TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

Status
Not open for further replies.
Acheni uropokaji bila kuwa na uthibitisho! There is NO way TCU wakakuchagua nje ya kozi 5 ulizoomba wewe mwenyewe, na hata ukiwa mhanga wa second round selection bado wewe mwanafunzi ndiye utakayechagua kozi yako mwenyewe, tofauti ni kwamba 2nd round selection unachagua kozi moja tu na inakuwa ktk basis ya first come, first served. na mwisho kabla majina hayajawa released ni lazima yapitiwe na wawakilishi wa vyuo vyote vinavyotumia mfumo wa CAS kudahili wanafunzi! ndomaana mpaka sasa hakuna official names zilizokuwa released kwasabab wiki hii ndo wakuu wa vyuo wanakutana na TCU na NACTE, jifunzeni kuwa watu wa kutafta ukweli badala ya kuropoka tu kwenye mitandao ya kijamii. hakuna mtu anayeweza kuchaguliwa nje ya kile alichokiomba, kama yupo aweke hapa ushahidi

asee ata me nlikua mbishi kama wewe ila leo nimethibitisha TCU ni kichwa cha mwendawazimu jamaa angu kapangwa st.joseph ilihal akuomba icho chuo
 
kwa hizo cozi unazotaka pale ud huwezi ufaulu wako haukuruhusu kumbuka mwaka huu wenu wa BRN div one zipo nyingi sana so ww na hiyo div 2 huwezi ukaingia pale. kuna mwana hiyo ya petroleum katemwa na alikuwa na div one ya 10

Ivi uko serious au unapayuka 2 enh dvs 1 ya 10 ilikua mwaka gan au unasemea kipindi cha vita ya kwanza ya dunia
Shame on you...!!!
Mshaambia this is home of great thinker if your brain cant think clear dont spoil the fun...!!!!!
 
Jamani nilikua siamin kama TCU wanaweza kumpangia mtu course ambayo hajaomba kat ya zile 5. Ila leo nimethibitisha mtu wamempangia st.joseph course ambayo hajaomc
Dah kweli BRN na mpango wa matokeo makubwa
POOR TCU...............!!!


Weka ushahidi hapa mkuu,

Weka screenshot ya profile yake,halafu weka na jina lake plus namba yake ya mtihani na all associated details halafu tutamatch tuone

Kwangu mimi hiki kitu HAKIWEZEKANI labda kama ni second round
 
Kuna dada alisoma HGL akapangwa engineering UDSM mwaka jana aiseee, amekomaaa vibaya mno, halali "ovyo ovyo" wala hana story zaidi ya masomo na anafanya vizuri mpaka basii... NAJIULIZA NAE AKIMALIZA SERIKALI ITAMWAJIRI MOJA KWA MOJA AU TUTAANGAIKA NAE MTAANI??
 
Weka ushahidi hapa mkuu,

Weka screenshot ya profile yake,halafu weka na jina lake plus namba yake ya mtihani na all associated details halafu tutamatch tuone

Kwangu mimi hiki kitu HAKIWEZEKANI labda kama ni second round

Ivi unahisi kueka scrn short profile ya mtu kazi rahis yenye details zake ka phne no. Email namb ya mtihan nk. enh ingekua kazi rahis kila mtu angeweka kwa usalama wa details zake ata siwek.na kama huamin uozo wa TCU sina haja ya kukulazimisha kuamin
 
Weka ushahidi hapa mkuu,

Weka screenshot ya profile yake,halafu weka na jina lake plus namba yake ya mtihani na all associated details halafu tutamatch tuone

Kwangu mimi hiki kitu HAKIWEZEKANI labda kama ni second round

Ayah iyo ilikua conversation yetu mwenye macho aambiwi ona
TCU ni uozo mtupu
Mana kuna majitu mabish najua yatabisha 2
 

Attachments

  • 1411247769760.jpg
    1411247769760.jpg
    37.8 KB · Views: 117
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom