Team Mbowe, sasa tuingie msituni kuhakikisha Lissu anakwama kuongoza chadema na hapati urais

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
 
Aliye barikiwa kabarikiwa tu . Sana sana majaribu timu mbowe watakayompa Tundu Antipas Lissu yatamkomaza na kumfanya kuwa imara zaidi. Tundu Lissu atatoboa mitego yote iliyopo mbele yake . Mtiririko wa mipango katika uongozi wake haitakwama,itafanikiwa tu.
 
Mmefanya figisu kwenye uchaguzi mmekwama , mnafikiri Lisu mtaweza kumkwamisha? Tafuteni shughuli za kufanya mtapoteza muda wenu bure
Wawalipie kwanza waliozuiliwa vitu vyao hotelini waliokuwa wamekuja kwenye uchaguzi huo
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Hakikisha unaanzia uzi kila siku kumhusu Lisu.

Sisi wazungusha ngumi tutakujibu
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Huna jipya. Kama yale maandamano aliyoitisha Mbowe wewe uliandamana ukiwa kitandani kwenye blanket huku ukichungulia simu kuhusu yanayoendelea huko nje, utayaweza ya msituni? Tatizo kamdomo, kamdomoo
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Huku kuifahamu na kuikuza Demokrasia Bado safari ndeeeefu sana.
 
Back
Top Bottom