Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Kadiri mnavypanda miba, ndivyo atazidi kustawi 😅😅Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Timu mbowe sote KURA ZETU KWA CCM, LISSU HAWEZI ONGOZA CHADEMA.Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Kila mtu atabeba mzigo wakeKila mtu atakula alikopeleka mboga
Mleta uzi ni Ccm pure, ameandika dhihaka/kejeli tuKwa akili hizi kweli mna mpango wa kuchukua dola siku mmoja?
Malizeni kwanza mzozo wa Samia kuwacheza Shere kule IdodomyaNi wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Uchochezi huo! Ebu subiri kidogo!Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Malizaneni na mshangazi wa Unguja kwanza maana amewatenda kweli kweli kule Dodoma hata hamuamini macho yenu hayawani nyie.Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Yupo kwenye atua za mwisho kufukuza mamluki woteNi wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Wajinga na machumia tumbo wenzio ndio watakuunga mkono.Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Huyo ni li ccm mwenzako, usichanganyikiwe dada!Kwa akili hizi kweli mna mpango wa kuchukua dola siku mmoja?
Hapana mwacheni tu afanye kazi nanyi mpumzike,kama hamumpendi nyie hameni,ama anzisheni chama cheny,au ingieni kwenye vyama vingine vya siasaNi wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Kura 482 against mamilioni ya wanachama wa Chadema na wasio wanachama ,are you kidding?Timu mbowe sote KURA ZETU KWA CCM, LISSU HAWEZI ONGOZA CHADEMA.
SISI WAJUMBE 482 KURA ZETU ZOTE KWA CCM.
Mamilion yapi?, wenye imani na chadema hawazidi million 3 tu. Hapo ndipo shida ilipo, never assume kwamba wengi wanaamini katika chadema Illusion speeches, kwani mfumo wa kiutawala hawana kabisa hata wakishinda sijui watokota wapi viongozi wao!Kura 482 against mamilioni ya wanachama wa Chadema na wasio wanachama ,are you kidding?
Sonona hii.Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Wewe ni mccm baki na CCM yako ya huku tuachie wenyewe, please.Mamilion yapi?, wenye imani na chadema hawazidi million 3 tu. Hapo ndipo shida ilipo, never assume kwamba wengi wanaamini katika chadema Illusion speeches, kwani mfumo wa kiutawala hawana kabisa hata wakishinda sijui watokota wapi viongozi wao!