TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

Status
Not open for further replies.
unadhani ulie apply ni ww tu?? kunawatu wamepata zaid yako kijana
 
chini ya utawala wa ccm chochote kinawezekana wao wanachojali ni sifa za majukwaani
.hawafikilii madhara watakayopata wananchi badae
 
Acheni uropokaji bila kuwa na uthibitisho! There is NO way TCU wakakuchagua nje ya kozi 5 ulizoomba wewe mwenyewe, na hata ukiwa mhanga wa second round selection bado wewe mwanafunzi ndiye utakayechagua kozi yako mwenyewe, tofauti ni kwamba 2nd round selection unachagua kozi moja tu na inakuwa ktk basis ya first come, first served. na mwisho kabla majina hayajawa released ni lazima yapitiwe na wawakilishi wa vyuo vyote vinavyotumia mfumo wa CAS kudahili wanafunzi! ndomaana mpaka sasa hakuna official names zilizokuwa released kwasabab wiki hii ndo wakuu wa vyuo wanakutana na TCU na NACTE, jifunzeni kuwa watu wa kutafta ukweli badala ya kuropoka tu kwenye mitandao ya kijamii. hakuna mtu anayeweza kuchaguliwa nje ya kile alichokiomba, kama yupo aweke hapa ushahidi
 
Ukistaajabu ya Bunge la Katiba utayaona ya TCU; Ama kweli taifa letu la Tanzania linauliwa na watanzania wenyewe hebu ona uozo unaofanywa hadharani na TCU kwa kufanya mambo hovyo hovyo kabisa. Kwa mwaka huu kumetokaea vichekesho katika chaguzi ya round ya kwanza baada ya wanafunzi wengi kuchaguliwa kozo ambazo kabisa hawakuomba na hawastahili kabisa kuzisoma. Kuna wanafunzi wamefaulu vizuri masomo ya HKL,HGL na wamechaguliwa kwenda kusoma shahada ya udaktari wa Binadamu kinyume kabisa na taaluma zao na kile walichokiomba wao. Vilevile kuna wanafunzi wamefaulu vizuri kabisa masomo ya PCB lakini wamepangiwa kwenda kusoma bachelor za masomo ya ualimu wa historia na geographia.

HIvi hawa TCU wanafanya kitu gani au mmetumwa kaharibi future ya wadogo zetu utampangaje mwanufafunzi kwenda kusoma kozi ambayo hakuiomba bila ridhaa yake na hafit kabisa katika vigezo vya hiyo koz, tunaomba msitishe selection mlizozitoa na mpitie upya na kuhakiki ipasavyo selection za wadogo zetu

usijali vyuo wataaprove hayo matokeo kabla ya wao kwenda ndo maana kuna kikao kati ya bodi na wawakilishi wa vyuo vyote, hakuna matokeo yaliyotoka hayo yaliibiwa ndo maana yana matatizo kwasababu sio final,,
 
Acheni uropokaji bila kuwa na uthibitisho! There is NO way TCU wakakuchagua nje ya kozi 5 ulizoomba wewe mwenyewe, na hata ukiwa mhanga wa second round selection bado wewe mwanafunzi ndiye utakayechagua kozi yako mwenyewe, tofauti ni kwamba 2nd round selection unachagua kozi moja tu na inakuwa ktk basis ya first come, first served. na mwisho kabla majina hayajawa released ni lazima yapitiwe na wawakilishi wa vyuo vyote vinavyotumia mfumo wa CAS kudahili wanafunzi! ndomaana mpaka sasa hakuna official names zilizokuwa released kwasabab wiki hii ndo wakuu wa vyuo wanakutana na TCU na NACTE, jifunzeni kuwa watu wa kutafta ukweli badala ya kuropoka tu kwenye mitandao ya kijamii. hakuna mtu anayeweza kuchaguliwa nje ya kile alichokiomba, kama yupo aweke hapa ushahidi

NAUNGA mkono HOJA MKUU.

WAO WANAOOMBA NDIO WANAOVURUNDA NA TATIZO KUBWA WANAENDA KUOMBA BILA KUPITIA KUISOMA ILE TCU GUIDE BOOK.

KINGINE NI KUKURUPUKA KWA KUIBA MAJINA KWENYE DATABASE YA TCU WAKATI HAYAJAWA TAYARI KUTOLEWA RASMI.

WATANZANIA TUJIFUNZE KUWA WAVUMILIVU.
 
kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and irigation engrneering sasa nlitaka kusoma civil au petrolium au artitecture at udzm even ardhi msaada jaman....

kozi na vyuo unavyotaka ndo vilivyokukosesha nafasi. Udsm petroleum walitaka watu 20, architecture 41, civil 172 kwa Tanzania nzima. Ukizingatia div 1 zimemwagwa mwaka huu. Same applies to ardhi, admissiom capacity yao ni ndogo sana kwa kozi hizo. Nna jamaa wangu ana 2 ya tisa wakamtosa machaguo ya mwanzo yote wakampanga ardhi- building economics. Jaribu vyuo vingine unaweza ukapata
 
we nae ndo wale wale sasa hapo uhanga wako ni upo?nitakuelewa endapo utasema hukufanya selection ya ktk koz hyo na chuo husika,na ningetaharuki kama ungechaguliw kusoma education kwa masomo ya historia na kiswahili.

em mwambie huyo bana,mbona pcm unaft hapo vzr2!
 
dah..kwakweli mimi aya ndio machaguo yangu vinginevyo ctaweza kwasababu nategemea chuo cha serikali kutokana na unafuu wa ada ukizingatia hali ya uwezo wa familia ntokayo...labda kama kunamtu anaye ifaham vizur iyo koz ya irrigation and water resources engeneering ya Sua kama ni marketable
 
Jamani hao TCU wanachanganya wadogo zetu, ni kweli link ilitoka na majina ya chuo ulichopangiwa unaona, na madogo wengi wameona sasa wanavyosema sio official wanamaanisha nini?
It means hawapo makini na system yao kwa nini link ileak? Nani ameitoa?
 
Watanzania tunapenda sifa sana,watu wanafkr university of Dar es salaam ndo chuo pekee hapa Tanzania na hii imewagharimu wanafunzi wengi waliojipendekeza kukichagua wakati ufauru wao hauzid hata ponti 6 tena kwenye course zenye ushindani na mwisho wa siku hawakuchaguliwa kabsa.yupo kijana mmoja mm namwita n mpumbavu ni graduate (B.A Hons ) katka tawi la chuo kikuu cha Dar es salaam sitolitaja.nilikutana naye kipnd fulani akiwa katika mafunzo kwa vitendo wao wanaita field. nanukuu maneno yake "Nyie mliosoma vyuo vingne tofauti na University of Dar es salaam hamna sifa kabisa kile ndo chuo pekee angalia hata identity card yangu Imeandikwa univesity of Dar es salaam japo nasoma kwenye tawi la chuo kikuu cha Dar es salaam lakin nkimaliza ntapewa cheti kutoka main cumpus"sasa ndugu zangu watu kama hawa ndo wanawalisha sumu wadogo zetu hadi kufikia hatua ya kukosa nafasi kwa kun'gan'gania kuchagua hicho chuo wanahisi vyuo vingne havina sifa.
 
Eti mtu una DDE alafu unataka upangwe MD ya Muhimbiri, utakuwa hujielewi wewe kwanza TCU lazima wakupe dawa yako, pia hakuna ushahidi wa mtu aliyepangwa MD alafu kasoma HKL huo ni uongo wa mchana kweupe.
 
kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and irigation engrneering sasa nlitaka kusoma civil au petrolium au artitecture at udzm even ardhi msaada jaman....

shukuru mungu umepata hiyo nafasi. hizo kozi ukizoomba na hizo point zako hawez pata nafas na ukitakiwa kuwa kwenye kundi la second round wewe.. mfano hyo petroleum wanatakiwa watu 15 kama sikosei pale udsm we unapoint 9 unategemea nini? safar hii ufaulu ulikua juu mkiweka mbwembwe nying jiandae kubaki mtaani. we kareport ulikopata kama ukiona hautak postpone mwaka basi waache wanaotaka. au rudia mtihani upate point nzur km unauwezo.
 
dah..kwakweli mimi aya ndio machaguo yangu vinginevyo ctaweza kwasababu nategemea chuo cha serikali kutokana na unafuu wa ada ukizingatia hali ya uwezo wa familia ntokayo...labda kama kunamtu anaye ifaham vizur iyo koz ya irrigation and water resources engeneering ya Sua kama ni marketable

sua ni cha, serikal pia.
 
Ulizipiga chabo, vipi upon ofisini TCU? We we so mwadilifu umekiuka miiko ya kazi

mimi sio mfanyakazi tcu mimi ni mhitim tu wa 4m6 ila majina nimeyaona na kozi yangu nimeiona nikawangalizia na wengine wengi
 
Jamaaa mtoa post msinguaj hz post umeziona wap mtu post bd ukiingia kwny account unaona you hv been selected lakin umechaguliwa wap bd hawajaandika so acha uongo wako na kuidhalilisha taasisi kubwa km ile jaman humu ni home of great thinker sio home of slow thinkers
 
acha ubishi usio na tija post hazikua kwenye form iyo unayo logiñ ilikua apa www.cas.tcu.go.tz/2/admitted_applicants/php ....
ila saivi utakuta error 404 zimefungwa
 
shukuru mungu umepata hiyo nafasi. hizo kozi ukizoomba na hizo point zako hawez pata nafas na ukitakiwa kuwa kwenye kundi la second round wewe.. mfano hyo petroleum wanatakiwa watu 15 kama sikosei pale udsm we unapoint 9 unategemea nini? safar hii ufaulu ulikua juu mkiweka mbwembwe nying jiandae kubaki mtaani. we kareport ulikopata kama ukiona hautak postpone mwaka basi waache wanaotaka. au rudia mtihani upate point nzur km unauwezo.

nakuelewa sana mkuu sasa natafuta ushauri juu ya iyo koz kwasababu kwangu ni ngen sana plz kama unaijua nidaidie yan mm cjui ata nitaajiriwa wapi tusikatishane tamaa nauliza tuu wakubwa
 
acha ubishi usio na tija post hazikua kwenye form iyo unayo logiñ ilikua apa cas.tcu.go.tz/2/admitted_applicants/php ....
ila saivi utakuta error 404 zimefungwa

ZILI POST ZILIKUWA HACKED NA MAARAMIA WA MITANDAO TOKA KWENYE DATABASE YA TCU ILI HALI ZOEZI LILIKUWA HALIJAWA TAYARI.
 
kwa mfano jamaa kumbe anataka coment nyingi, sababu ni ipi kwa mfano au unataka sifa nyingine kwa mfano,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom