Team kali inahitajika kwa Kampuni ya Media

Team kali inahitajika kwa Kampuni ya Media

Mi niliteseka sana na wafanyakazi ktk project moja hivi, vijana wengi wavivu hatari.. What I did nilichukua foreigner mmoja wa kiasia akawa ndio team leader, wengine wabongo, nakwambia mbona kazi ilienda hahahaha....

Maana before nilikua nikilalamika sana, baada ya kuleta muasia mambo yakanyooka...nilimkabidhi muasia uongozi...

Ndio maana ukienda hotel nyingi kubwa waasia na Majirani zetu wapo huko we unafikiri ni kwanini..

Ila Watz tubadilike wajameni wengi tu wavivu mno, hakuna kujituma, kitu hadi usimamiwe wee ndo kifanyike... Shida sana
 
Hongera mkuu kwa kufanikisha
Japo bado haiondoi ukweli kuwa,Hata Watanzania wanaofanya vizuri wapo.Mfano ni Ayo Tv,Hana msimamizi toka nje ,Lakini Online TV yake inafanya vizuri.

So inahtajika trust na team uliyonayo,Lakini pia delegation ni muhimu kufanyika.Usitake kila kitu na kila sehemu kuwa wewe tu ,Na zaidi ni kujipa probation time.
 
Navyofahamu mimi kampuni na taasisi huwa zinainvest kwenye kukuza ujuzi na vipaji vya wafanyakazi wao through onjob training..elimu tunazopata darasani zipo general unapoingia kazini unakua specific based on nature na malengo ya kampuni...usiwanyime vijana kwa kuwa hawana specific knowlegde...wape vijana kazi then wakuze kulingana na malengo na dira ya kampuni... Hivi leo Air Tanzania ikiajiri rubani wanamuweka rubani kwenye mpango wa mafunzo ili aweze kucapture na malengo, dira na mazingira ya kampuni ata haijalishi huyo rubani ni swangini kiasi gani kwenye industry ya aviation.
If unahitaji kuwa na wafanyakaz wenye quaifications unazotaka basi kampuni yako ifungue chuo ambacho kitakuwa kinatrain watu kuhusu hizo shughuli unazofanya...so akigraduate anakuwa tayari ameiva kufanya kazi zako...uelekeo huu pia unatumiwa na baadhi ya kampuni kubwa duniani zikiwemo makamPuni ya ndege, hotels, IT etc.
 
Back
Top Bottom