DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huoni hapo TAKUKURU waliona tuhuma hazina ushahidi wa kutosha kumtia hatiani. Maana polisi wala TAKUKURU hawakumfungulia mashtaka, wewe unawezaje kulishika jambo hilo kuwa ni la kweli. Acheni kushika uzushi unaokusudia kumchafua mtu. Uzuri uongo haujawahi kuushinda ukweli, huwa ni suala la muda tu.
 
Sua main campus ipo kata ya magadu
 
Acha upumbavu wako hapa,peleka hukohuko kwenye level zenu,zile hazikuwa tuhuma bali ukweli halisi ndio maana muhusika aliandika barua ya kuomba radhi na ipo kwenye mafaili,mwanafunzi alifutiwa matokeo akafanya mtihani upya mwezi wa 9 mwaka jana.
Wewe unatuambia tuhuma hazina ushahidi wa kutosha hapa,pumbavu.
Unadhani haijulikani michezo inayofanyika hapo chuo kila siku?.Wale wa idara ya hesabu waliokua wanachangisha pesa watoe ile pepa haijulikani?
Acha ujinga kabisa wewe mwanasuasa.Na mtachomolewa mmoja mmoja hadi mnyooke.Waalimu wazuri wapo hapo ila wabaya wapo pia mnataka kudanganya umma huu wa watanzania,acha ujinga.
 
Kwahiyo mtoa mada akiwa ni mwanafunzi mwenye uwezo mdogo inahalalisha jambo analolalamikia?
Ina maana aliposema campus magadu amekosea ujumbe wake haujaeleweka?.Tuache ujuaji.
Wewe ndio unasababisha watu weusi kuonekana wapumbavu.
Halafu makosa hayo madogo hayafanyi key points kutoonekana,bahati mbaya utakuta na wewe ni mtumishi wa serikali na unalipwa mshahara.
 
Nikiangalia, hata wewe uliyeandika ni mwalimu wake dhaifu, kwa uandishi wako. Hujui neno ni campus, umeandika campusi. Neno halafu umeandika alafu! Kusomea ualimu ni nini?
HITIMISHO: wewe uko hoi kuliko mwanafunzi wako kwa sababu, hukuweza kumuelimisha tangu mwanzo. Ndiyo lengo lake, kuja chuoni kwako.
 
Hii nchi Ina ujinga sana watu wanatetea uovu mnaotetea wote vilaza na mmefaulu Kwa rushwa au chabo
 
Mimi ninachojua pale SUA especially kuanzia 2014, sababu mimi nimetoka hapo Main Campus 2015, mambo yalibadilika, kama mleta mada alivyowasilisha.

Kuna UE, Sup., Third attempt(Ambayo ukifeli sup mara ya pili ni unaliwa kichwa)

Mnamo 2014, Kiliongezeka kitu kinaitwa Retake, baada ya Uasisi wa mfumo wa SUASIS, Retake(Baada ya kushindwa hiyo sup. Ikiwa ni third attempt level), uta-carry hilo somo na utafanya mtihani wake kwenye semester husika.

Naomba kuwasilisha na kama mambo yamebadilika nipo kupokea marekebisho.
 
Wewe soma, acha Siasa za kijinga, unaenda kucheza disco Kila siku Samaki Samaki, mambo yamekuharibikia unakuja kulia huku
Umeandikiwa kitu kingine, wewe unasema ni siasa. Kuna uhusiano gani wa alichoandika na siasa? Au unadhani kila mtu anasema CCM, CHADEMA, CUF, ACT.... Kuza akili yako ikupe umaarufu
 
We yanakuhusu nini,
Unaeweza ukawa sahihi ila binadamu ukianza kuona mambo ya watu wengine yanakuumiza roho mpaka unatamani kulia na kupasuka ujue ni dalili za mwisho kabisa za kukaribia kuwa ...........
Watu wenye maoni ya kijinga-jinga kama wewe huwa siwaachi. Kwa hiyo unataka nawe tukuache na tabia yako ya ushoga? Sisi inatuumiza sana kukuona una tabia hiyo miongoni mwetu!
 
Watu wenye maoni ya kijinga-jinga kama wewe huwa siwaachi. Kwa hiyo unataka nawe tukuache na tabia yako ya ushoga? Sisi inatuumiza sana kukuona una tabia hiyo miongoni mwetu!
Huo ndo uchawi, ushoga afanye mwingine kuumia uumie wewe, utakufa siku sio zako
 

Uliposema wewe ni staff ambaye hujaajiriwa na serikali hapo chuoni nimekuona ni muongo. Unakuwaje staff wa taaisisi ya serikali na serikali haijkuajiri?
 
tumesoma na kuruka kwanja downtown, mo town, samaki samaki na tukatusua huyu yeye labda hakubalance muda SUA BILA kukomaa hutoboi na ma prof wakati mwingine wanatuhurumia wange amua kukaza wachache sana wangeoboa
 
Uliposema wewe ni staff ambaye hujaajiriwa na serikali hapo chuoni nimekuona ni muongo. Unakuwaje staff wa taaisisi ya serikali na serikali haijkuajiri?
Bado nlikuwa najiuliza eti mi ni staff ila sjaajiriwa hapa chuoni😆😆😆 afu anajichanganya mara story za "naskia" mara haya nimeyashuhudia mwenyewe" sasa hapo linafanyiwa kazi lipi anatoa malalamiko na ushuhuda utafikiri shuhuda wa ajali barabarani khaaa....
 

haaaa haaaa
 
tumesoma na kuruka kwanja downtown, mo town, samaki samaki na tukatusua huyu yeye labda hakubalance muda SUA BILA kukomaa hutoboi na ma prof wakati mwingine wanatuhurumia wange amua kukaza wachache sana wangeoboa
SUA bana ni rahisi na ni ngumu pia...nakumbuka tulikuwa tukifanya tests nyingi jpili, watu tunaondoka ijumaa kwenda dar kuruka viwanja unarudi jpili asubuhiiiii na abood za kwanzakwanza sa 8 sjui sa 9 test hii hapa😄😄😄😄 na tulitoboa kibishi na vijiji freedom Square
 
Mtoa mada siku hizi zile fourth attempt hazipo? Nakumbuka kama zilikuwepo enzi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…