GE2025 TEC: Ewe Mungu, Tuma Roho wako, afanye upya uso wa Nchi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tunajua mgao wote wa vituo vya mafuta na matajiri wanavyotembeza pesa kwa imani hiyo,tunaomba haki,na sio kufuja.mali za nchi, Uranium na bandari mmegawa kirahisi mno
 
Mfa maji. Kwanza nyie tunawachukia kama nini. Makafiri tunajua ni wapagani. Hakuna mkristo atakayeenda mbinguni never. Njoo uislam kabla kiama hakijawadia
Waislam (sijui niseme baadhi yenu au wote) linapokuja suala la kumtetea mwenzenu mjinga huwa mpo vizuri sana.

Kinasikitisha zaidi wewe ktk familia ya samia hakuna hata anayekujua lakini ile kuwa anaabudu kama wewe tu unajiona maisha umeyamaliza kumbe maskini mmoja tu hapo Kisiju hata mia ya panadol huna.
 
Kagawane urithi wa umaskini uliorithishwa na baba yako na ndugu zako msiokuwa na akili hii nchi itabaki na umoja kama ilivyokuwa awali.
 
Kagawane urithi wa umaskini uliorithishwa na baba yako na ndugu zako msiokuwa na akili hii nchi itabaki na umoja kama ilivyokuwa awali.
Mafundisho yote ya kushika mali nyingi kwa dhurma wakati unaenda sana,bandari imetoka.haraka mno tena Tena kwa kasi ya jet na pia Uranium inatokea wakati mkataba wa haraka kapewa fisadi Rostam
 
..wamisionari wasingekuja wewe wala usingezaliwa sabb ukoo wenu ungekuwa wanakufa na mabusha sugu yasiyopona!
 
Sijui nani wa kutusaidia watanzania maana chuki inayojengeka kati yetu inajengeka kwa kasi ya hatari mno. Nikitizama tukio la vijana pale Kongwa na sasa hili la TEC naogopa sana tunapoelekea kama taifa sijui ni mimi tu mwenyewe au wenzangu pia mnaona.

TEC wametoa muongozo wa kufunga na kuombea amani na haki kwenye uchaguzi ujao lakini baadhi ya wachangiaji hapo wanapotosha kuwa eti viongozi wa serikali wanaombewa mabaya. Kwa kifupi tu maaskofu sio wajinga kiasi hicho wapoteze muda wao kuwaombea mabaya viongozi wa serikali wakati wanajua wazi kwa imani ya kikristo Mungu hapokei sala za aina hiyo kabisa. Kwa kifupi kwenye ukristo na hasa ukatoliki katu hakuna aina ya sala kama albadiri. Katika ukristo imani iliyopo ni kuwa "kisasi ni cha Mungu na si kazi ya mwanadamu"

Maaskofu wangekuwa na nia mbaya ilikuwa ni rahisi tu wangesimama altareni na kuwatangazia wakatoliki wote wasikanyage kwenye vituo vya kupigia kura halafu mngeona matokeo yake. Lakini kwa kuwa wana hofu ya Mungu na wao siku zote si watu wa kuamini katika vurugu hawawezi kufanya hivyo japokuwa wana uwezo wa kuwazuia waumini wao wasishiriki uchaguzi na waumini hao kwa wingi tu wakatii . Kwa hili wanalolifanya TEC ningekuwa kiongozi wa serikali au chama cha siasa hata kama sio mkatolilki ningeshiriki huo mfungo mwanzo mwisho kwa sababu ni jambo jema kabisa kujikabidhi kwa Mungu kueleka uchaguzi mkuu.

Mimi nafikiri wakati mwingine tuwe tunachukulia haya mambo "positive" badala ya kuwaza mabaya tu. Tena mbaya zaidi unawaza mabaya kwenye jambo jema lililoandaliwa na maaskofu. Na kwanini watu waanze kujistukia kwenye nia njema ya maaskofu ya kuombea taifa haki na amani iwapo hawana makando kando?

Na ni kwanini siku hizi kila likitajwa neno "haki" baadhi ya watu wanakuja juu? Kwa nini pacha wa haki aitwaye "amani" akitajwa pekee yake watu wanakuwa kimya? Kwa uelewa wangu wote wawili haki na amani ni mapacha wanapaswa wasitenganishwe kabisa na kwa wasiojua huyo "haki" akiwepo mahali basi "amani" anakuja bila kuitwa.

Amani ni tunda la haki. Mungu ibariki mama Tanzania. Tuzidi kuomba uchaguzi uishe salama na vile vile tukumbuke kuna maisha baada ya uchaguzi hivyo matendo yetu yawe ya kumtukuza Mungu wakati wote wa uchaguzi.

Ni mtizamo
 
All the best

Baada ya haya maombi watu wasiaze kusema ningejua!!
 
Haya sasa ndiyo yanayostahili kuitwa "MAOMBI YA KITAIFA" kwa kuwa yanalenga kumwomba Mungu mambo makuu mawili yaliyo msingi wa maisha ya mwanadamu;
➡HAKI
➡AMANI
Wapanga maombi wengine wengi wamekuwa wakiikwepa kuomba HAKI na badala yake hukimbilia moja kwa moja kwenye AMANI kwa sbb wahalifu na waovu wanatumia hofu au woga wa watu na kuita AMANI kuendeleza uovu wao na kukanyaga au ku - abuse HAKI za watu...!

TEC na Kanisa Katoliki kwa ujumla, kwa hili tuko pamoja...
 
Intervention ya Kanisa katoliki kwa Tanzania inanikumbusha namna Kanisa Katoliki lilivyoingilia mgogoro wa Uchaguzi wa DRC Kabila akakubali kuacha kugombea urais Chama chake kikateua mgombea mwingine, Chama Cha Martin Fayulu kilichokuwa na ushawishi kikapoteza dakika za mwisho na Tshikedi kuupata urais kwa sandakalawe tu.

Bado muda wa kufanya reforms unatosha tatizo CCM hawaamini tena katika Uchaguzi na hawana mbadala wa kufanya ili wabaki madarakani zaidi ya kutumia nguvu na kupora mchakato mzima wa Uchaguzi
 
Sidhani kama hii itasaidia, nchi nyingi duniani ikiwemo Congo kuna wacha Mungu wengi sana lkn kila siku wako kwenye taabu kwasabb ya wanasiasa na siasa zao mbovu
 
Mimi ni Mkatoliki na familia yangu wote ni Wakatoliki. HATUTASHIRIKI huo ushenzi!!!
 
Mwenyezi Mungu, Mungu wa Upendo na Huruma tunakuomba Kwa Wema wako usikilize Sala zetu.
 
Sidhani kama hii itasaidia, nchi nyingi duniani ikiwemo Congo kuna wacha Mungu wengi sana lkn kila siku wako kwenye taabu kwasabb ya wanasiasa na siasa zao mbovu
Bado sisi tunaamini Nguvu za Mungu.

Kiboko ya Wachawi naye unamweka kwenye List ya Wacha Mungu wa Kongo?
 
Mfa maji. Kwanza nyie tunawachukia kama nini. Makafiri tunajua ni wapagani. Hakuna mkristo atakayeenda mbinguni never. Njoo uislam kabla kiama hakijawadia
Bwana Yesu anasema pendaneni na anasema wapendeni hata wale wanaowauzi na kamwe usimchukie mtu hiyo ni dhambi kubwa kama kuna jambo lolote baya mtu analitenda kazi yenu ni kuombea mema na Yeye sababu ni waki atajibu sawa sawa na mapezi yake.
 
Bwana Yesu anasema pendaneni na anasema wapendeni hata wale wanaowauzi na kamwe usimchukie mtu hiyo ni dhambi kubwa kama kuna jambo lolote baya mtu analitenda kazi yenu ni kuombea mema na Yeye sababu ni waki atajibu sawa sawa na mapezi yake.
TEC wamefanya wajibu wao kama Watumishi wema na waaminifu. Wanapabda mbegu ya upendo palipo na machukizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…