TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

Hawa maustaadhi naona wanakosea sana aisee kwa hiyo wakiwa kwenye Nchi ambayo wao wapo sita harafu hiyo Nchi watu wanakula mchana hawawezi kufunga hizi mambo wanazofanya ni za kiboya sana sana unaefunga si wewe mambo ya kula ya mtu mwingine inahusiana nini na wewe....
 
inaweza ikawa sahihi au siyo sahihi sijasikia hoja yake hasa kwa kirefu
Usikie hoja gani wakati pesa husika ni kodi za watanzania wote, kwa kukazia tu ni kwamba serikali haina dini hivyo rais hatakiwi kujihusisha na mambo ya dini.
 
Wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani?
 
Usikie hoja gani wakati pesa husika ni kodi za watanzania wote, kwa kukazia tu ni kwamba serikali haina dini hivyo rais hatakiwi kujihusisha na mambo ya dini.
Kwani tunavyotoa pesa za kodi kwa ajili ya kuwapa kanisa kwenye mou huwa kodi ya wakristo peke yake?
 
Hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika
 
SAsa wakemee kitu kilichokuwa kikifanywa na kutungwa Tangu mwaka miaka ya 1400s..

Zanzibar si.ya wakristo tukubali hicho jama..
Sheria hizi zimekuwa zikifanywa kila mwaka hata mwaka jana, Mwaka juzi..
Una Umri gani??
Katiba inasemaje kuhusu dini.. usijekuta unamuuliza umri wake na hujui katiba yasemaje kuhusu dini. Zanzibar sio ya kiislamu wala kikristo. Ipo neutral mzee

Kuna kitu kinaitwa bylaws haiwez overrides katiba mkuu.. hao wanaochapa watu wanatakiwa wachukuliwe hatua kali za kisheria.

Nchi haifuati sheria, viongozi hawafuati sheria, wananchi hawafuati sheri, hiyo nchi niyawahuni kama wAhuni wengine walivyo
 
Unasahau Kuwa zanzibar wana Katiba yao??
 
Hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika
Sheria za kijinga hizo hao Wazanzibar wengi ni watu wa Tabora huko Nzega...
Yaani kufunga kwangu iwe kero kwa mwingine huo ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa...
 
Kwaio na watalii wazungu nao hawali kipindi hiki cha mfungo au kichapo ni kwetu tu sisi wenyeji?
 
Kuna Muislamu au Mzanzibari alifanya kama wanavyofanya hao wanaotetewa akaachwa kwa sababu tu ya Uislamu wake au Uzanzibari wake?
 
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ina makosa sana, HAKUNA sheria yoyote inanyosema ama kukataza watu kutokula wakati wa mfungo wa Ramadhani, wanayofanya walalahoi wa kule kukamata wenzao wanaokula mchana ni makosa na serikali iko kimya kana kwamba wanaunga mkono huu ujinga. Serikali ilaumiwe kwa ujinga huu.
 
SAsa wakemee kitu kilichokuwa kikifanywa na kutungwa Tangu mwaka miaka ya 1400s..

Zanzibar si.ya wakristo tukubali hicho jama..
Sheria hizi zimekuwa zikifanywa kila mwaka hata mwaka jana, Mwaka juzi..
Una Umri gani??
Zanzibar ni Nchi ina sheria na taratibu zake kwani wamelazimishwa kuishi huko?
Si waondoke .
Ni sawa na kuwaambia Muslim wakawqtetee Muslim wa China wanaozuiwa kufunga.
Waondoke na waende kwenye Nchi ambazo watafanya ibada zao kwa uhuru kwani Ardhi sio pana.

Hivyo washaurini warudi kwao kama wanawalalamikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…