Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Kigezo kiwe ni English Language Mastery..
Mtu ana magpa yote lakini kujieleza kwa English hawezi..
Ujingaa.
 
Teuzi = 6M + Teuzi scale

Prof 6M

Associate Prof 4M+

Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!

Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!

Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.

TA 1.7,
Ukiwa na master 2.6
Associate Prof 3.8
Prof 5M-6M
Dats why wanalekebisha scale vyuo vyote vifanane mishahara maana mkufunzi wa UDSM ayuko sawa kimshahara na mkufunzi wa CBE, MoCU, IFM, Mzumbe,SUA,SAUTI,TIA


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kufundisha siyo shida ila shida ni kufundisha na ukaeleweka.
 
He vipi kuhusu matokeo yake ya interview ? Assume interview amefaulu sana
 
St jon
St John's sio Catholic
 
St jon

St John's sio Catholic
Nifahamu vyema mkuu hao ni wa Angelicana ila nilimjibu kutokna na yeye alivyojibu kwa kujumuisha vyuo vya parokia bila kujua kuna Warumi humo ndani, ambao ndio wamekuwa kitovu cha elimu bora humu nchini kabla na baada ya uhuru.
 
Kila Profesa anaenda kuajiliwa alipwe mshahara, who will do researches and come up with solutions of some problems we have . Sikatai Profesa kuajiliwa ninachokataa ni Profesa kuendelea kufundisha mpaka anakufa akilipwa 6M na sio kufundisha iwe ziada bali hizo departments kwenye vyuo vikuu ziwe centres of researches kuanzia engineering mpaka Law kuwe na maresearch kila kukicha na hata wanafunzi wa hawa maprofesa wajengwe kwenye misingi ya kutafuta solutions za matatizo ya dunia na si kusoma tu kama makasuku..
 
Hakuna kitu hawa waswahili. Ni mambumbumbu ajabu!

Si ajabu ni sababu serikali inaajiri wakandarasi kutoka china!

Hata barabara ya vumbi hawawezi kutengeneza hawa!

Ukimkabidhi kutengeneza barabara utajuta! Ni mabonde na nyufa za uhakika!

Ukimuuliza utasikia oohh unajua nimesoma physics, nina masters mbili... ohh unajuaa hii ni ze expansion of nondo.... ze soil pressure......udongo unaexpandi... ze air is going through zea zea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uzuri humu JF hakuna mwenye chini ya upper second. woooote mpo vizuri. nadhani umenielewa
Nikuelekeze chuo nilichisoma ukaulizie? Au nikutumie script ya mayokeo?

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Hoja yako ina mashiko,sema pia kumbuka mara nyingi kila chuo kimekua na desturi ya kuajiri watu waliopitia kwenye vyuo vyao.NB:Connection pia ina uzito mkubwa
 
TEKU alumni huoni tofaut bado?
Weweeee...sikilizaa.... mimi sijasoma hizo shule zenu uchwara!

Kwanza hapo Tanganyika mna chuo kikuu ninyi? au "extended high schools"?

Mimi nimesoma kweli kweli. Nimesoma kila taaluma iliyopo chini ya hili jua!

Sibabaiki na hizo GPA zenu za kubangaiza za High school!

Ohhhhh ati nimesoma chuo kikuu! Chuo kikuu ukikiona utakijua wewe ngumbaru wa Tanganyika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hapo Tanganyika mna chuo kikuu ninyi? au "extended high schools"?

Mimi nimesoma kweli kweli. Nimesoma kila taaluma iliyopo chini ya hili jua!

Sibabaiki na hizo GPA zenu za kubangaiza za High school!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza mpenyo Upewe kazi hapo hapo TEKU maana wanyaki mmejazana hapo kila Kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…