TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

Status
Not open for further replies.
kwa hizo cozi unazotaka pale ud huwezi ufaulu wako haukuruhusu kumbuka mwaka huu wenu wa BRN div one zipo nyingi sana so ww na hiyo div 2 huwezi ukaingia pale. kuna mwana hiyo ya petroleum katemwa na alikuwa na div one ya 10

Kweli akili zako zinafanana na za bata. 10 ilikuwa div 2 na kwa BRN ni div 3. Dogo langu limechaguliwa petroleum hapo hapo UDSM kwa points 9 km za huyo dogo. Hakuna cha ufundi wala mbwembwe ni mwendo wa bahati tu hapo. Ungesoma wewe hiyo 9 ungeisikia. Dogo usikate tamaa.. Pambana. Umefanya kazi, PCM sio kitoto. Achana na majungu ya wasiosoma.
 
mbna maksi zako ndogo sana mdg wangu.....msipende kulazimisha mambo...wewe ni kilaza UDSM utaishia kudisco tu

Hawa ndo wale wale wa std 7. Hamna shule humu.... Peupee. Kazi yao kukatisha watu tamaa. Mijitu mingine aisee.
 
dah..kwakweli mimi aya ndio machaguo yangu vinginevyo ctaweza kwasababu nategemea chuo cha serikali kutokana na unafuu wa ada ukizingatia hali ya uwezo wa familia ntokayo...labda kama kunamtu anaye ifaham vizur iyo koz ya irrigation and water resources engeneering ya sua kama ni marketable

wewe sua ndio chuo cha kilimo tanzania,na hiyo bachelor uliyochaguliwa inamaketi ile mbaya,wanatafutwa sana,makampuni mengi yanapoajiri yanatilia mkazo hapo awe kutoka sua.
 
kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and irigation engrneering sasa nlitaka kusoma civil au petrolium au artitecture at udzm even ardhi msaada jaman....

kwanza umeona wapi official allocation!! Pili TCU hawako hivyo kutokana na uzoefu uliopo. Roundi ya kwanza Official huwa wanatoa allocation kama ulivyopendekeza mwenyewe. Ukikosa nafasi kwa sababu zozote zile wanakufahamisha pamoja na kukuuliza kama unaafiki nafasi mbadala waliyokupa na wanakupa other possible slots.

Uzushi haujengi!!
 
Hii isue ni ya kweli na imechanganya sana watu jumamosi ilikuwa wazi kabisa na tuliona,inaelekea kuna mtu wa TCU ndio aliweka hii kitu wazi then akaiondoa na itakuwa yeye ndio alitaarifu baadhi watu, kwan ilikuwa hewan muda mfupi sana baadae ikaondolewa. kuhusu watu wa TCU kuwa makini wapo ambao ni makini lakini kuna wengine ni bogas kabisa,elewa kuwa hawa watu walichukuliwa kutoka idara mbalimbali za serikali. mimi kuna mwalimu wangu wa cdti buhare yuko hapo
 
mkuu kama na wewe unamsapoti mtoa mada hebu toa ushahidi kuhusu mtu mmoja tu ambaye amewahi kuchaguliwa chuo ambacho hakukiomba na kujaza kabisa wakati wa application!
Uzushi haujengi!
 
Madogo hawasomi vizuri ile guidebook ya TCU na wengi wao wanaapply kwa kufuata mkumbo! kila mtu anataka kusoma UDSM, SUA na Mzumbe! matokeo yake competition inakuwa kubwa ktk baadhi ya vyuo wakati vyuo vingine vina available slots kibao! wengi wenu hata kozi mnazoapply hata hamjui zinahusu nin au utakuwa na career gan!!
 
Ukistaajabu ya Bunge la Katiba utayaona ya TCU; Ama kweli taifa letu la Tanzania linauliwa na watanzania wenyewe hebu ona uozo unaofanywa hadharani na TCU kwa kufanya mambo hovyo hovyo kabisa. Kwa mwaka huu kumetokaea vichekesho katika chaguzi ya round ya kwanza baada ya wanafunzi wengi kuchaguliwa kozo ambazo kabisa hawakuomba na hawastahili kabisa kuzisoma. Kuna wanafunzi wamefaulu vizuri masomo ya HKL,HGL na wamechaguliwa kwenda kusoma shahada ya udaktari wa Binadamu kinyume kabisa na taaluma zao na kile walichokiomba wao. Vilevile kuna wanafunzi wamefaulu vizuri kabisa masomo ya PCB lakini wamepangiwa kwenda kusoma bachelor za masomo ya ualimu wa historia na geographia.

HIvi hawa TCU wanafanya kitu gani au mmetumwa kaharibi future ya wadogo zetu utampangaje mwanufafunzi kwenda kusoma kozi ambayo hakuiomba bila ridhaa yake na hafit kabisa katika vigezo vya hiyo koz, tunaomba msitishe selection mlizozitoa na mpitie upya na kuhakiki ipasavyo selection za wadogo zetu

Naungana na wewe, TCU wamechemsha sana safari hii, mtu ana div ONE form four, Div one form Six, unaletewa message kuwa vyuo vimejaa, unaambie labda uchague marketing CBE!! Jamani huu sio udhalilishaji? Leo tcu office hakuingiliki shauri ya malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi wao. Je wale watoto waliopo kantalamba wanaweza kufika TCU!
 
kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and irigation engrneering sasa nlitaka kusoma civil au petrolium au artitecture at udzm even ardhi msaada jaman....
Kozi za petroleum, civil na architecture za UDSM ni extremely competitive, zinachukua wanafunzi wachache hawafiki 50 kwa kila kozi. Performance yenu ya BRN ni magumashi matupu hivyo PCM wengi walipata pass za juu sana AAA=15pts, AAB+=14pts, AB+B+pts=13, B+B+B+-12pts, B+B+B=11pts, B+BB=10pts halafu ndio yako B+BC-9pts. Kwa taarifa yako pale UDSM hizo programs ni za vipanga tu wa Division I kali sio watu wenye Maths C. Dogo kajipange ukasome Irrigation engineering ukasimamie KILIMO KWANZA vijijini. Wacha ku-lament hapa
 
Acheni uropokaji bila kuwa na uthibitisho! There is NO way TCU wakakuchagua nje ya kozi 5 ulizoomba wewe mwenyewe, na hata ukiwa mhanga wa second round selection bado wewe mwanafunzi ndiye utakayechagua kozi yako mwenyewe, tofauti ni kwamba 2nd round selection unachagua kozi moja tu na inakuwa ktk basis ya first come, first served. na mwisho kabla majina hayajawa released ni lazima yapitiwe na wawakilishi wa vyuo vyote vinavyotumia mfumo wa CAS kudahili wanafunzi! ndomaana mpaka sasa hakuna official names zilizokuwa released kwasabab wiki hii ndo wakuu wa vyuo wanakutana na TCU na NACTE, jifunzeni kuwa watu wa kutafta ukweli badala ya kuropoka tu kwenye mitandao ya kijamii. hakuna mtu anayeweza kuchaguliwa nje ya kile alichokiomba, kama yupo aweke hapa ushahidi

Mtu ameomba mwanzo na ana div one form four, div one form six, aliomba mwanzo akletewa msg aombe vyuo vingine tofauti na alivyomba mwanza, akaomba tena majibu yakawa achague labda marketing cbe, wakati anafikiria la kufanya, akakuta sehemu ya kujiunga imefungwa hadi tarehe 22.9.2014.

Hapo nani wapotoshaji kama sio hao tcu! Kila kitu kisiasa, kama hatuwezi kutumia system tuachene nayo. Majina yalishatumwa kwa academics officer wa vyuo.
 
Mr Emmy hivi tu kisema we mzushi kupindukia tuna kosea?. hebu we evidence wa hayo maneno yako hapa tuone. la sivyo wewe ndio unapotosha uma kwa kutoa thread za uwongo. jamani tumkemee huyu. official results tumeambiwa ni baada ya kikao cha joint admission 22/9 hayo mingine ni uzushi tu.

Mtamsema Emmy, ila ukweli ni kuwa BRN ndiyo inaleta matatizo makubwa...............
 
kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and irigation engrneering sasa nlitaka kusoma civil au petrolium au artitecture at udzm even ardhi msaada jaman....

si lazma selection ya kwanza au ya pili uende hiyohiyo..ndo mana kuna chaguz tano ndugu

...majibu yakitoka rasmi ndo uanze kulalama
..nenda ukanyonye
 
Jamani hao TCU wanachanganya wadogo zetu, ni kweli link ilitoka na majina ya chuo ulichopangiwa unaona, na madogo wengi wameona sasa wanavyosema sio official wanamaanisha nini?
It means hawapo makini na system yao kwa nini link ileak? Nani ameitoa?

Si kila mtumishi mwaminifu..watumish waliilikisha(swanglish) link kabla ya mda ma ndo mana ikafungwa
 
Jamani nilikua siamin kama TCU wanaweza kumpangia mtu course ambayo hajaomba kat ya zile 5. Ila leo nimethibitisha mtu wamempangia st.joseph course ambayo hajaomc
Dah kweli BRN na mpango wa matokeo makubwa
POOR TCU...............!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom