Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Wewe mwenye GPA ya 4+ tambua issue sio hiyo GPA yako bali issue ni how competent you are kwenye hicho ulichosomea.. Una GPA ya 4+ unafanya kazi ambayo mwenye diploma anafanya with the same standard as you.. Cha msingi lazima tutambue Mfumo wetu wa shule hauko sawa hivyo GPA kubwa tafsiri yake ni uwezo wako mkubwa kwenye kukalili..

Sidhani kama hata wahitimu wengi wanafahamu maana ya degree na kazi ya mwenye degree ni ipi?? kutofautisha na wengine wenye certificate na diploma..
 
Sana tu huyu sita msahau lakini pia material ya online yalinibeba hasa ya Havard na oxford nilikuwa silali nasakua usiku kucha
Hongera sana penye nia pana njia. Hope ulibaki kufundisha chuo.
 
Teuzi = 6M + Teuzi scale

Prof 6M

Associate Prof 4M+

Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!

Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!

Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
Hii nchi ni Siasa na Biashara tu na unaweza toboa maisha sasa Professor kama Maganda anadai katolewa jalalani bado unatuaminisha kuna ulaji huko angalia uso wake na dress code yake wakati yupo mlimani na sasa ivi unafikiri suit anazopigilia sasa ivi angezivaa akiwa mlimani
 
Mishahara siyo mikubwa kivile. Sema labda ni mtu anaona anapata value. Kufundisha chuo si unajua lazima uwe kichwa. Wanaopiga pesa ni wale wenye vyeo kwenye vitengo. Si unajua kupata kipato nje ya mshahara.
Value inaletwa na hela tu sio kuwa eti kwa vile unafundisha chuo basi unaonekana kichwa Hayo mambo ya kizamani mtu kuheshimiwa kisa yupo serikali, Sasa ivi ni Hela tu ndo itakupa value no matter umeipataje
 
Show off tu. Ngonja kuimba kuishe ndo utajua alikuwa anamiliki nini na nini ?Hayo magari showoff tu. Mwambie aonyeshe Card za gari.
Ni hatari, Maradhi ndio mwarobaini wa Wasanii mana hapo hakuna show off tena zaidi ya kutembeza bakuli
 
Duh bachelor degree 1.67M sio salary ndogo kwa watumishi wa umma kwa maana ukienda Halmashauri unakuta Bachelor salary ni 700,000/-
Hivyo tutorial analipwa mara 2 yake
Hio hela ya kawaida tu Mashirika ya umma kuna wanaovuta zaidi ya hapo na degree na diploma
 
Hapana sikutaka kubaki nilienda kuajiriwa Mgodini Bangui Africa ya kati baada ya hapo nikarudi kujiajiri na kumiliki kampuni yangu na sasa naajiri mimi ila sio kuajiriwa
Well done. Maana ungebaki pale ungechemsha na kipindi hiki cha JPM hata vyuo vinaambiwa vipeleke gawio. Pesa za research hakuna.
 
TCU imetoa third edition ambayo imekuja na mabadiliko mengi.

Moja ya hayo ni kubadili kigezo cha kufundisha kuwa 3.5 kwa undergraduate badala ya 3.8 kwa vyuo vya serikali kama ilivyokua awali lakini 4.0 kwa Masters imeendelea kua ileile

Hii itatoa fursa kwa wanataaluma wenye sifa kupata nafasi na kupunguza uhaba wa wahadhiri vyuoni kutokana na kigezo cha awali

Sasa vijana mlioko vyuoni kazi kwenu pigeni ma GPA mkapige mpunga baada mteuliwe.

Wazo zuri hili
 
Afadhali maana nimebakisha semester moja tu lakini sikua na uwakika sana kama ntafikisha 3.8+, semester hii ya mwisho ndo ilikua inaamua ila now uwakika upo kumbe.
 
Hoja yako ina mashiko,sema pia kumbuka mara nyingi kila chuo kimekua na desturi ya kuajiri watu waliopitia kwenye vyuo vyao.NB:Connection pia ina uzito mkubwa
Hilii ndo kigezo kikubwa cha kupata kazi chuo kikuu,nimefanya interview zao kama 3 hivi nimejua hiloo .ilii kuweka mambo fair inatakiwa zifanyike utumishii kama zilivyo kazi nyingine na sio vyuoni ,pia waalimu wa vyuo husika wasihusike wote ilaa baadhi ambao wanateuliwa kwa siri bilaa hivyoo wataajili watu wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom