Team Mbowe, sasa tuingie msituni kuhakikisha Lissu anakwama kuongoza chadema na hapati urais

Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Lissu ndo mtu pekee aliyeonja sumu na kutodhurika..😀😀 Mnyampaa kaonja sumu huku akiwa na risasi mwilini... ni kiumbe mbishi mno kuwahi kutokea.
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Ccm inaweza kufanya lolote ila mkono wa MUNGU utaepusha maovu yote. Na wewe chiembe ndiye mkaanga sumu bingwa.
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Mtakuwa wajinga wa kupindukia hata kama hafai mnatakiwa kuboresha ili msonge mbele! Kiongozi yupo pale kutekeleza matakwa yenu! Acheni Ujinga.
 
Tumwombee Lissu aijenge CHADEMA moja - pasiwepo vyama viwili visivyo rasmi ndani ya chama kimoja!
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Pumbavu
 
Au kwa sababu haponyi majeraha?
 
Kwa kashfa Lissu and company walizo mzulia Kiongozi wao aliyewalea na Kula nao kwa upendo, hii karma haitamuacha salama!

Japo kwa unafiki aliposhinda akaanza kumwaga sifa na shukrani kwa Mbowe, Lakini maneno ni roho.
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Ndugu Chiemba hizo ni habari za proper-ganda, hakuna mtu ana hati miliki ya chama chochote cha siasa. Watu wafuate katiba za vyama vyao ili mambo yaendelee. Ikiwa mfumo wa uchaguzi wa CHADEMA umemkubali TAL kuwa mwenyekiti wake basi wanachadema hamna budi mkawekeza nguvu, akili na maarifa ya kukipambania chama. Watu wenye akili kama zenu wanakuwa na chembechembe za uhaini kwa chama na kwa nchi pia.
 
Ccm wajinga sana yani wameshindwa kutulizana kwenye chama chao sasa wanataka kuwekeza chuki Chadema hamta weza kamwe wehu nyie
 
Hivi mtu adi kapigwa risasi kibao na na bado hakufa af wewe unataka kumshinda kwa hujuma 😁
 
Ni wakati mzuri kwa Mtanzania mwenye akili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tangu tupate uhuru. Lissu kaletwa na Mungu ndio maana alimuokoa katika lile shambulio. Chonde chonde watanzania wenzangu.
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Mko wangapi!? Ndo wale 400+ mliompigia kura Sultan Mbowe? Sasa mtafua vipi dafu mbele ya mamilioni ya Watanzania wenye imani na T.A.Lissu!?
 
Back
Top Bottom