DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
hahahahah....raha sana ukiijulia watu septmber comference mtu ameingiza karibu course tano na anachomoaSUA bana ni rahisi na ni ngumu pia...nakumbuka tulikuwa tukifanya tests nyingi jpili, watu tunaondoka ijumaa kwenda dar kuruka viwanja unarudi jpili asubuhiiiii na abood za kwanzakwanza sa 8 sjui sa 9 test hii hapa😄😄😄😄 na tulitoboa kibishi na vijiji freedom Square
Sasa passing mark ya 21 sijui 31 nanyi mnasema mnasoma? Tupo nanyi makazini wasuaso wa 2010's kuja juu. Ni vimeo tupu.tumesoma na kuruka kwanja downtown, mo town, samaki samaki na tukatusua huyu yeye labda hakubalance muda SUA BILA kukomaa hutoboi na ma prof wakati mwingine wanatuhurumia wange amua kukaza wachache sana wangeoboa
Mkuu,tafadhali kwenye uzi huu sihitaji matusi.Acha upumbavu wako hapa,peleka hukohuko kwenye level zenu,zile hazikuwa tuhuma bali ukweli halisi ndio maana muhusika aliandika barua ya kuomba radhi na ipo kwenye mafaili,mwanafunzi alifutiwa matokeo akafanya mtihani upya mwezi wa 9 mwaka jana.
Wewe unatuambia tuhuma hazina ushahidi wa kutosha hapa,pumbavu.
Unadhani haijulikani michezo inayofanyika hapo chuo kila siku?.Wale wa idara ya hesabu waliokua wanachangisha pesa watoe ile pepa haijulikani?
Acha ujinga kabisa wewe mwanasuasa.Na mtachomolewa mmoja mmoja hadi mnyooke.Waalimu wazuri wapo hapo ila wabaya wapo pia mnataka kudanganya umma huu wa watanzania,acha ujinga.
Hilo la huyo dokta kuweka matokeo ya UE bila mwanafunzi husika kufanya mtihani imetokea mwaka jana semester ya kwanza,ilipojulikana watu wakataarifu uongozi kwa kuanzia college,lakini huwezi kuamini pamoja na uongozi kupata taarifa mapema kabisa mwezi wa 5 walikua wameachana nalo tu jambo siriasi kiasi hicho.Actually,Sua is overrated.
Ipo siku tutajua ukweli wote,ni suala la muda tu.
Nasubiri uliposema baada ya wiki utaleta info jinsi wanavyocheza na elimu.
Mimi nina taarifa kadhaa,kama zitakua hizo nitasema kitu,ila haya uliyoandika yatakua na ukweli,kwa kuwa Sua ya sasa inajulikana ukanjanja wake.
Vipi yule mama aliyegawa UE na marks wa kemia yupo hapo bado?,alikua anafundisha chemistry of natural products,aligawa marks akasahau mwanafunzi husika hakufanya UE mwisho takukuru wakadaka habari.
Nasikia baada ya hapo akazawadiwa uprofesa,kama ni kweli SUA ijitafakari!
Huyu tulikuwa tunamcheki nakusema kama mzee Magu hiiiiii! Tangu enzi zetu huyu mama ni majivuno ya kitoto huku tukijua mitihani anagawa tu. Sema hapo aliumbuka.Actually,Sua is overrated.
Ipo siku tutajua ukweli wote,ni suala la muda tu.
Nasubiri uliposema baada ya wiki utaleta info jinsi wanavyocheza na elimu.
Mimi nina taarifa kadhaa,kama zitakua hizo nitasema kitu,ila haya uliyoandika yatakua na ukweli,kwa kuwa Sua ya sasa inajulikana ukanjanja wake.
Vipi yule mama aliyegawa UE na marks wa kemia yupo hapo bado?,alikua anafundisha chemistry of natural products,aligawa marks akasahau mwanafunzi husika hakufanya UE mwisho takukuru wakadaka habari.
Nasikia baada ya hapo akazawadiwa uprofesa,kama ni kweli SUA ijitafakari!
Wakuu amani iwe nanyi.Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali.
Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine kipo Mazimbu.
Katika mtalaa wao wa masomo wa mwaka 2020 na kuendelea, mwanafunzi akifeli mitihani ya supplementary ataruhusiwa kufanya upya mtihani wa kozi husika hii inaitwa “third attempts” ila akifeli hapo ndio anakuwa amedisco.
Sasa cha kusikitisha kuna wanafunzi kadhaa wa kozi za Ualimu Chemistry na Biology (ECB) wamefanya hiyo mitihani ya “third attempts” na wamefail ila bado wameendelea na chuo huku wenzao waliofail wakidisco. Hii imeulizwa sana kwa watawala hapa college ila hakuna majibu ni kama wameziba masikio.
Mitihani hiyo ni CHE100 na ZOO (hizi ZOO ni nyingi)
Nimeamua kuileta hapa maana tunasikia kuna watu wamekula pesa kucheza na elimu hapa chuo, hata ukitoa taarifa hakuna anayefanyia kazi. Haya mambo yametawala sana hapa Mazimbu kuliko kule Magadu ilipo kampasi kuu, japo kule yapo pia ila hawachezi na mitihani wale jamaa.
TCU na TAKUKURU fatilieni haya mambo, inaumiza kuona kuna watu wanapeta bila kupingwa kisa ukabila, udini na rushwa, yaani mwanafunzi kufahamiana na lecture tu hapo uhakika wa kupata A upo, sio fair aisee.
Mimi ninafanya kazi hapahapa chuoni japo sijaajiriwa na serikali wala SUA, ila ni staff kwenye kazi yangu hapahapa, hivyo nimeandika nilichokiona kwa macho yangu lakini mkiona taarifa yangu haina ukweli njooni muhakikishe.
NB: Mkitaka majina ya wahusika yaani hao wanafunzi nitawapa hapahapa, situmii PM, ila nimeshawatajia kozi husika angalieni mtapata ukweli.
Leo nimetoa taarifa hii, kuna ushahidi nakusanya jinsi elimu inavyochezewa hapa chuoni huku TCU na Wizara ya Elimu zikidanganywa, hii nitaileta baada ya wiki toka leo.
Roho mbaya na uchawi ni watoto wa baba na mama mmoja....Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali.
Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine kipo Mazimbu.
Katika mtalaa wao wa masomo wa mwaka 2020 na kuendelea, mwanafunzi akifeli mitihani ya supplementary ataruhusiwa kufanya upya mtihani wa kozi husika hii inaitwa “third attempts” ila akifeli hapo ndio anakuwa amedisco.
Sasa cha kusikitisha kuna wanafunzi kadhaa wa kozi za Ualimu Chemistry na Biology (ECB) wamefanya hiyo mitihani ya “third attempts” na wamefail ila bado wameendelea na chuo huku wenzao waliofail wakidisco. Hii imeulizwa sana kwa watawala hapa college ila hakuna majibu ni kama wameziba masikio.
Mitihani hiyo ni CHE100 na ZOO (hizi ZOO ni nyingi)
Nimeamua kuileta hapa maana tunasikia kuna watu wamekula pesa kucheza na elimu hapa chuo, hata ukitoa taarifa hakuna anayefanyia kazi. Haya mambo yametawala sana hapa Mazimbu kuliko kule Magadu ilipo kampasi kuu, japo kule yapo pia ila hawachezi na mitihani wale jamaa.
TCU na TAKUKURU fatilieni haya mambo, inaumiza kuona kuna watu wanapeta bila kupingwa kisa ukabila, udini na rushwa, yaani mwanafunzi kufahamiana na lecture tu hapo uhakika wa kupata A upo, sio fair aisee.
Mimi ninafanya kazi hapahapa chuoni japo sijaajiriwa na serikali wala SUA, ila ni staff kwenye kazi yangu hapahapa, hivyo nimeandika nilichokiona kwa macho yangu lakini mkiona taarifa yangu haina ukweli njooni muhakikishe.
NB: Mkitaka majina ya wahusika yaani hao wanafunzi nitawapa hapahapa, situmii PM, ila nimeshawatajia kozi husika angalieni mtapata ukweli.
Leo nimetoa taarifa hii, kuna ushahidi nakusanya jinsi elimu inavyochezewa hapa chuoni huku TCU na Wizara ya Elimu zikidanganywa, hii nitaileta baada ya wiki toka leo.
Umesoma chuo gani wewe? Hicho chuo ni kiboko! ulifaulu kila wakati na leo hii unaandika ......sijawai (sijawahi) .....mitiani (mitihani)Roho mbaya na uchawi ni watoto wa baba na mama mmoja....
Nacho Kipenda kutoka kwangu sijawai kufail mitiani.....
Na sijawai tumia njia za panya masomoni..
Nikisema niweke kitabu chochote kichwani Kwa kukikariri au kukielewa naweza.....🤓😂🤣
Sure. Bashite (graduate wa mchongo) anapeta kitaaWewe soma, acha Siasa za kijinga, unaenda kucheza disco Kila siku Samaki Samaki, mambo yamekuharibikia unakuja kulia huku