tulia sindano iingie vizuri, naona mabwana zako wameguswa umekosa raaha kabisa!.Ujumbe wa Kwaresima ulitakiwa ujikite kwenye imani zaidi mfano badala ya porojo za kisiasa ulitakiwa
1. Ueleze kipindi hiki kuwa cha maungamo kwa kila mtu kibinafsi kuacha mabaya na kutenda mema kama wafanyavyo waislamu kipindi cha mfungo wa ramadhani
2. Usisitize watu kujitoa kwa moyo wote kuhudumia wengine kama KRISTO alivyojitoa
3. Kuwahurumia wenye shida na mateso kama wagonjwa,yatima ,wahitaji wa chakula nk kama Yesu alivyosaidia wahitaji alipokuwa duniani
4. Kuomba Mungu atuepushe na janga la Corona .Yaani waraka umejaa porojo ina maana kuomba swala la Corona hawajakupa uzito!!!
5. Kuombea uchumi wa nchi na watu wake
Huo waraka umekaa kifarisayo kufunga wafunge wakatoliki halafu washambulie wanasiasa mfungo ni kujirudi mwenyewe ndani sio kuangalia huko kwingine nje kuna nini?
Huyo askofu Mwamakula naye!!! kanisa linaingia kwenye mfungo yeye anaingia barabarani kuandamana kutafuta katiba mpya!!! Mambosasa kamrudisha ili kumkumbusha wajibu kuwa hiki kipindi cha kwaresma anatakiwa awe kanisani kwenye mfungo sio mabarabarani matembezi ya katiba mpya!!We leta vijitafsiri vyako uchwara maana unafaidika na huu utawala wa kikatili, lakini Maaskofu wamenyoosha maelezo. Yule askofu mwingine mmemkamata jana kwa suala la katiba,
Punguza utoto dogo.Huyo askofu Mwamakula naye!!! kanisa linaingia kwenye mfungo yeye anaingia barabarani kuandamana kutafuta katiba mpya!!! Mambosasa kamrudisha ili kumkumbusha wajibu kuwa hiki kipindi cha kwaresma anatakiwa awe kanisani kwenye mfungo sio mabarabarani matembezi ya katiba mpya!!
Mambosasa katumiwa kama Malaika wakumkumbusha kuwa kipindi hiki cha Mfungo wa Wakristo anatakiwa kuwa kanisani kwenye mafungo sio barabarani
Toa Waraka wako kwa Wana Lumumba wenzio, huu wa TEC hauwahusu wajinga wajinga.Ujumbe wa Kwaresima ulitakiwa ujikite kwenye imani zaidi mfano badala ya porojo za kisiasa ulitakiwa
1. Ueleze kipindi hiki kuwa cha maungamo kwa kila mtu kibinafsi kuacha mabaya na kutenda mema kama wafanyavyo waislamu kipindi cha mfungo wa ramadhani
2. Usisitize watu kujitoa kwa moyo wote kuhudumia wengine kama KRISTO alivyojitoa
3. Kuwahurumia wenye shida na mateso kama wagonjwa,yatima ,wahitaji wa chakula nk kama Yesu alivyosaidia wahitaji alipokuwa duniani
4. Kuomba Mungu atuepushe na janga la Corona .Yaani waraka umejaa porojo ina maana kuomba swala la Corona hawajakupa uzito!!!
5. Kuombea uchumi wa nchi na watu wake
Huo waraka umekaa kifarisayo kufunga wafunge wakatoliki halafu washambulie wanasiasa mfungo ni kujirudi mwenyewe ndani sio kuangalia huko kwingine nje kuna nini?
Wewe ni famba kweliUjumbe wa Kwaresima ulitakiwa ujikite kwenye imani zaidi mfano badala ya porojo za kisiasa ulitakiwa
1. Ueleze kipindi hiki kuwa cha maungamo kwa kila mtu kibinafsi kuacha mabaya na kutenda mema kama wafanyavyo waislamu kipindi cha mfungo wa ramadhani
2. Usisitize watu kujitoa kwa moyo wote kuhudumia wengine kama KRISTO alivyojitoa
3. Kuwahurumia wenye shida na mateso kama wagonjwa,yatima ,wahitaji wa chakula nk kama Yesu alivyosaidia wahitaji alipokuwa duniani
4. Kuomba Mungu atuepushe na janga la Corona .Yaani waraka umejaa porojo ina maana kuomba swala la Corona hawajakupa uzito!!!
5. Kuombea uchumi wa nchi na watu wake
Huo waraka umekaa kifarisayo kufunga wafunge wakatoliki halafu washambulie wanasiasa mfungo ni kujirudi mwenyewe ndani sio kuangalia huko kwingine nje kuna nini?
Ni ombi laweza kubaliwa au kukataliwa .Ulishawahi ona wanasiasa wanalazimisha mtu awaombee? Wao wanaomba anayekubali sawa anayekataa sawaWewe ni famba kweli
Mbona wanasiasa wanasema yafanyike maombi kwa ajili ya taifa kwani hiyo sio kuingilia Imani?
Kabla ya mfungo hao ambao kila siku wanapiga picha wakiwa altare wanatakiwa watubu madhambi hao na ndio maana wamepewa maandiko hayoSio kipindi cha mfungo kipindi cha mfungo ni cha kuombea sio kukosoa .Mtu anasimama mbele za Mungu kuomba ya kwake na kuombea adui zake sio kukosoa adui zake!! Mfungo batili huo kabla ya kuanza!! Mfungo gani ambao badala yakuombea adui zako unauanza kwa kukosoa adui zako???
Yesu aliposema waombeeni adui zenu hiki ndicho kipindi chake sio cha porojo za kukosoa !!!
Sisi huwa hatufanyi matangazo kama nyie na kushinda na njaa halafu jioni unakuja kufukia balaaToka Nizaliwe sijawah kuona mkristo aliyefunga, iwe mnafunga matusi, kula,kunywa,ngono,pombe,kusengenya,chuki,uongo,utapeli.....narudia sijawah kuona aliyefunga chochote kile. Note nina ndugu wakristo, nina marafiki wakristo, nina mademu wakristo,nina majirani wakristo.
Madhehebu yako mengi wengine hawafungi kabisa wengine hufunga kipindi hiki tena wengi tu hata hoteli zao na baa huzifunga tena siku arobaini nzima sio 30Toka Nizaliwe sijawah kuona mkristo aliyefunga, iwe mnafunga matusi, kula,kunywa,ngono,pombe,kusengenya,chuki,uongo,utapeli.....narudia sijawah kuona aliyefunga chochote kile. Note nina ndugu wakristo, nina marafiki wakristo, nina mademu wakristo,nina majirani wakristo.
Kiufupi hoja zako zote ni batili kwasababu unakosoa Bila kuwa na fact kutoka kwenye Biblia ni mara ngapi mafumbo yalitumika kuwakosoa mafarisayo katika biblia nabii nathaniel alimkosoa Mfalme Daudi kwa mafumbo.Hakuna nabii alienda kumkosoa mfalme kipindi cha mfungo .Kipindi cha mfungo walikitumia kwa kuwa mbele za MUngu tu Kuomba yao na kuombea taifa hawakwenda kukosoa.Huo mfungo batili baraza lifute huo waraka umekaa kifarisayo sio wa mfungo wa Kikristo!!
Kukosoa ni elimu ktk Mtu so wakuelewa ataelewaSio kipindi cha mfungo kipindi cha mfungo ni cha kuombea sio kukosoa .Mtu anasimama mbele za Mungu kuomba ya kwake na kuombea adui zake sio kukosoa adui zake!! Mfungo batili huo kabla ya kuanza!! Mfungo gani ambao badala yakuombea adui zako unauanza kwa kukosoa adui zako???
Yesu aliposema waombeeni adui zenu hiki ndicho kipindi chake sio cha porojo za kukosoa !!!
Hhahahah ukifunga kula haiitaji matangazo kujua, ukiacha tabia zako za kishenzi coz unafunga haiitaji matangazo kujua. Ila matangazo na mbwembwe za kuanza kwa kwaresma mnafanya hahahahahSisi huwa hatufanyi matangazo kama nyie na kushinda na njaa halafu jioni unakuja kufukia balaa
Namtafuta anayefunga hata mmoja mwaka huu, mana sija bahatika kumuona, unaweza kunitajia Hoteli na Bar hata tatu zinazofungwa kipindi hiki?Madhehebu yako mengi wengine hawafungi kabisa wengine hufunga kipindi hiki tena wengi tu hata hoteli zao na baa huzifunga tena siku arobaini nzima sio 30
Pia wako wengine hata ndani ya madhehebu yafungayo huwa hawafungi sababu ni hiari sio amri lakini wapo wafungaji
Siasa na imani vyote huilenga jamii husika, huwezi kuvitenganisha . Ustawi wa jamii hutegemea siasa safi na uongozi bora ukichagizwa na imani thabiti katika kumcha Mwenyezi Mungu. Siasa hujenga mwili na Imani hujenga roho ya mwanadamu katika maisha yake hapa Duniani.Hiki ni kipindi cha kufunga sio cha kuongelea walio nje.Mifungo yote ni internal journey huhangiiki na farisayo yule kuwa sisi katoliki tuko bora kuliko mifarisayo iliyo nje iliyoko kwenye siasa sisi huwa tunafunga kwaresma nk lakini kule nje mifarisayo ya kisiasa haifungi haitendi haki nk. Nooooooooooo!!!! mind your own fast!!! Achana na nje huko
Huo waraka umejaa ufarisayo mtupu
Hawajawahi kukoseaBARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limewataka Watanzania kuacha siasa za upendeleo na ubinafsi, kwa kuwa zinasababisha mfarakano katika kijamii.
Wito huo umetolewa na TEC kupitia ujumbe wake wa Kwaresma uliotolewa hivi karibuni, ukiwa na kichwa cha habari “Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu…” (Zab 95:7-8).
Leo Jumatano, tarehe 17 Februari 2021, Wakristo wengi duniani wameanza ibada ya Kwaresma.
Kwenye ujumbe huo wenye kurasa 29, umehusisha maaskofu 33 akiwemo Rais wa TEC, Gervas Nyaisonga, umeelezea mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiroho ukisema, kwa sasa dunia imeshuhudia manung’uniko na malalamiko kutoka kwa umma.
Malalamiko hayo ni juu ya baadhi ya viongozi wanaotumia mamlaka zao kufanya mambo kwa ajili yao na wanaowazunguka ama kikundi fulani, jambo linalokuza mashaka na kuondoa uaminifu.
“Licha ya hayo yote mema ambayo wenye mamlaka hususani ya kisiasa wamekabidhiwa, nyakati zetu hizi dunia, imeshuhudia manung’uniko na malalamiko kutoka kwa umma kwamba baadhi ya viongozi, wanatumia dhamana hiyo kwa ajili ya kujinufaisha wenyewe au kwa ajili ya manufaa ya kikundi fulani.”
“Siasa za namna hiyo, husababisha unyanyasaji wa baadhi ya watu au kikundi cha watu na hivyo kuondoa hali ya kuaminiana,” limeeleza baraza hilo la juu la Kanisa Katoliki.
Ujumbe huo umeeleza wazi kwamba, miongoni mwa mipasuko mikubwa ya kisiasa inayotokea katika jamii, huchagizwa na kutokana na kikundi cha watu fulani kujiona ni wa daraja la juu na bora kuliko kingine.
Na kwamba, kikundi hicho wakati mwingine kujiona kiko juu ya Katiba na Sheria mbalimbali za nchi na hivyo kuzivunja pasi na kujali.
“Matokeo ya haya yote ni kufarakana kijamii, lawama zisizoisha na hivyo kuhatarisha amani na usalama wa jamii husika,” umeeleza waraka huo.
Ujumbe huokutoka Kitabu cha Zaburi 95:7-8 ‘Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu,’ umewakumbusha Watanzania kurudi kwenye misingi ya Mungu ili kuleta uongozi bora na siasa safi.
“Kati ya maeneo muhimu sana ya kipimo cha uongozi bora na siasa safi, ni namna kiongozi anavyoishi uadilifu wake wa uongozi tukitambua kwamba “Hakuna mamlaka (halali) isiyotoka kwa Mungu”(Rum 13:1). Kutokana na hilo, uongozi, madaraka au mamlaka yoyote ile inapaswa kuwa ni dhamana kutoka kwa Mungu.
“Dhamana hii anapewa kiongozi kama mwakilishi wa Mungu katika uongozi tukitambua Mungu ndiye kiongozi na mtawala pekee. Dhamana hii inapaswa kumkumbusha kiongozi kwamba, mamlaka aliyopewa si kwa ajili yake bali ni kwa ajili ya wote aliokabidhiwa,” umekumbusha waraka huo.
TEC limewataka Watanzania kusikia sauti ya Mungu kwa kufanya toba na kuilainisha mioyo yao, katika kuhakikisha haki inatendeka katika jamii.
“Ujumbe wa Kwaresima unatutaka kama jamii “tusikie sauti yake, tusifanye migumu mioyo yetu. Tutaisikia sauti ya Mungu kwa kuhakikisha kwamba haki inatendeka katika jamii.
“… na hasa haki za kikatiba za kujiendesha kisiasa zikiwemo kuheshimu uhuru wa mawazo mbadala, kama sehemu ya kudumisha demokrasia na hasa katika mfumo wa vyama vingi vya kisiasa ,” umeeleza ujumbe huo.
Mwanahalisionline
Mimi mmojwapo nalog out saa hii naingia mfungo hutaniona tena humu jamii forums mpaka siku 40 ziishe za mfungo.Nafunga kila kitu sitasikiliza radio ,wala kuangalia tv wala kusoma magazeti wala kuingia jamii forumsNamtafuta anayefunga hata mmoja mwaka huu, mana sija bahatika kumuona, unaweza kunitajia Hoteli na Bar hata tatu zinazofungwa kipindi hiki?
Chaka lenyewe limezungukwa na wanyama wakali huo ukweli unausemea wapi?Wanazunguka mbuyu hawataki kusema ukweli.