Kilele9
JF-Expert Member
- Jun 1, 2017
- 1,452
- 1,093
Bodaboda!
Si ajabu kama umefunga GPS au car tracker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodaboda!
TCRA. fanyeni mambo yenu kama Wasomi na Wataalam,kwa sheria yenu haina weledi kwa watanzania.
Licha ya kusajili lain kwanjia ya vidole kama njia salam ya kuzuia uhalifu bado uhalifu kwa njia ya mtandao unaendelea. Inaonesha mnafanya mambo kishamba sana kama sio kukurupuka na kutumia hisia kuliko akili.
Sijui hata hii sheria ilipita lini asee?,Wakati tunaanza usajili hawakututangazi hilo la kutoa ufafanuzi na kwanani, anyway sheria hii ilipitishwa na wabunge wa CCM bila kuhoji.
Naomba kueleweshwa hiyo 75,000
Zimefanyaje Sasa? Umezidi kunichanganyaelfu 1 elfu 1 ziwe 75 au elfu 5 ziwe 15
Zimefanyaje Sasa? Umezidi kunichanganya
Aisee inashangaza Sana. Kwa muktadha huu wajiandae kuwafunga watanzania wote maana karibia kila mtz ana miliki line zaidi ya 1JoJiPoJi,
Ni aibu kwa TCRA kutoa majibu mepesi hivi. Wanatakiwa watueleze utaratibu wa kumiliki laini zaidi ya moja unafanyikaje.
Kama ni barua kwenda TCRA basi watoe template tujaze online na hard copy maisha yaendeleee.
Kitu kidogo ila wanafanya linakuwa jambo kubwaaa kutuvuruga wananchi.
I'm sure hata wabunge wa CCM waliopitisha huu wehu nao hawana habari na kitanzi walichojisetia.
Naam nikweli inashangaza sana.Hizi sheria huwa zinatungwa kwa kuwalenga zinawalenga watu maalumu ndiyo maana huko mitandaoni kuna watu wanaweka picha za utupu na wanajulikana ila hawakamatwi pamoja na zile sheria zao,wale wezi kwenye mitandao ya simu bado wanaendelea.
ImagineKweli akina Sanchi wanapeta tu kule insta
Nalipa Mara Moja au kila baada ya muda gani?utalipishwa kuanzia juzi July 1 km unamiliki 2 sim lines of the same network operator!