Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukistaajabu ya Bunge la Katiba utayaona ya TCU; Ama kweli taifa letu la Tanzania linauliwa na watanzania wenyewe hebu ona uozo unaofanywa hadharani na TCU kwa kufanya mambo hovyo hovyo kabisa. Kwa mwaka huu kumetokaea vichekesho katika chaguzi ya round ya kwanza baada ya wanafunzi wengi kuchaguliwa kozo ambazo kabisa hawakuomba na hawastahili kabisa kuzisoma. Kuna wanafunzi wamefaulu vizuri masomo ya HKL,HGL na wamechaguliwa kwenda kusoma shahada ya udaktari wa Binadamu kinyume kabisa na taaluma zao na kile walichokiomba wao. Vilevile kuna wanafunzi wamefaulu vizuri kabisa masomo ya PCB lakini wamepangiwa kwenda kusoma bachelor za masomo ya ualimu wa historia na geographia.
HIvi hawa TCU wanafanya kitu gani au mmetumwa kaharibi future ya wadogo zetu utampangaje mwanufafunzi kwenda kusoma kozi ambayo hakuiomba bila ridhaa yake na hafit kabisa katika vigezo vya hiyo koz, tunaomba msitishe selection mlizozitoa na mpitie upya na kuhakiki ipasavyo selection za wadogo zetu
Acheni uropokaji bila kuwa na uthibitisho! There is NO way TCU wakakuchagua nje ya kozi 5 ulizoomba wewe mwenyewe, na hata ukiwa mhanga wa second round selection bado wewe mwanafunzi ndiye utakayechagua kozi yako mwenyewe, tofauti ni kwamba 2nd round selection unachagua kozi moja tu na inakuwa ktk basis ya first come, first served. na mwisho kabla majina hayajawa released ni lazima yapitiwe na wawakilishi wa vyuo vyote vinavyotumia mfumo wa CAS kudahili wanafunzi! ndomaana mpaka sasa hakuna official names zilizokuwa released kwasabab wiki hii ndo wakuu wa vyuo wanakutana na TCU na NACTE, jifunzeni kuwa watu wa kutafta ukweli badala ya kuropoka tu kwenye mitandao ya kijamii. hakuna mtu anayeweza kuchaguliwa nje ya kile alichokiomba, kama yupo aweke hapa ushahidi
kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and irigation engrneering sasa nlitaka kusoma civil au petrolium au artitecture at udzm even ardhi msaada jaman....
we nae ndo wale wale sasa hapo uhanga wako ni upo?nitakuelewa endapo utasema hukufanya selection ya ktk koz hyo na chuo husika,na ningetaharuki kama ungechaguliw kusoma education kwa masomo ya historia na kiswahili.
kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and irigation engrneering sasa nlitaka kusoma civil au petrolium au artitecture at udzm even ardhi msaada jaman....
dah..kwakweli mimi aya ndio machaguo yangu vinginevyo ctaweza kwasababu nategemea chuo cha serikali kutokana na unafuu wa ada ukizingatia hali ya uwezo wa familia ntokayo...labda kama kunamtu anaye ifaham vizur iyo koz ya irrigation and water resources engeneering ya Sua kama ni marketable
Ulizipiga chabo, vipi upon ofisini TCU? We we so mwadilifu umekiuka miiko ya kazi
Jamaaa mtoa post msinguaj hz post umeziona wap mtu post bd ukiingia kwny account unaona you hv been selected lakin umechaguliwa wap bd hawajaandika so acha uongo wako na kuidhalilisha taasisi kubwa km ile jaman humu ni home of great thinker sio home of slow thinkers
shukuru mungu umepata hiyo nafasi. hizo kozi ukizoomba na hizo point zako hawez pata nafas na ukitakiwa kuwa kwenye kundi la second round wewe.. mfano hyo petroleum wanatakiwa watu 15 kama sikosei pale udsm we unapoint 9 unategemea nini? safar hii ufaulu ulikua juu mkiweka mbwembwe nying jiandae kubaki mtaani. we kareport ulikopata kama ukiona hautak postpone mwaka basi waache wanaotaka. au rudia mtihani upate point nzur km unauwezo.
acha ubishi usio na tija post hazikua kwenye form iyo unayo logiñ ilikua apa cas.tcu.go.tz/2/admitted_applicants/php ....
ila saivi utakuta error 404 zimefungwa
ZILI POST ZILIKUWA HACKED NA MAARAMIA WA MITANDAO TOKA KWENYE DATABASE YA TCU ILI HALI ZOEZI LILIKUWA HALIJAWA TAYARI.