Acheni uropokaji bila kuwa na uthibitisho! There is NO way TCU wakakuchagua nje ya kozi 5 ulizoomba wewe mwenyewe, na hata ukiwa mhanga wa second round selection bado wewe mwanafunzi ndiye utakayechagua kozi yako mwenyewe, tofauti ni kwamba 2nd round selection unachagua kozi moja tu na inakuwa ktk basis ya first come, first served. na mwisho kabla majina hayajawa released ni lazima yapitiwe na wawakilishi wa vyuo vyote vinavyotumia mfumo wa CAS kudahili wanafunzi! ndomaana mpaka sasa hakuna official names zilizokuwa released kwasabab wiki hii ndo wakuu wa vyuo wanakutana na TCU na NACTE, jifunzeni kuwa watu wa kutafta ukweli badala ya kuropoka tu kwenye mitandao ya kijamii. hakuna mtu anayeweza kuchaguliwa nje ya kile alichokiomba, kama yupo aweke hapa ushahidi
asee ata me nlikua mbishi kama wewe ila leo nimethibitisha TCU ni kichwa cha mwendawazimu jamaa angu kapangwa st.joseph ilihal akuomba icho chuo