Team Mbowe, sasa tuingie msituni kuhakikisha Lissu anakwama kuongoza chadema na hapati urais

Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Mawazo ya kijinga sana haya.
 
Team mbowe inatakiwa ijifie yenyewe kifo cha asili ili isiwe mwiba kwa CHADEMA mpya. Hata hivyo itasambaratika mapema kabla ya kutekeleza hujuma zao
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Wewe kama sio Yeriko Nyerere, sio Ntobi basi mpo na ushirika wa karibu na watu tajwa hapo juu , chama kipo mikono salama , Upumbavu huu umeandika utakuletea shida ,tunza hii,

Wewe upo chembe chembe za uhaini katika taifa hili , chunga mdomo wako,
 
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.

Hii Vita haijaisha mpaka iishe
CCM ni tatizo kubwa nchi hii tuwakatae.
 
Back
Top Bottom