TEC: Mhashamu Baba Askofu Wolfgang Pisa, Rais Mpya TEC. Rais Samia atuma salamu za pongezi

View attachment 3023817Askofu Wolfgang Pisa

Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii ameandika haya kumpongeza Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa

Pongezi za dhati kwa Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa, Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Kuchaguliwa kwako katika nafasi hii ya uchungaji kwa Kanisa Katoliki nchini ni matokeo ya imani na matarajio ya Kanisa kwa utumishi wako.

Nanukuu maneno mawili toka katika Biblia Takatifu kwenye Injili ya Yohana 19:28, “...Naona kiu” ambayo pia uliyachagua kuwa kaulimbiu yako ya Uaskofu. Katika utumishi huu nakuombea kiu ya kuendelea kufanya kazi ya kujenga Kanisa kwenye misingi ya upendo, haki, kweli, kujali masikini, umoja, amani, mshikamano, utu na kuhudumia jamii na Watanzania kwa ujumla, ndani na nje ya Kanisa Katoliki.

Nakutakia kila la kheri. Mwenyezi Mungu akushike mkono na kukuongoza.
Hongera sana
 
Tangu lini katoliki ilikuwa safi. Huduma na makanisa yote ni vichaka vya maovu kwa miaka mingi.

1. Ufiraji na unajisi ndani ya katoliki ni suala sugu.
2. Migogoro ya kugomabania madaraka na fedha ndani ya KKKT ni suala sugu.
3. Migawanyiko inayosababishwa na fedha ndani ya Pentecostal churches inayopelekea kuibuka kwa huduma za mtu mmoja mmoja (ministries) ni suala sugu.
4. Biashara ya madawa ya kulevya na ulozi ndani ya ministries ni suala sugu
Rudia kusoma uliyoandika uone jinsi unavyochanganya mambo.ikikupendeza andika vzr.
 
Mungu akutangulie baba Askofu
 
Kuna viongozi wakichaguliwa hakuna hata anayejua wala chombo chochote Cha habari kuripoti sababu Hawana uzito mfano akiteuliwa kiongozi wa Baraza la Maulamaa la Anwsar sunna hata hakuna anayejua wanajua wenyewe lakini Mufti wa Bakwata akichaguliwa mpya magazeti na vyombo vyote vya habari lazima vitangaze
TEC ni taasisi kubwa sana
 
Tangu lini katoliki ilikuwa safi. Huduma na makanisa yote ni vichaka vya maovu kwa miaka mingi.

1. Ufiraji na unajisi ndani ya katoliki ni suala sugu.
2. Migogoro ya kugomabania madaraka na fedha ndani ya KKKT ni suala sugu.
3. Migawanyiko inayosababishwa na fedha ndani ya Pentecostal churches inayopelekea kuibuka kwa huduma za mtu mmoja mmoja (ministries) ni suala sugu.
4. Biashara ya madawa ya kulevya na ulozi ndani ya ministries ni suala sugu
Daaah pole sana
 
Daaah
 
Kanisa limeshachukua hatua ya kumsimamisha maana halihusiki na uovu wake. Hatua nyingine za uovu wake ziko mikononi mwa jamuhuri. Kanisa lingekaa kimya kama serekali ilivyomkalia kimya Bashe kutokana na ushahidi wa Mpina, hapo ungesema kanisa linalinda uovu.
Yes ni sahihi kabisa
 
Tangu lini katoliki ilikuwa safi. Huduma na makanisa yote ni vichaka vya maovu kwa miaka mingi.

1. Ufiraji na unajisi ndani ya katoliki ni suala sugu.
2. Migogoro ya kugomabania madaraka na fedha ndani ya KKKT ni suala sugu.
3. Migawanyiko inayosababishwa na fedha ndani ya Pentecostal churches inayopelekea kuibuka kwa huduma za mtu mmoja mmoja (ministries) ni suala sugu.
4. Biashara ya madawa ya kulevya na ulozi ndani ya ministries ni suala sugu
Usifananishe kanisa katoliki na upuuzi mwingine.
 
Wee inasemaje? Papa si ndiyo kashauri juzi juzi hapa kwamba mashoga wafungishwe ndoa ndani ya katoliki?

Mapadre si ndiyo Wana kesi dunia nzima za ufiraji na unajisi?
 
Huo upuuzi sijui mnauokotaga wapi hahahaaa umeshajazwa kwenye mfumo hasi. Pope alichosema kanisa katoliki linspaswa kuwapokea mashoga kanisa ni kwani ni watoto wa Mungu. Kama wachawi, majambazi na wabakaji wanapikelewa na kupewa na nafasi ya kutubu, why mashoga watengwe? Huo ndio mtizamo wa pope aliouweka wazi. See the difference?
 
Back
Top Bottom