Thanks for contacts. Ila Naweza pata namba ya whatsapp bro? Nimejaribu hio ili nikutumie yangu ila naona haiko active kwa whatsapp. Nipo nje ya nchi this minute kwa hio njia reliable ya kuwasiliana na Tz numbers ni kupitia whatsapp. Japo nitakuwa in Tanzania in 2 weeks.
I added +255 tokea mwanzo. Naona ilikuwa inachelewa tu. Yess! We are connected bro. Nimekutumia message. Thanks.+255 719 723 119
Hii media team inahitaji watu mbalimbali kama camera personnel, equipment handlers, drivers, video editors, audio technicians, etc. Nimegundua ni rahisi kufundisha watu hayo mengine. Always ugumu unakuja in English. Hayo mengine ukikomalia na mtu, anajifunza hata in 1 to 2 months vizuri. Ila English language sio kitu cha miezi.. na wengi kama hajui ni hajui tu. Kwa hio ndio maana hio ni one of primary qualities, then mengine watajifunza. Ndio maana pia ni lazima awe fast learner pia. Mwenye akili ya kujifunza haraka.Vijana unaowatafuta ni kwenye different field of experts au una specialize kwenye ujuzi mmoja wawe wanajua
Kila kitu nikujifunza na vyote vinawezekana, ni utayari tuu wa mtu kutaka kujua kile anachojifunza.fast learner pia. Mwenye akili ya kujifunza haraka
Could you please write those sentences in English? Thanks buddy.Kila kitu nikujifunza na vyote vinawezekana, ni utayari tuu wa mtu kutaka kujua kile anachojifunza.
Sasa naona nianze kuomba nafasi maana kingereza kipo ila hayo mengine umesema tutafunzwa kama sio kufundishwa..
Nawasilisha
mkuu naomba pia niombe nafasi kwani mambo yanayohusu tourism nimo...na kama ulivyosema kuhusu kujifunza mambo mengine me n mwepesi wa kujifunzaHii media team inahitaji watu mbalimbali kama camera personnel, equipment handlers, drivers, video editors, audio technicians, etc. Nimegundua ni rahisi kufundisha watu hayo mengine. Always ugumu unakuja in English. Hayo mengine ukikomalia na mtu, anajifunza hata in 1 to 2 months vizuri. Ila English language sio kitu cha miezi.. na wengi kama hajui ni hajui tu. Kwa hio ndio maana hio ni one of primary qualities, then mengine watajifunza. Ndio maana pia ni lazima awe fast learner pia. Mwenye akili ya kujifunza haraka.
I hope you will see my future post when I am ready to receive applications. I am not ready to do so at this time.Everything is learning and everything is possible.
It is a personal willingness to want to know what he is learning. I am asking for a job opportunity because the rest you have said we will know through learning .
Hili sio tangazo la kazi. Ni post ya kuomba ushauri wa namna ya kupata hio team ninayoihitaji. Nitapost hilo tangazo in the near future, and I hope utakuwa online kuliona. Tarehe kamili siijui bado.mkuu naomba pia niombe nafasi kwani mambo yanayohusu tourism nimo...na kama ulivyosema kuhusu kujifunza mambo mengine me n mwepesi wa kujifunza
DocJayGroup
sawa shukran pia...nalisubiri tangazoHili sio tangazo la kazi. Ni post ya kuomba ushauri wa namna ya kupata hio team ninayoihitaji. Nitapost hilo tangazo in the near future, and I hope utakuwa online kuliona. Tarehe kamili siijui bado.
Hii ilikuwaa IELSTI hope you will see my future post when I am ready to receive applications. I am not ready to do so at this time.
Your translated phrases are okay, but the most correct form is written here below:
If there is willingness, anything can be acquired through learning. I kindly request to be given an opportunity to be in your team. I am very fluent in English, and I am also a very fast learner. I therefore believe that I can easily acquire all the skills which are needed in order to become a highly-qualified team member.
Sentensi ya kwanza ni tafsiri ya penye nia ya kujifunza uwezo au njia ipo. Umeandika sentences 3 ambazo ungeweza kuzielezea kwa hii sentence moja tu. Translating to English haufuati neno kwa neno, focus ni context - maanake ujumbe usipotee na pia usiandike sentences nyingi sana kama hakuna ulazima huo. Short and clear phrases are always better. Pia hizo sentences nyingine kweli hazieleweki kwamba unaongelea nini hapo. Nilivyoandika ndio inavyotakiwa kujielezea kwamba unajua English, una akili ya kujifunza, na mengine yote utayapata kwa uhakika sababu sifa unazo.
Hapa nakubaliana na weweKwa gharama yeyote ni sawa kama mtu ana huo uzoefu (Experience Kubwa). No problem kabisa. Ila unakuta Mtu anasema ana uzoefu, lakini hakuna kitu. Yani nyani haoni ku&***le. Mtu ni sifuri kabisa, ila anajipamba kweli kwa maneno. Tanzania challenge ya skilled workers ipo sana sana. Watu wanaotaka kazi ni wengi. Ila quality ndio tatizo.
Boss, mm naweza kufanya mambo mengi kuhusu video kama ulivyosema hapo, project itakapokuwa tayari naomba unichek ila kwa sasa niko DarHii media team inahitaji watu mbalimbali kama camera personnel, equipment handlers, drivers, video editors, audio technicians, etc. Nimegundua ni rahisi kufundisha watu hayo mengine. Always ugumu unakuja in English. Hayo mengine ukikomalia na mtu, anajifunza hata in 1 to 2 months vizuri. Ila English language sio kitu cha miezi.. na wengi kama hajui ni hajui tu. Kwa hio ndio maana hio ni one of primary qualities, then mengine watajifunza. Ndio maana pia ni lazima awe fast learner pia. Mwenye akili ya kujifunza haraka.
Ukiitaji IT expect kwa ushauri na project nipo kukusaidia
sijakuelewa ungetoa ufafanuzi kidogo labda ungenisaidiaSijawahi kuona IT EXPECT akihitajika sehemu yoyote ile duniani. IT experts wataajiriwa na kukuacha wewe IT EXPECT.
Mkuu hujawa specific kuwa unataka watu wenye skills gani, naona umetupa jiwe kizani.Hio Kampuni ya Media ambayo iko integrated kwa mambo ya tourism, ilibidi niiisimamishe kwa muda kwa sababu vijana waliokuwepo walikuwa waswahili, wavivu, na wasiojituma. Ili kuirudisha tena, nahitaji Vijana Wachapa Kazi sana. Kila mfanyakazi ni lazima ajue English vizuri kwa kunyooka sababu itahusika na International media productions.
Qualities za prospective team member jumla ni 5, namely,
(1)High level of English proficiency.
(2)Ability to commit kwa kazi na safari muda wowote.
(3)Uaminifu sana kwa kazi, rasilimali, na fedha.
(4)Akili ya kujifunza haraka,
(5)Mchapa kazi sana asiyeweka hela mbele.
Tanzania nifanyeje ili kupata vijana kama hao? Naombeni ushauri wana JF.
Studio kali. Majengo. Equipment za kisasa, na Magari (Land cruisers) vipo. Kweli kinachokosekana ni Team Kali. Na pasipo team kali, MAFANIKIO HAKUNA. Wajasiriamali wenzangu mnaelewa hilo. I.e. Your team will make you or break you. In other words, the quality of human resources determines whether the business succeeds or fails.
PS: Ofisi na makao makuu yako Arusha. Ila team itasafiri sehemu mbalimbali Tanzania.
PS: Tangazo official bado. Nimepost ili kupata ideas (brainstorming) za namna ya ku-recruit team members successfully. Kuna aliyeuliza contacts. Muda muafaka ukifika, zitawekwa.
Hahahaha, Nimecheka kwa nguvu alafu kwenye public car..! Yote kwa yote na jamaa bado hajakuelewaSijawahi kuona IT EXPECT akihitajika sehemu yoyote ile duniani. IT experts wataajiriwa na kukuacha wewe IT EXPECT.
Thanks for sharing with us,Hio Kampuni ya Media ambayo iko integrated kwa mambo ya tourism, ilibidi niiisimamishe kwa muda kwa sababu vijana waliokuwepo walikuwa waswahili, wavivu, na wasiojituma. Ili kuirudisha tena, nahitaji Vijana Wachapa Kazi sana. Kila mfanyakazi ni lazima ajue English vizuri kwa kunyooka sababu itahusika na International media productions.
Qualities za prospective team member jumla ni 5, namely,
(1)High level of English proficiency.
(2)Ability to commit kwa kazi na safari muda wowote.
(3)Uaminifu sana kwa kazi, rasilimali, na fedha.
(4)Akili ya kujifunza haraka,
(5)Mchapa kazi sana asiyeweka hela mbele.
Tanzania nifanyeje ili kupata vijana kama hao? Naombeni ushauri wana JF.
Studio kali. Majengo. Equipment za kisasa, na Magari (Land cruisers) vipo. Kweli kinachokosekana ni Team Kali. Na pasipo team kali, MAFANIKIO HAKUNA. Wajasiriamali wenzangu mnaelewa hilo. I.e. Your team will make you or break you. In other words, the quality of human resources determines whether the business succeeds or fails.
PS: Ofisi na makao makuu yako Arusha. Ila team itasafiri sehemu mbalimbali Tanzania.
PS: Tangazo official bado. Nimepost ili kupata ideas (brainstorming) za namna ya ku-recruit team members successfully. Kuna aliyeuliza contacts. Muda muafaka ukifika, zitawekwa.