TEC: Mhashamu Baba Askofu Wolfgang Pisa, Rais Mpya TEC. Rais Samia atuma salamu za pongezi

Hongera sana
 
Hongera sana
 
Rudia kusoma uliyoandika uone jinsi unavyochanganya mambo.ikikupendeza andika vzr.
 
Mungu akutangulie baba Askofu
 
TEC ni taasisi kubwa sana
 
Daaah pole sana
 
Daaah
 
Yes ni sahihi kabisa
 
Usifananishe kanisa katoliki na upuuzi mwingine.
 
Usifananishe kanisa katoliki na upuuzi mwingine.
Wee inasemaje? Papa si ndiyo kashauri juzi juzi hapa kwamba mashoga wafungishwe ndoa ndani ya katoliki?

Mapadre si ndiyo Wana kesi dunia nzima za ufiraji na unajisi?
 
Wee inasemaje? Papa si ndiyo kashauri juzi juzi hapa kwamba mashoga wafungishwe ndoa ndani ya katoliki?

Mapadre si ndiyo Wana kesi dunia nzima za ufiraji na unajisi?
Huo upuuzi sijui mnauokotaga wapi hahahaaa umeshajazwa kwenye mfumo hasi. Pope alichosema kanisa katoliki linspaswa kuwapokea mashoga kanisa ni kwani ni watoto wa Mungu. Kama wachawi, majambazi na wabakaji wanapikelewa na kupewa na nafasi ya kutubu, why mashoga watengwe? Huo ndio mtizamo wa pope aliouweka wazi. See the difference?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…