JaphetJacob
Senior Member
- Dec 11, 2015
- 106
- 121
Kabisa mkuuTeuzi = 6M + Teuzi scale
Prof 6M
Associate Prof 4M+
Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!
Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!
Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
Huku shughuli zinaenda poa na tumeazimia kuwanyima lile fungu la kusapoti elimu kwa kuwa tumenusa harufu ya ubadhirifu wa mipunga anaofanya jiwe na vibaraka wake 🤣🤣🤣🤣Okay. Vip mnaendeleaje hapo World Bank
Patamu sana yani, na kama umejaliwa kichwa cha class dah unapepeya within a few years uko mbali.Kabisa mkuu
Mwenye Masters anayeanza 2.5M
Ukiongeza PhD unaanza na 3.2M
Sindio mkuu 🤣🤣🤣 sema inanisaidia kitaa hata nikiuza vitumbua nauza kwa Principle za Kotler.Marketing n Enterpreneurship kwa wavaa mitumba
Kama lab hazikidhi vigezo sasa si chuo cha kijiji tu hicho ??? Tusidanganyane elimu yetu ni ile ile ya kukariri finally kuwa dependent on employmentImpact bila funding? Kwa labs zipi? TEKU mmegundua nn mpaka Sasa?
vipi kuhusu college inabaki 3.5 au wameshusha pia...?TCU imetoa third edition ambayo imekuja na mabadiliko mengi
Moja ya hayo ni kubadili kigezo cha kufundisha kuwa 3.5 kwa undergraduate badala ya 3.8 kwa vyuo vya serikali kama ilivyokua awali lakini 4.0 kwa Masters imeendelea kua ileile
Hii itatoa fursa kwa wanataaluma wenye sifa kupata nafasi na kupunguza uhaba wa wahadhiri vyuoni kutokana na kigezo cha awali
Sasa vijana mlioko vyuoni kazi kwenu pigeni ma GPA mkapige mpunga baada mteuliwe 😂
Inabaki ile ile 3.5 mzeevipi kuhusu college inabaki 3.5 au wameshusha pia...?
Kwa huo mshahara inakua rahisi kukopesheka pia mzeePatamu sana yani, na kama umejaliwa kichwa cha class dah unapepeya within a few years uko mbali.
Elimu yetu imeshakuwa siasa. Tukifanya masihara tutazidi kuivuruga Elimu yetu alafu tuanze kutafuta mchawi nani?TCU imetoa third edition ambayo imekuja na mabadiliko mengi
Moja ya hayo ni kubadili kigezo cha kufundisha kuwa 3.5 kwa undergraduate badala ya 3.8 kwa vyuo vya serikali kama ilivyokua awali lakini 4.0 kwa Masters imeendelea kua ileile
Hii itatoa fursa kwa wanataaluma wenye sifa kupata nafasi na kupunguza uhaba wa wahadhiri vyuoni kutokana na kigezo cha awali
Sasa vijana mlioko vyuoni kazi kwenu pigeni ma GPA mkapige mpunga baada mteuliwe 😂
Hivi na private wanalipa sawa na serikali au wao wanaongeza mkuu??Teuzi = 6M + Teuzi scale
Prof 6M
Associate Prof 4M+
Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!
Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!
Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
Ukiwa mtamu kwenye kuandaa Projects ndio kabisa! Wewe unakuwa hazina kwa chuo na mipunga ni ya chap!Kwa huo mshahara inakua rahisi kukopesheka pia mzee
Na bado maresearch na shughuli nyingne za Chuo kunalipa
Lakini hii mishahara mboba sio mikubwa kivile ukilinganisha na Private maana serikali hawabadili scale yako ya mshahara haraka haraka maana katika kuhangaika niliwahi fanya interview ILO mshahara ulikua 7m na hakuna kukatwa kodi walikua wanataka 2 years experience na Bachelor tu..sema sikuwahi kuipataKabisa mkuu
Mwenye Masters anayeanza 2.5M
Ukiongeza PhD unaanza na 3.2M
Ukipewa connection alafu ukawa kilaza huko darasani si utahaibika wakati wa akushusha material?Hata hivyo kuna watu wana 3.6, 3.7 undergraduate na wameajiriwa kwenye hivyo vyuo vyako connection inamatter pia☹☹
Lakini huko mtaani siyo wote mnapata hiyo 3 m ndani ya wiki kuna wanaosota miezi mi 3 hawajaipata na ni PhD holderWatu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha