani.
Serikali nzuri inayoshirikisha wananchi kila hatua sio Bora liende
 
Serikali inajikosesha kodi hivi hivi mwishowe mtasema tuwe na laini za ttcl tuu
 
Tawi la chama lililo karibu nawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…