TEC: Mhashamu Baba Askofu Wolfgang Pisa, Rais Mpya TEC. Rais Samia atuma salamu za pongezi

Usindishe. Wewe na na masskofu wa katoliki waliolaani tamko la papa nani mjuvi wa mambo kumshinda mwenzake? Ukatoliki na ushoga ni ndugu.
 
Hongera kwa Askofu Pisa na ni msomi mwenye degree nyingi sana na aliwahi kuwa kiongozi wa Wakapuchini/ Superior General Tanzania. Naona pengine baadae unaweza kuwa Aakofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam au Songea baada ya hao Maaskofu wa kuu kustaafu.

Hongera pia Father Kitima kwa kuchaguliwa tena kuwa katibu mkuu TEC endelea kuelimisha na kupigania sheria na maslai mbalimbali ya wa Tanzania wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…