Mi niliteseka sana na wafanyakazi ktk project moja hivi, vijana wengi wavivu hatari.. What I did nilichukua foreigner mmoja wa kiasia akawa ndio team leader, wengine wabongo, nakwambia mbona kazi ilienda hahahaha....
Maana before nilikua nikilalamika sana, baada ya kuleta muasia mambo yakanyooka...nilimkabidhi muasia uongozi...
Ndio maana ukienda hotel nyingi kubwa waasia na Majirani zetu wapo huko we unafikiri ni kwanini..
Ila Watz tubadilike wajameni wengi tu wavivu mno, hakuna kujituma, kitu hadi usimamiwe wee ndo kifanyike... Shida sana