Team Mbowe, sasa tuingie msituni kuhakikisha Lissu anakwama kuongoza chadema na hapati urais

Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Kadiri mnavypanda miba, ndivyo atazidi kustawi 😅😅
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Timu mbowe sote KURA ZETU KWA CCM, LISSU HAWEZI ONGOZA CHADEMA.
SISI WAJUMBE 482 KURA ZETU ZOTE KWA CCM.
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Malizeni kwanza mzozo wa Samia kuwacheza Shere kule Idodomya
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Uchochezi huo! Ebu subiri kidogo!
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Malizaneni na mshangazi wa Unguja kwanza maana amewatenda kweli kweli kule Dodoma hata hamuamini macho yenu hayawani nyie.
 
Hii inaonesha jinsi TL alivyokuwa na nguvu. Anafahamu nguvu aliyonayo.
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Yupo kwenye atua za mwisho kufukuza mamluki wote
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Wajinga na machumia tumbo wenzio ndio watakuunga mkono.
Chama ni mali ya wanachama
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Hapana mwacheni tu afanye kazi nanyi mpumzike,kama hamumpendi nyie hameni,ama anzisheni chama cheny,au ingieni kwenye vyama vingine vya siasa
 
Kura 482 against mamilioni ya wanachama wa Chadema na wasio wanachama ,are you kidding?
Mamilion yapi?, wenye imani na chadema hawazidi million 3 tu. Hapo ndipo shida ilipo, never assume kwamba wengi wanaamini katika chadema Illusion speeches, kwani mfumo wa kiutawala hawana kabisa hata wakishinda sijui watokota wapi viongozi wao!
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Sonona hii.
 
Mamilion yapi?, wenye imani na chadema hawazidi million 3 tu. Hapo ndipo shida ilipo, never assume kwamba wengi wanaamini katika chadema Illusion speeches, kwani mfumo wa kiutawala hawana kabisa hata wakishinda sijui watokota wapi viongozi wao!
Wewe ni mccm baki na CCM yako ya huku tuachie wenyewe, please.
 
Back
Top Bottom