Ukistaajabu ya Bunge la Katiba utayaona ya TCU.
Ama kweli taifa letu la Tanzania linauliwa na Watanzania wenyewe hebu ona uozo unaofanywa hadharani na TCU kwa kufanya mambo hovyo hovyo kabisa.
Kwa mwaka huu kumetokaea vichekesho katika chaguzi ya round ya kwanza baada ya wanafunzi wengi kuchaguliwa kozi ambazo hawakuomba na hawastahili kabisa kuzisoma. Kuna wanafunzi wamefaulu vizuri masomo ya HKL, HGL na wamechaguliwa kwenda kusoma shahada ya udaktari wa Binadamu kinyume kabisa na taaluma zao na kile walichokiomba wao.
Vilevile kuna wanafunzi wamefaulu vizuri kabisa masomo ya PCB lakini wamepangiwa kwenda kusoma bachelor za masomo ya ualimu wa historia na geographia.
Hivi hawa TCU wanafanya kitu gani au mmetumwa kaharibu future ya wadogo zetu utampangaje mwanufafunzi kwenda kusoma kozi ambayo hakuiomba bila ridhaa yake na hafit kabisa katika vigezo vya hiyo kozi.
Tunaomba msitishe selection mlizozitoa na mpitie upya na kuhakiki ipasavyo selection za wadogo zetu.