MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Lissu ndo mtu pekee aliyeonja sumu na kutodhurika..😀😀 Mnyampaa kaonja sumu huku akiwa na risasi mwilini... ni kiumbe mbishi mno kuwahi kutokea.Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe