DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mtoa mada acha ujinga na roho mbaya na wewe ulishindwa vipi kitoa pesa ili usidisco.
Hakuna kitu kama hiko cha kutoa pesa kwani SUA ina uongozi na utaratibu mzuri sisi tuliopita huko kipindi cha nyuma tunafahamu mifumo ya SUA. Dogo anashindwa kulewa pale Dark City then anakuja na fake id kuchafua taasisi. Dogo keshaliwa kichwa.
 
Jitahidi kuandika vizuri dogo, unaiabisha SUA.
 
Hakuna kitu kama hiko cha kutoa pesa kwani SUA ina uongozi na utaratibu mzuri sisi tuliopita huko kipindi cha nyuma tunafahamu mifumo ya SUA. Dogo anashindwa kulewa pale Dark City then anakuja na fake id kuchafua taasisi. Dogo keshaliwa kichwa.
Kwani jamaa anaongelea wakati uliopita au uliopo?
Pia,kwani akiwa amedisco ndio inahalalisha matendo ya wale waliojiongeza kwa kutoa pesa kama asemavyo kuwa ni halali yao?
Kama ni tuhuma za kweli zifuatiliwe tu.

Halafu mkuu mambo yote hayawi hivi tudhaniavyo yako,hivi uniambie uongozi huu wa sua unatambua thamani ya elimu nakataa,kuna kesi naijua nje ndani mtu ameuza ue,uongozi unajua ukawa unacheka cheka nae hadi takukuru wamekuja hapo na hadi leo hawajui nani nini kilitokea takukuru wakajua.

Na huyo aliyefanya hayo hajawajibishwa,yupo tu, hivyo tusikariri mambo ya zamani kuwa yapo hadi leo.Hii kesi inajulikana chuo kizima tafuta staff yoyote muulize.
Katika hilo chuo kile sio makini wala kisafi.
 
Kila nikiitazama tanzania ya miaka 20 ijayo sioni chema,naona giza,mleta mada si mtu mbaya bali ameweka mambo hapa baada ya kuona huko hayaendi,na ameahidi ushirikiano kutoa majina husika hapahapa,ila watanzania comments zao ni kumshambulia na kusema aache wivu.
Eti hiyo ndio akili.
 

Natamani kujua kati ya wewe [mention]Hot bird [/mention] na SUA nani ana matatizo
 
Wambie vijana wasoma acha kuja kulialia humu Kama mtu wiki nzima uankimbizana na disco na kufanya biashara ukiwa chuo unategemeaa nn

Wasome waache ujingaa sua Ni chuo Bora San kuwepo nnchi hi mble ya udsm

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
aaaah SUA, ulichagua mwenyewe kuwa mtulivu upate burdani za chuo 😛
 
Chuo bora mbele ya udsm,wanasuaso bana.
Hii imesababisha sua kudorora,ukiulizwa ubora wa sua utasemaje labda mkuu?

Kila nikipita mtaani naambiwa sua chuo bora ooh sua ngumu ila nikiuliza ubora au ugumu wake hawanijibu.
Nisaidie mkuu.
 
TUPITIE HUU UZI KIDOGO KUHUSU SUA.
Hili suala nililifatilia,hapo ndio nikajua yasemwayo ooh sua ni bora,ni ngumu,na yaliyopo hayafanani.

 
SUA ina matatizo mengi sana.
Kwenda kusoma SUA ni kupoteza muda ili ukue na ukazurure au ukapate ajira ya boda boda.
Waache waendelee na upuuzu wao hata wakimaliza chuo hakuna ajira watarudi walikotokea.
 
Chuo bora mbele ya udsm,wanasuaso bana.
Hii imesababisha sua kudorora,ukiulizwa ubora wa sua utasemaje labda mkuu?

Kila nikipita mtaani naambiwa sua chuo bora ooh sua ngumu ila nikiuliza ubora au ugumu wake hawanijibu.
Nisaidie mkuu.
Unaambiwa sua mwanafunzi wa record management anasoma calculus,mtu aliyetoka hkl form six atasomaje hesabu chuo na hazitumii popote,utasikia sua ngumu.
 
Wacheni kulalama third attempt ndio nn ufikishi coz work unadsco kabla ya UE aijafika hata uwe na GPA ya 5.0 nyinyi mnalalama sua ngumu 😂 ety ohhoo ubinadamu aiwezekan mtu ana gpa ya 2+ adisco kwa third attemp ovyoo kabisa taratibu mlizojiwekea mfate msipindishe hyo kitu hatari inatoa picha mbaya na kushusha imani kwa chuo
 
Mtoa Mada ni mwanafunzi wa SUA huko ndaki ya Sayansi asilia na tumizi. Lakini ni mwanafunzi dhaifu sana kiakili, na kwa vyovyote yeye ni muathirik wa udhaifu wake sasa analalama mtaani. Nasema ni mwanafunzi dhaifu kwa sababu hata uandishi wake ni mbovu tena kwa kiswahili, Kwa kiingereza anaandikaje sasa. Hajui campusi inaitwa kwa jina gani hapo SUA, eti ile Magadu, hajui Magadu ni mtaa nje kidogo ya SUA. Huko mazimbu anakosoma hana habari kuwa ile sasa ni ndaki wala sio Kitivo. Hajui maana ya mtaala, kwake yeye ratiba ya masomo mwaka 2020 ni mtaala, alafu huyu anasomea ualimu. Kusitisha uanafunzi wake SUA, kwa huyu ni halali, arudi nyumbani akajipange atafute maisha mengine, sio lazima kupata degree.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…