TCU rudisheni mfumo wa kudahili wanafunzi vyuoni kwa njia ya mtandao (CAS)

Kwanza unawatengenezea hao watoto tatizo ambalo hawana na hawajaliona kama ni kero kwao.
Alafu unaishia kusema kuna Udini, ukabila na Rushwa bila kusema wazi ni wapi hapo kwenye hayo mambo.
Hiyo ni Kazi ya TCU kufanya evaluation ya uhahiri kwenye vyuo vyake. Ifanye utafiti wa kupata idadi ya watoto wote walioomba kudahiriwa kwenye kila chuo Na ufaulu wao Na wale waliodahiriwa Na ufaulu wao ili kujua kama kulikuwa Na walioachwa wenye ufaulu mkubwa kuliko ule wa waliodahiriwa katika kila kozi kila chuo. Mimi ni whistle blower tu kaka unanionea kuniomba nikwambie nani kafanya nini.
 
Mkuu hapa tatizo sio CAS bali ni wewe mwenyewe, umejaza option ambayo huipendi. Wao wanajua umeipenda na wamekupa. Hili ni tatizo la wengi waolalamika hawajui nini wanataka.
 
Vyuo vikisha fanya selection hupeleka majina ya waliomba wote na tcu hupitia kuona kama waliochaguliwa wastahili na kama waloachwa kweli wameachwa kihalali.
 
Ki ukweli CAS haipangii mtu chuo. Kilicho kuwa kinatokea kuna wanafunzi ambao kutokana na ufaulu wao na chaguzi zao walikosa nafasi kabisa. Badala ya kuwaacha kabisa tcu iliwa nafasi waliko ona ufaulu wao unaendana nako, lakini kama mtu hapendi ana acha.
Jambo lingine CAS ni automated na haina multiple selections hakuna nafasi inayopotea.
 
Vyuo vikisha fanya selection hupeleka majina ya waliomba wote na tcu hupitia kuona kama waliochaguliwa wastahili na kama waloachwa kweli wameachwa kihalali.
We jamaa hiyo sio kweli, TCU wanahakiki kama waliochaguliwa wana at least the MINIMUM pass kwaajili ya kozi walizochaguliwa, lakini haingalii kwanini kwenye BBB kaachwa na kuchukuliwa mwenye CCD.
 
Mimi nilichaguliwa kulinga na hyo system ya CAS naona ilikuwa nzuri kuliko ya Sasa unaomba vyuo vitano na kila chuo na ada ya kuomba Mara kufanya ma verification plus usumbufu mwingi na gharama
 
Hata Sasa hivi ka hauna cut off point za udsm hawakuchukui kabisa mzee licha ya kuomba vyuo vingi. So CAS ilikuwa system nzuri na rahisi
 
Mfumo wa CAS sii mzuri, ni wa kizamani. Hata ulaya hawafanyi ujinga huu.
 
Mimi nilichaguliwa kulinga na hyo system ya CAS naona ilikuwa nzuri kuliko ya Sasa unaomba vyuo vitano na kila chuo na ada ya kuomba Mara kufanya ma verification plus usumbufu mwingi na gharama
Mfumo wa CAS sio mzuri hata kidogo. Sikudanganyi hata ulaya hawafanyi hivyo.
 
Mimi chagua langu la kwanza lilikuwa Hilo hilo
Sasa chuo kikuu sio sekondari kuanza kuchaguana tunaingia form one au five. Duniani kote mtu anachagua vyuo vyote anavyovipenda, kisha anafanya, maamuzi ya mwisho mwenyewe na sio kufanyiwa maamuzi ya kozi ya kusoma.
 
Ufaulu wako ndo muamuzi mkuu..hujipangii tu wewe na three yako ya PCB isiyokuwa na kichwa wala miguu kutaka kwenda kusoma MD Muhas.
 
Sasa chuo kikuu sio sekondari kuanza kuchaguana tunaingia form one au five. Duniani kote mtu anachagua vyuo vyote anavyovipenda, kisha anafanya, maamuzi ya mwisho mwenyewe na sio kufanyiwa maamuzi ya kozi ya kusoma.
Hata hyo system unachagua course unazoxitaka kulingana na ufaulu, cut off point na competition Sasa umepata three mbovu wataka kwenda udsm competition inakutupa kupeleka kwenye choice zako nyingine. TCU ilikuwa haikupangii course ambayo haujaomba.
 
Kila mtu anavutia kwake aiseee
 
Kama unavifahamu vyuo vya Diploma Afya, Uhandisi au Ualimu ambavyo n bure. Nitajie plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…