DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
SUA bana ni rahisi na ni ngumu pia...nakumbuka tulikuwa tukifanya tests nyingi jpili, watu tunaondoka ijumaa kwenda dar kuruka viwanja unarudi jpili asubuhiiiii na abood za kwanzakwanza sa 8 sjui sa 9 test hii hapa😄😄😄😄 na tulitoboa kibishi na vijiji freedom Square
hahahahah....raha sana ukiijulia watu septmber comference mtu ameingiza karibu course tano na anachomoa
 
tumesoma na kuruka kwanja downtown, mo town, samaki samaki na tukatusua huyu yeye labda hakubalance muda SUA BILA kukomaa hutoboi na ma prof wakati mwingine wanatuhurumia wange amua kukaza wachache sana wangeoboa
Sasa passing mark ya 21 sijui 31 nanyi mnasema mnasoma? Tupo nanyi makazini wasuaso wa 2010's kuja juu. Ni vimeo tupu.
 
Wana JF,natumai mko sawa,hasa walioamua kuliona jambo hili katika hali ya elimu kitaifa kwa ujumla.
Binafsi sikua online muda mrefu kutokana na majukumu na hapa ya pale na kazi zetu hizi za kupangiwa na wakubwa.

Kuna watu wameuliza labda kuwa mimi sio muajiriwa wa sua halafu kuna sehemu najiita staff,ni kweli sio,na si kila staff hapa ni staff wa sua.
Katika tamko langu nimeweka hilo jambo ili ijulikane mapema kuwa naielewa sua na naandika nilichokiona sio kusimuliwa,morogoro niko miaka zaidi ya 15 sasa,hivyo nina uhakika ninachokisema,kwa kadri tunavyoendelea nitaweka na majina ya wahusika hadharani.

Pia kuna wengine wanasema mimi ni mwanafunzi nimedisco,ijulikane ya kuwa mimi si mwanafunzi,hii haitasaidia kuondoa jambo hilo la aibu liliofanyika hapa chuoni na wala haihalalishi ufedhuli huo unaoendelea.
Wengine wanasema nimeandika nasikia,hii ieleweke kuwa haya mambo si moja au mawili,bali msururu unajulikana.
Mtu mmoja amesema nikosea kusema tarafa ya magadu,kuwa ndipo ilipo kampasi kuu,nadhani huyo ni mmoja wa wahusika,anataka kuipoteza mada.

Nimetumia kiswahili kwa kuwa sijasoma kama hao wanaohongwa kirahisi kugeuza status za wanafunzi waliofeli.

karibuni dinner,location unit 6.
 
Acha upumbavu wako hapa,peleka hukohuko kwenye level zenu,zile hazikuwa tuhuma bali ukweli halisi ndio maana muhusika aliandika barua ya kuomba radhi na ipo kwenye mafaili,mwanafunzi alifutiwa matokeo akafanya mtihani upya mwezi wa 9 mwaka jana.
Wewe unatuambia tuhuma hazina ushahidi wa kutosha hapa,pumbavu.
Unadhani haijulikani michezo inayofanyika hapo chuo kila siku?.Wale wa idara ya hesabu waliokua wanachangisha pesa watoe ile pepa haijulikani?
Acha ujinga kabisa wewe mwanasuasa.Na mtachomolewa mmoja mmoja hadi mnyooke.Waalimu wazuri wapo hapo ila wabaya wapo pia mnataka kudanganya umma huu wa watanzania,acha ujinga.
Mkuu,tafadhali kwenye uzi huu sihitaji matusi.
 
Actually,Sua is overrated.
Ipo siku tutajua ukweli wote,ni suala la muda tu.
Nasubiri uliposema baada ya wiki utaleta info jinsi wanavyocheza na elimu.
Mimi nina taarifa kadhaa,kama zitakua hizo nitasema kitu,ila haya uliyoandika yatakua na ukweli,kwa kuwa Sua ya sasa inajulikana ukanjanja wake.

Vipi yule mama aliyegawa UE na marks wa kemia yupo hapo bado?,alikua anafundisha chemistry of natural products,aligawa marks akasahau mwanafunzi husika hakufanya UE mwisho takukuru wakadaka habari.
Nasikia baada ya hapo akazawadiwa uprofesa,kama ni kweli SUA ijitafakari!
Hilo la huyo dokta kuweka matokeo ya UE bila mwanafunzi husika kufanya mtihani imetokea mwaka jana semester ya kwanza,ilipojulikana watu wakataarifu uongozi kwa kuanzia college,lakini huwezi kuamini pamoja na uongozi kupata taarifa mapema kabisa mwezi wa 5 walikua wameachana nalo tu jambo siriasi kiasi hicho.

Mwezi wa 9 hapa takukuru wakatinga ghafla chuoni,inaonekana hiyo habari ni kweli,na huyo dogo alifutiwa yale matokeo ya bure,akafanya huo mtihani upya.
Mwezi wa 12 hapa daktari husika amepandishwa cheo,hii ni halisi.
Na tuhuma za kubuni matokeo anazo toka 2019 huko,na hizo za hivi karibuni ndio zilikua mbaya zaidi tatizo uongozi unalea wagonjwa wa kitaaluma.
 
Actually,Sua is overrated.
Ipo siku tutajua ukweli wote,ni suala la muda tu.
Nasubiri uliposema baada ya wiki utaleta info jinsi wanavyocheza na elimu.
Mimi nina taarifa kadhaa,kama zitakua hizo nitasema kitu,ila haya uliyoandika yatakua na ukweli,kwa kuwa Sua ya sasa inajulikana ukanjanja wake.

Vipi yule mama aliyegawa UE na marks wa kemia yupo hapo bado?,alikua anafundisha chemistry of natural products,aligawa marks akasahau mwanafunzi husika hakufanya UE mwisho takukuru wakadaka habari.
Nasikia baada ya hapo akazawadiwa uprofesa,kama ni kweli SUA ijitafakari!
Huyu tulikuwa tunamcheki nakusema kama mzee Magu hiiiiii! Tangu enzi zetu huyu mama ni majivuno ya kitoto huku tukijua mitihani anagawa tu. Sema hapo aliumbuka.

Tuko mitaani kwa hasira zetu lazima tuwanyee! Huyu mwenyewe hata English haipandi Hadi kichekesho tu
 
Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali.

Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine kipo Mazimbu.

Katika mtalaa wao wa masomo wa mwaka 2020 na kuendelea, mwanafunzi akifeli mitihani ya supplementary ataruhusiwa kufanya upya mtihani wa kozi husika hii inaitwa “third attempts” ila akifeli hapo ndio anakuwa amedisco.

Sasa cha kusikitisha kuna wanafunzi kadhaa wa kozi za Ualimu Chemistry na Biology (ECB) wamefanya hiyo mitihani ya “third attempts” na wamefail ila bado wameendelea na chuo huku wenzao waliofail wakidisco. Hii imeulizwa sana kwa watawala hapa college ila hakuna majibu ni kama wameziba masikio.

Mitihani hiyo ni CHE100 na ZOO (hizi ZOO ni nyingi)
Nimeamua kuileta hapa maana tunasikia kuna watu wamekula pesa kucheza na elimu hapa chuo, hata ukitoa taarifa hakuna anayefanyia kazi. Haya mambo yametawala sana hapa Mazimbu kuliko kule Magadu ilipo kampasi kuu, japo kule yapo pia ila hawachezi na mitihani wale jamaa.

TCU na TAKUKURU fatilieni haya mambo, inaumiza kuona kuna watu wanapeta bila kupingwa kisa ukabila, udini na rushwa, yaani mwanafunzi kufahamiana na lecture tu hapo uhakika wa kupata A upo, sio fair aisee.

Mimi ninafanya kazi hapahapa chuoni japo sijaajiriwa na serikali wala SUA, ila ni staff kwenye kazi yangu hapahapa, hivyo nimeandika nilichokiona kwa macho yangu lakini mkiona taarifa yangu haina ukweli njooni muhakikishe.

NB: Mkitaka majina ya wahusika yaani hao wanafunzi nitawapa hapahapa, situmii PM, ila nimeshawatajia kozi husika angalieni mtapata ukweli.

Leo nimetoa taarifa hii, kuna ushahidi nakusanya jinsi elimu inavyochezewa hapa chuoni huku TCU na Wizara ya Elimu zikidanganywa, hii nitaileta baada ya wiki toka leo.
Wakuu amani iwe nanyi.
Nilipotea katikati hapa kutokana na majukumu kadha wa kadha ya kujitafutia angalau mkono uende kinywani.

Katika aya ya mwisho nilisema nitaleta habari jinsi sua inavyoharibu elimu,kwa muda wa miezi karibu miwili nimefanya utafiti na kuthibitisha hilo.

Habari kamili jumapili mchana nitaileta hapa,naahidi hili kulipeleka kwa uongozi wa chuo,wizaya ya elimu na TCU pia.

Asanteni.
 
Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali.

Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine kipo Mazimbu.

Katika mtalaa wao wa masomo wa mwaka 2020 na kuendelea, mwanafunzi akifeli mitihani ya supplementary ataruhusiwa kufanya upya mtihani wa kozi husika hii inaitwa “third attempts” ila akifeli hapo ndio anakuwa amedisco.

Sasa cha kusikitisha kuna wanafunzi kadhaa wa kozi za Ualimu Chemistry na Biology (ECB) wamefanya hiyo mitihani ya “third attempts” na wamefail ila bado wameendelea na chuo huku wenzao waliofail wakidisco. Hii imeulizwa sana kwa watawala hapa college ila hakuna majibu ni kama wameziba masikio.

Mitihani hiyo ni CHE100 na ZOO (hizi ZOO ni nyingi)
Nimeamua kuileta hapa maana tunasikia kuna watu wamekula pesa kucheza na elimu hapa chuo, hata ukitoa taarifa hakuna anayefanyia kazi. Haya mambo yametawala sana hapa Mazimbu kuliko kule Magadu ilipo kampasi kuu, japo kule yapo pia ila hawachezi na mitihani wale jamaa.

TCU na TAKUKURU fatilieni haya mambo, inaumiza kuona kuna watu wanapeta bila kupingwa kisa ukabila, udini na rushwa, yaani mwanafunzi kufahamiana na lecture tu hapo uhakika wa kupata A upo, sio fair aisee.

Mimi ninafanya kazi hapahapa chuoni japo sijaajiriwa na serikali wala SUA, ila ni staff kwenye kazi yangu hapahapa, hivyo nimeandika nilichokiona kwa macho yangu lakini mkiona taarifa yangu haina ukweli njooni muhakikishe.

NB: Mkitaka majina ya wahusika yaani hao wanafunzi nitawapa hapahapa, situmii PM, ila nimeshawatajia kozi husika angalieni mtapata ukweli.

Leo nimetoa taarifa hii, kuna ushahidi nakusanya jinsi elimu inavyochezewa hapa chuoni huku TCU na Wizara ya Elimu zikidanganywa, hii nitaileta baada ya wiki toka leo.
Roho mbaya na uchawi ni watoto wa baba na mama mmoja....

Nacho Kipenda kutoka kwangu sijawai kufail mitiani.....
Na sijawai tumia njia za panya masomoni..
Nikisema niweke kitabu chochote kichwani Kwa kukikariri au kukielewa naweza.....🤓😂🤣
 
Umesoma chuo gani wewe? Hicho chuo ni kiboko! ulifaulu kila wakati na leo hii unaandika ......sijawai (sijawahi) .....mitiani (mitihani)
 
Wewe soma, acha Siasa za kijinga, unaenda kucheza disco Kila siku Samaki Samaki, mambo yamekuharibikia unakuja kulia huku
Sure. Bashite (graduate wa mchongo) anapeta kitaa
 
Back
Top Bottom