The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Sema kibobongo opportunity Ni chache kwa hiyo sio mbaya kwa kuwa watu wengine wanategemea kusoma ili watoke kimaishani kweli inasikitisha sana ukilinganisha na miaka aliyopoteza,wakati kuna watu hawajasoma hata masters wanapata zaidi ya hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajapoteza chochote kwanza anasomeshwa bure na wengi wanatafutiwa Scholarshipsβs huko duniani anaongeza exposure yeye mwenyewe kimaisha
Wewe sema GPA ilipita kushoto πππ
GPA ya CBE si sawa na ya UDSMNakumbuka kuna uzi hapa tulipambana kwelikweli kuhusu hivi vigezo vya juu vya kufundisha chuo.... Tuliwasema sana...kwamba vigezo vya juu viliwekwaa kwaajili ya ukilitimbaa... Naona wamerekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi ?GPA ya CBE si sawa na ya UDSM
Unakaribishwa mkuu ,karibu sanaa .Utakuwa na kipaji cha ajabu ila nitamuuliza Rector wako Inaonesha mitihani DMI inavuja
Wacha wajidanganye, mafanikio hayaji kwa njia moja..eti mwalimu wa chuo kikuu ana njaa na hawez jenga..mtu analipwa 3m eti hela ndogo wakati mwalimu wa sekondari anajenga! Jamaa wanapata hela nzr, ila kila mtu ana matumizi yake binafsi. Nafundsha chuo cha private ambapo salary si kubwa kama vyuo vya serikali, lakini still nimefanya mambo yangu yoote ya msingi na sina njaa...Ndio kimbilio lenu kila siku.
Kila mnapotaka kuelezea kuwa mtu unaweza kutoboa bila kupiga sana shule na kuajiriwa wote mnakimbilia kumtolea mfano Diamond Platnumz.
Kuna wadau juzi waliuliza hapa bongo kuna akina Diamond wangapi?
Tunachoangalia kumbe hata hicho chuo cha kati kinauwezo wa kutoa degree? Ambayo haipatikani chuo chochote kile Tanzania.halafu muache ulimbukeni wa kuangalia majina ya vyuo angalie hao wanaotoka hapo wana impact gani kwa taifa,kingine nitajie chuo kingine tanzania kinachotoa kozi ya Bachelor degree in marine engineering.DMI Ni Chuo Cha Kati SI chuo kikuu GPA za kuokota Kama cbe
Sisi watanzania wengi wetu tuna mawazo negative yaani mtu anaongea kitu ili ajifariji na kukuweka wewe kundi moja na waoWacha wajidanganye, mafanikio hayaji kwa njia moja..eti mwalimu wa chuo kikuu ana njaa na hawez jenga..mtu analipwa 3m eti hela ndogo wakati mwalimu wa sekondari anajenga! Jamaa wanapata hela nzr, ila kila mtu ana matumizi yake binafsi. Nafundsha chuo cha private ambapo salary si kubwa kama vyuo vya serikali, lakini still nimefanya mambo yangu yoote ya msingi na sina njaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kwamba katika hizo module alizopata A kuna practical pia,hivi hizo akili huwa mnatolea wapi? Kwamba mtu akipata GPA kubwa yupo good theory na sio practical?Mbona.kila kitu ni connection wakuu..hapa napo inabidi..wa recruit watu wanye ..akili za practical cio kuangalia ukubwa wa GPA..kwenye karatasi..[emoji16][emoji16][emoji16]
Nawasilisha hoja...
Mkuu vipi? Hapo mlimani wanatoa kozi ya Bachelor in marine engineering? Au kelele tu? Na vipi umetoka na ngapi at the end?Chuo Pekee kinakubali hiyo qualifications yako ni hicho hicho DMI au ZOOM kule SUA na UDSM wata-equate hiyo Unayoita Degree sawa Na Ordinary Diploma.
Inachekesha sana, mwalimu wa primary anajenga, wa chuo kikuu hawezi hamna hela, wakati Tuitorial anaondoka na take home 1.2m...je mwenye masters na kuendelea! Wabongo bana,Sisi watanzania wengi wetu tuna mawazo negative yaani mtu anaongea kitu ili ajifariji na kukuweka wewe kundi moja na wao
always !
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ wengi wanajifariji kupitia maumivu na mateso ya mtu very sadistic! Ila ndo binadamu tulivyo mkuu.Inachekesha sana, mwalimu wa primary anajenga, wa chuo kikuu hawezi hamna hela, wakati Tuitorial anaondoka na take home 1.2m...je mwenye masters na kuendelea! Wabongo bana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hii mishahara mboba sio mikubwa kivile ukilinganisha na Private maana serikali hawabadili scale yako ya mshahara haraka haraka maana katika kuhangaika niliwahi fanya interview ILO mshahara ulikua 7m na hakuna kukatwa kodi walikua wanataka 2 years experience na Bachelor tu..sema sikuwahi kuipata
Mkuu kama unapenda UN unaenda kwenye google unaitwa inspira ukigoogle tu itatokea utajiregisterMkuu naomba niende nje ya mada kidogo na naomba tujadili hizi ajira za jumuia za kimataifa... Huwa zinatolewa kwa mfumo upi ? What is their (international institutions or agencies) recruitment behavior ?
Ili kutunza muktadha wa huu uzi, niko tayari kuja PM tujadili hili au vinginevyo mwaga maarifa hapa hapa ili wengi wanufaike...
Mkuu kama unapenda UN unaenda kwenye google unaitwa inspira ukigoogle tu itatokea utajiregister
Ila hizi jumuiya zingine mfano ILO mimi hua nafunguaga website zao wenyewe naangalia kama kuna kazi au la DFID, British High Commission, Canada High Commission wao mfumo wao unaitwa wfca ukigoogle tu inakuja yenyewe..kwa kifupi nilikua na hobby ya kutafuta kazi nilikuaga natumia tayoa, zoomtanzania na kazibongo.blogspot(sema hizi mbili zimekua chenga kutafuta kazi) kuna mashirika kama UNHCR yale maranyingi watu hua wananitumia job posts
Chuo ulichosoma kina-matter mno Mkuu,. Ulishawahi kukutana na Graduates wa UDOM, MUM na TUDAKOO?Ni rahisi tu wakati nikiwa kwenye taasisi fulani vetting tuliyokuwa tukiwafanyia new recruits ilikuwa ni kufananisha matokeo yake ya O&A level vs ya chuo then tuna mregard au disregard....kama chuo una 4.0 na o level una III A level III wewe mojakwamoja wahega
Sent using Jamii Forums mobile app
Utabaki na ndoto nduguNashukuru mkuu... nina ndoto ya kufanya kazi huko hasa kwenye kada za kilimo na chakula (FAO, WFP), mazingira (UNEP) sayansi, uhifadhi na tafiti...
Wacha niwe napitapita kwenye websites zao kama ulivyoshauri...
Asante sana
Kuna baadhi ya vyuo Joshua maksi zinagawiwa kama karanga za kijiweniChuo ulichosoma kina-matter mno Mkuu,. Ulishawahi kukutana na Graduates wa UDOM, MUM na TUDAKOO?