TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

Status
Not open for further replies.

Mr Emmy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,219
Reaction score
550
Ukistaajabu ya Bunge la Katiba utayaona ya TCU.

Ama kweli taifa letu la Tanzania linauliwa na Watanzania wenyewe hebu ona uozo unaofanywa hadharani na TCU kwa kufanya mambo hovyo hovyo kabisa.

Kwa mwaka huu kumetokaea vichekesho katika chaguzi ya round ya kwanza baada ya wanafunzi wengi kuchaguliwa kozi ambazo hawakuomba na hawastahili kabisa kuzisoma. Kuna wanafunzi wamefaulu vizuri masomo ya HKL, HGL na wamechaguliwa kwenda kusoma shahada ya udaktari wa Binadamu kinyume kabisa na taaluma zao na kile walichokiomba wao.

Vilevile kuna wanafunzi wamefaulu vizuri kabisa masomo ya PCB lakini wamepangiwa kwenda kusoma bachelor za masomo ya ualimu wa historia na geographia.

Hivi hawa TCU wanafanya kitu gani au mmetumwa kaharibu future ya wadogo zetu utampangaje mwanufafunzi kwenda kusoma kozi ambayo hakuiomba bila ridhaa yake na hafit kabisa katika vigezo vya hiyo kozi.

Tunaomba msitishe selection mlizozitoa na mpitie upya na kuhakiki ipasavyo selection za wadogo zetu.
 
Ukistaajabu ya Bunge la Katiba utayaona ya TCU; Ama kweli taifa letu la Tanzania linauliwa na watanzania wenyewe hebu ona uozo unaofanywa hadharani na TCU kwa kufanya mambo hovyo hovyo kabisa. Kwa mwaka huu kumetokaea vichekesho katika chaguzi ya round ya kwanza baada ya wanafunzi wengi kuchaguliwa kozo ambazo kabisa hawakuomba na hawastahili kabisa kuzisoma. Kuna wanafunzi wamefaulu vizuri masomo ya HKL,HGL na wamechaguliwa kwenda kusoma shahada ya udaktari wa Binadamu kinyume kabisa na taaluma zao na kile walichokiomba wao. Vilevile kuna wanafunzi wamefaulu vizuri kabisa masomo ya PCB lakini wamepangiwa kwenda kusoma bachelor za masomo ya ualimu wa historia na geographia.

HIvi hawa TCU wanafanya kitu gani au mmetumwa kaharibi future ya wadogo zetu utampangaje mwanufafunzi kwenda kusoma kozi ambayo hakuiomba bila ridhaa yake na hafit kabisa katika vigezo vya hiyo koz, tunaomba msitishe selection mlizozitoa na mpitie upya na kuhakiki ipasavyo selection za wadogo zetu

Wewe hiyo selection umeiona wapi wakati haijawa released?,tuambie na sisi tuone tujiridhishe kama unasema kweli au la
 
Ukistaajabu ya Bunge la Katiba utayaona ya TCU; Ama kweli taifa letu la Tanzania linauliwa na watanzania wenyewe hebu ona uozo unaofanywa hadharani na TCU kwa kufanya mambo hovyo hovyo kabisa. Kwa mwaka huu kumetokaea vichekesho katika chaguzi ya round ya kwanza baada ya wanafunzi wengi kuchaguliwa kozo ambazo kabisa hawakuomba na hawastahili kabisa kuzisoma. Kuna wanafunzi wamefaulu vizuri masomo ya HKL,HGL na wamechaguliwa kwenda kusoma shahada ya udaktari wa Binadamu kinyume kabisa na taaluma zao na kile walichokiomba wao. Vilevile kuna wanafunzi wamefaulu vizuri kabisa masomo ya PCB lakini wamepangiwa kwenda kusoma bachelor za masomo ya ualimu wa historia na geographia.

ACHA UHONGO

WEWE HIZO selection UMEZIONA WAPI?

KAMA UNA HAMU YA KUANDIKA HUMU TAFUTA TAARIFA SAHIHI KAMA ZA WIZI WA billion 200 ZA ESCROW TUJADILI KULIKO KULETA JAMBO AMBALO SISI HATUJALIONA NA TUTASHINDWA NAMNA YA KUCHANGIA. TUTAISHIA KUKUPA MATUSI THEN UTUSABABISHIE BAN ZA KUDUM BURE
 
Ukistaajabu ya Bunge la Katiba utayaona ya TCU; Ama kweli taifa letu la Tanzania linauliwa na watanzania wenyewe hebu ona uozo unaofanywa hadharani na TCU kwa kufanya mambo hovyo hovyo kabisa. Kwa mwaka huu kumetokaea vichekesho katika chaguzi ya round ya kwanza baada ya wanafunzi wengi kuchaguliwa kozo ambazo kabisa hawakuomba na hawastahili kabisa kuzisoma. Kuna wanafunzi wamefaulu vizuri masomo ya HKL,HGL na wamechaguliwa kwenda kusoma shahada ya udaktari wa Binadamu kinyume kabisa na taaluma zao na kile walichokiomba wao. Vilevile kuna wanafunzi wamefaulu vizuri kabisa masomo ya PCB lakini wamepangiwa kwenda kusoma bachelor za masomo ya ualimu wa historia na geographia.

HIvi hawa TCU wanafanya kitu gani au mmetumwa kaharibi future ya wadogo zetu utampangaje mwanufafunzi kwenda kusoma kozi ambayo hakuiomba bila ridhaa yake na hafit kabisa katika vigezo vya hiyo koz, tunaomba msitishe selection mlizozitoa na mpitie upya na kuhakiki ipasavyo selection za wadogo zetu

Acha hizo ndugu yangu……Unanikumbusha vitabu vya Elvin Msiba, "Willy Gamba" Hujuma , Njama.
Hakuna kitu kama hicho, ni hasira zako tu dhidi ya maamuzi ya TCU, Pole, jaribu tena next time, "There is always a next time".
 
nyie watu wagum wakuamini .. post zilikua wazi juzi ila baada ya muda wakazifungia nadhani walivujisha haikua siku yake ya kutoka na niliwaangalizia watu wengi tu chuo na kozi walizo pangwa ... kwahuyo jamaa kusema mtu wa hkl kapangwa udaktari siwezi bisha kwasababu zilitoka kweli ila siwezi kuamin asilimia zote kwakua cjaona kati niliowaangalia kupangwa kozi kinyume na masomo yake ya a level
 
TCU post wata release 22nd Sept 2014.

"Kindly be informed tht tcu and nacte ll jointly release names of applicans on 2nd sep 2014 after admission board meeting to b held at ubungo plaza. Its important to note tht the list cannot be released to the public b4 pre_approval by univesties organs".
 
nyie watu wagum wakuamini .. post zilikua wazi juzi ila baada ya muda wakazifungia nadhani walivujisha haikua siku yake ya kutoka na niliwaangalizia watu wengi tu chuo na kozi walizo pangwa ... kwahuyo jamaa kusema mtu wa hkl kapangwa udaktari siwezi bisha kwasababu zilitoka kweli ila siwezi kuamin asilimia zote kwakua cjaona kati niliowaangalia kupangwa kozi kinyume na masomo yake ya a level

vitu vingine tutumie akili, TCU mnaifananisha na bunge la katiba, wahusika wenyewe hakuna aliye lalamika na majina yalitoka jumamosi ingawa wachache tuliyaona, huyu mwandishi wa gazeti la udaku anataka achanganye watu,
 
kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and irigation engrneering sasa nlitaka kusoma civil au petrolium au artitecture at udzm even ardhi msaada jaman....
 
Big results know, divisions 5,: waliomaliza darasa la saba kujiunga na chuo kikuu; by tcu, yu wapi Dk Dalichako? Na mfumo wa elimu ya big results now, ku-coppy na ku-paste from malaysia to Tanzania hii ilikuja huku kauli ya kilimo kwanza ikibakia kuwa wimbo wa taifa, tcu acheni siasa za kiccm kwani mnaangamiza taifa letu kwa kila nyanja
 
guys lets b serious, TCU ni taasis yenye weledi sana sidhani kama wanaweza fanya ujinga kama huo..ninachokijua mim baada ya kukutana na wadau ambao ni vyuo ndo watarelease admissions, na ndo utaratibu unaotumika siku zote tokea TCU imeanzishwa. tuwe wavumilivu lkn pia tuachane na maneno ya mitaani.
 
Ukistaajabu ya Bunge la Katiba utayaona ya TCU; Ama kweli taifa letu la Tanzania linauliwa na watanzania wenyewe hebu ona uozo unaofanywa hadharani na TCU kwa kufanya mambo hovyo hovyo kabisa. Kwa mwaka huu kumetokaea vichekesho katika chaguzi ya round ya kwanza baada ya wanafunzi wengi kuchaguliwa kozo ambazo kabisa hawakuomba na hawastahili kabisa kuzisoma. Kuna wanafunzi wamefaulu vizuri masomo ya HKL,HGL na wamechaguliwa kwenda kusoma shahada ya udaktari wa Binadamu kinyume kabisa na taaluma zao na kile walichokiomba wao. Vilevile kuna wanafunzi wamefaulu vizuri kabisa masomo ya PCB lakini wamepangiwa kwenda kusoma bachelor za masomo ya ualimu wa historia na geographia.

HIvi hawa TCU wanafanya kitu gani au mmetumwa kaharibi future ya wadogo zetu utampangaje mwanufafunzi kwenda kusoma kozi ambayo hakuiomba bila ridhaa yake na hafit kabisa katika vigezo vya hiyo koz, tunaomba msitishe selection mlizozitoa na mpitie upya na kuhakiki ipasavyo selection za wadogo zetu

Mkuu umeshamaliza kuapply hiyo second round?
 
kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and irigation engrneering sasa nlitaka kusoma civil au petrolium au artitecture at udzm even ardhi msaada jaman....

We nae ndo wale wale sasa hapo uhanga wako ni upo?nitakuelewa endapo utasema hukufanya selection ya ktk koz hyo na chuo husika,na ningetaharuki kama ungechaguliw kusoma education kwa masomo ya historia na kiswahili.
 
kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and irigation engrneering sasa nlitaka kusoma civil au petrolium au artitecture at udzm even ardhi msaada jaman....

Chaguo la kwanza Na la pili uliweka chuo gani Na course gani, usilalamike hivo ulibahatisha machaguo kwa hofu
 
Mkuu weka hapa ushahidi

Vinginevyo tutajua wewe umekosa chuo first round ndio unamalizia hapa hasira zako
 
tatizo langu ni sikuwahi kuiwaza iyo koz sasa natamani kuhama chuo.kama uezekano upo
 
nyie watu wagum wakuamini .. post zilikua wazi juzi ila baada ya muda wakazifungia nadhani walivujisha haikua siku yake ya kutoka na niliwaangalizia watu wengi tu chuo na kozi walizo pangwa ... kwahuyo jamaa kusema mtu wa hkl kapangwa udaktari siwezi bisha kwasababu zilitoka kweli ila siwezi kuamin asilimia zote kwakua cjaona kati niliowaangalia kupangwa kozi kinyume na masomo yake ya a level

Ulizipiga chabo, vipi upon ofisini TCU? We we so mwadilifu umekiuka miiko ya kazi
 
kwakweli mimi mwenyewe ni muhanga katika hilo nimechaguliwa chuo ambacho sikutegemea...sasa ivi nafuta ushauri kama inawezekana kuhama chuo na course...nlisoma pcm nkapata B-PHY C-MATHS AND B*(PLUS)-CHEM Ambayo ni divition two point tisa nlipangwa sua bachelor of science in water management and irigation engrneering sasa nlitaka kusoma civil au petrolium au artitecture at udzm even ardhi msaada jaman....

Mkuu hayo matokeo yako ni "ya kawaida sana" kwa hizo course na hiki kipindi cha big results now.

Hukusoma alama za nykati?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom