Lakini hii mishahara mboba sio mikubwa kivile ukilinganisha na Private maana serikali hawabadili scale yako ya mshahara haraka haraka maana katika kuhangaika niliwahi fanya interview ILO mshahara ulikua 7m na hakuna kukatwa kodi walikua wanataka 2 years experience na Bachelor tu..sema sikuwahi kuipata
Ni kweli ila wakiweka hizo minimum zao wawe wanaangalia na grade. Kwa wale tuliosoma kwa Warumi enzi hizo wataelewa ninachomaanisha.Back to maada,hizo GPA ni minimum. Vyuo vina haki ya kuweka minimum zao.
Mishahara siyo mikubwa kivile. Sema labda ni mtu anaona anapata value. Kufundisha chuo si unajua lazima uwe kichwa. Wanaopiga pesa ni wale wenye vyeo kwenye vitengo. Si unajua kupata kipato nje ya mshahara.Wahadhiri wengi salary ndogo ndio Mana wanakimbilia siasa wakati waliopo kwenye mashirika mwenye bachelor ana salary kubwa kuliko wao, pia kwa Tanzania wahadhiri wengi Hadi ma Prof wengi Hawa publish kazi zao kwenye journal za kimataifa sijui wanakwama wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu JF wote mambo safi. Kasoro mie nimeishia la saba B.uzuri humu JF hakuna mwenye chini ya upper second. woooote mpo vizuri. nadhani umenielewa
Wewe kipanga. Mtebe alikufundisha ?Afadhali nimepata kazi nina 4.8 ya cmputer science Udsm
Mishahara siyo mikubwa kivile. Sema labda ni mtu anaona anapata value. Kufundisha chuo si unajua lazima uwe kichwa. Wanaopiga pesa ni wale wenye vyeo kwenye vitengo. Si unajua kupata kipato nje ya mshahara.
Ndo maana wakistaafu huwa wanaomba kuongezewa mikataba. Mbaya zaidi wanaoishi kwenye nyumba za chuo ndo wanabweteka kabisa. Maproph wengi wakifariki wengine wazee kabisa. Mkienda kuzika wengine hata nyumba hawajamaliza. Baadae familia inatakiwa ihame kwenye nyumba ya chuo. 😥Wao wanapenda title za kuwa lecturer wa chuo huku njaa Kali huko ni wastage of time.Mbaya zaidi wengine wanazeekea kwenye hyo kazi karibia 70 na kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe una data. 👍Fredo Fred,
TA aliyesoma miaka mitatu na mitano si huwa wana scale tofauti ?
Vyuo vya umma (Tanzania) kama chuo kikuu cha Dar es Salaam unalipwa kuanzia viwango vifuatavyo kabla ya makato;
Tutorial Assistant (Mkufunzi Msaidizi)
Shahada ya miaka mitatu - Tshs. 1.6 MShahada ya miaka minne - Tshs. 1.7 MShahada ya miaka mitano - Tshs. 1.8 M
Assistant Lecturer (Mhadhiri Msaidizi)
Elimu ya umahiri/uzamili(Masters degree) - Tshs. 2.5 M ~ 2.7 M
Lecturer (Mhadhiri)
Elimu ya uzamivu (Doctor of Philosophy, Ph.D) - Tshs. 3.2 M ~ 3.5 M
Senior Lecturer (Mhadhiri Mwandamizi)
Elimu (Ph.D) plus teaching, publications & consultations above 5.0 points academic rating - Tshs. 3.6 M ~ 3.8 M
Associate Professor (Profesa Mshiriki)
Above 7.5 points - Tshs. 4.0 M ~ 4.5 M
Full Professor (Profesa Kamili)
Above 8.5 points - Tshs. 4.5 M ~ 5.0 M
Teaching kila mtu hupewa 2.0 points, Utofauti huja ktk publications na ndipo pana points nyingi sana. Ukiwa na kichwa kizuri kama una-publish ktk international journals unapanda faster.
Watu pekee wanaolipwa zaidi ya Tshs. 6 M ni Administrative post kama makamu mkuu wa chuo na wale manaibu wake (taaluma, utafiti na utawala) na mwanasheria mkuu wa chuo.
Wengine kama wakuu wa idara na principals/deans huwa inaongezeka kuanzia Tshs. 400,000 ~ 1 M kulingana ngazi uliyokuwepo mpaka ulipopanda. Cheo cha chini ni ukuu wa idara cha juu ni principal/dean.
asanteFredo Fred,
TA aliyesoma miaka mitatu na mitano si huwa wana scale tofauti ?
Vyuo vya umma (Tanzania) kama chuo kikuu cha Dar es Salaam unalipwa kuanzia viwango vifuatavyo kabla ya makato;
Tutorial Assistant (Mkufunzi Msaidizi)
Shahada ya miaka mitatu - Tshs. 1.6 MShahada ya miaka minne - Tshs. 1.7 MShahada ya miaka mitano - Tshs. 1.8 M
Assistant Lecturer (Mhadhiri Msaidizi)
Elimu ya umahiri/uzamili(Masters degree) - Tshs. 2.5 M ~ 2.7 M
Lecturer (Mhadhiri)
Elimu ya uzamivu (Doctor of Philosophy, Ph.D) - Tshs. 3.2 M ~ 3.5 M
Senior Lecturer (Mhadhiri Mwandamizi)
Elimu (Ph.D) plus teaching, publications & consultations above 5.0 points academic rating - Tshs. 3.6 M ~ 3.8 M
Associate Professor (Profesa Mshiriki)
Above 7.5 points - Tshs. 4.0 M ~ 4.5 M
Full Professor (Profesa Kamili)
Above 8.5 points - Tshs. 4.5 M ~ 5.0 M
Teaching kila mtu hupewa 2.0 points, Utofauti huja ktk publications na ndipo pana points nyingi sana. Ukiwa na kichwa kizuri kama una-publish ktk international journals unapanda faster. Unaweza kuwa profesa kamili na miaka 31 tu ukiwa mjanja.
Watu pekee wanaolipwa zaidi ya Tshs. 6 M ni Administrative post kama makamu mkuu wa chuo na wale manaibu wake (taaluma, utafiti na utawala) na mwanasheria mkuu wa chuo.
Wengine kama wakuu wa idara na principals/deans huwa inaongezeka kuanzia Tshs. 400,000 ~ 1 M kulingana ngazi uliyokuwepo mpaka ulipopanda. Cheo cha chini ni ukuu wa idara cha juu ni principal/dean.
Mishahara ya chuo kikuu cha Dar es Salaam inafanana sana na ya benki kuu (BoT). From Junior level to principal officer level mpaka managers & directors except for executives (gavana na manaibu wake).
Hakuna chuo cha serikali hata kimoja waanachukua 3.5, hiyo ilikua kwa private tu na ndio msingi wa kuhamornise, lakin bado vyuo vya serikali vimebaki hapo hapo na 3.8...with time mambo yatakaa sawa tuHiyo kwa Vyuo vya kata mbona kawaida 3.5 kitamboo. Pale UD, MUHAS na SUA mziki bado 3.8
Hutakiwi hata kusoma kichwa cha habari mkuu, 3 years seriously wasted!Mwenye GPA za 1.9 tupite mbali na uzi huu.
Cha muhimu cheti😂😂Hutakiwi hata kusoma kichwa cha habari mkuu, 3 years seriously wasted!