Sun, 12.09.1832Samia na Genge lake wamepigwa PIGO Moja takatifu sana , Soon mtajionea Unjano wa Ndizi Mbivu.
Mimi ni Mkatoliki pia lakini sikubaliani na pumba za anayejiita Doctor Mama Amon
Unabii koko umeshindwa. Fanyeni kazi, changamkieni fursa za uchumi. Hayo mnayotaka yatokee, labda mumuombe Shetani. Lakini Mungu wetu aliye hai hawezi kuruhusu.Ipo siku haki itapatikana