JambaziSugu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 245
- 210
kwa hizo cozi unazotaka pale ud huwezi ufaulu wako haukuruhusu kumbuka mwaka huu wenu wa BRN div one zipo nyingi sana so ww na hiyo div 2 huwezi ukaingia pale. kuna mwana hiyo ya petroleum katemwa na alikuwa na div one ya 10
Kweli akili zako zinafanana na za bata. 10 ilikuwa div 2 na kwa BRN ni div 3. Dogo langu limechaguliwa petroleum hapo hapo UDSM kwa points 9 km za huyo dogo. Hakuna cha ufundi wala mbwembwe ni mwendo wa bahati tu hapo. Ungesoma wewe hiyo 9 ungeisikia. Dogo usikate tamaa.. Pambana. Umefanya kazi, PCM sio kitoto. Achana na majungu ya wasiosoma.