Wacha tusubiri tamko la BakwataManeno mujarabu kutoka TEC. Ni vema na haki ndugu wakikaa kwa amani.
Zuzu utabakia kuwa zuzu tuUjumbe wa Kwaresima ulitakiwa ujikite kwenye imani zaidi mfano badala ya porojo za kisiasa ulitakiwa
1. Ueleze kipindi hiki kuwa cha maungamo kwa kila mtu kibinafsi kuacha mabaya na kutenda mema kama wafanyavyo waislamu kipindi cha mfungo wa ramadhani
2. Usisitize watu kujitoa kwa moyo wote kuhudumia wengine kama KRISTO alivyojitoa
3. Kuwahurumia wenye shida na mateso kama wagonjwa,yatima ,wahitaji wa chakula nk kama Yesu alivyosaidia wahitaji alipokuwa duniani
4. Kuomba Mungu atuepushe na janga la Corona .Yaani waraka umejaa porojo ina maana kuomba swala la Corona hawajakupa uzito!!!
5. Kuombea uchumi wa nchi na watu wake
Huo waraka umekaa kifarisayo kufunga wafunge wakatoliki halafu washambulie wanasiasa mfungo ni kujirudi mwenyewe ndani sio kuangalia huko kwingine nje kuna nini?
Ujasili huo umebakia kwa kina Niwemugizi,Mwamakula... siku viongozi wa dini watakapoacha lugha za jumla jumla yaani kuzunguka mbuyu wakawa specific; wakawa na ujasiri wa kutamka kama huyo Bwana alivyowahi kutamka maneno hayo hapo chini; kwa hakika utakuwa ukombozi wa pili.
"... Akawaambia, nendeni, mkamwambie yule mbweha, tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilisha kazi yangu."
Hongera sana ufunge na chuki, roho mbaya, kutopenda wapinzani wako,kusapoti viongozi wasiotenda haki. Bado nasubiri majina ya hizo Bar/ Hotel zinazofungwa kipindi hikiMimi mmojwapo nalog out saa hii naingia mfungo hutaniona tena humu jamii forums mpaka siku 40 ziishe za mfungo.Nafunga kila kitu sitasikiliza radio ,wala kuangalia tv wala kusoma magazeti wala kuingia jamii forums
Usimshangae huyo maana huyo ni chawa wa wenye maamuziunawafundisha kazi au? usiwapangie cha kufanya. maana naona umekuja na safu yako ya kuwapangia la kufanya.
kama hupendi au unachukiwa waraka pita kimya kimya achana nao.
Kuramba miguu na kujadili hoja zenye kujenga jamii ni sawa na mbingu na ardhiHiki ni kipindi cha kufunga sio cha kuongelea walio nje.Mifungo yote ni internal journey huhangiiki na farisayo yule kuwa sisi katoliki tuko bora kuliko mifarisayo iliyo nje iliyoko kwenye siasa sisi huwa tunafunga kwaresma nk lakini kule nje mifarisayo ya kisiasa haifungi haitendi haki nk. Nooooooooooo!!!! mind your own fast!!! Achana na nje huko
Huo waraka umejaa ufarisayo mtupu
Na wewe toa waraka wako wa kusifu na kuabudu serikali.Ujumbe wa Kwaresima ulitakiwa ujikite kwenye imani zaidi mfano badala ya porojo za kisiasa ulitakiwa
1. Ueleze kipindi hiki kuwa cha maungamo kwa kila mtu kibinafsi kuacha mabaya na kutenda mema kama wafanyavyo waislamu kipindi cha mfungo wa ramadhani
2. Usisitize watu kujitoa kwa moyo wote kuhudumia wengine kama KRISTO alivyojitoa
3. Kuwahurumia wenye shida na mateso kama wagonjwa,yatima ,wahitaji wa chakula nk kama Yesu alivyosaidia wahitaji alipokuwa duniani
4. Kuomba Mungu atuepushe na janga la Corona .Yaani waraka umejaa porojo ina maana kuomba swala la Corona hawajakupa uzito!!!
5. Kuombea uchumi wa nchi na watu wake
Huo waraka umekaa kifarisayo kufunga wafunge wakatoliki halafu washambulie wanasiasa mfungo ni kujirudi mwenyewe ndani sio kuangalia huko kwingine nje kuna nini?
Kumjua huyo kuwa ni mjinga hakuhitaji kuwa na diploma mkuuMJINGA MMOJA WEWE, USIYEJUA HATA MUNGU NA MAANDIKO MATAKATIFU .
Laiti ungeyajua, Ungeona mchango wa Mungu katika Kukosoa viongozi
Pumbavu mkubwa wewe, Inaana hata habari za Manabii ambao Mungu aliwatuma moja kwa moja wa wafalme.kwenda kuonya, kutoa maono..huzijui???
MPUMBAVU WEWE NA FAMILIA YAKO YOTE.
NMEKUTUKANA.
Tuliza upuuzi wakoSio kipindi cha mfungo kipindi cha mfungo ni cha kuombea sio kukosoa .Mtu anasimama mbele za Mungu kuomba ya kwake na kuombea adui zake sio kukosoa adui zake!! Mfungo batili huo kabla ya kuanza!! Mfungo gani ambao badala yakuombea adui zako unauanza kwa kukosoa adui zako???
Yesu aliposema waombeeni adui zenu hiki ndicho kipindi chake sio cha porojo za kukosoa !!!
Hiyo ndiyo kazi yakeIla wangesifia serikali ya awamu ya tano ungewapongeza.
Muda wao utafika na wao watakuwa watazamajiWafuasi wa CCM wanajiona wako juu ya sheria mengi tunajionea mtaani.
Upupu mtupuHakuna nabii alienda kumkosoa mfalme kipindi cha mfungo .Kipindi cha mfungo walikitumia kwa kuwa mbele za MUngu tu Kuomba yao na kuombea taifa hawakwenda kukosoa.Huo mfungo batili baraza lifute huo waraka umekaa kifarisayo sio wa mfungo wa Kikristo!!
mbona umepaniki mkuuUjumbe wa Kwaresima ulitakiwa ujikite kwenye imani zaidi mfano badala ya porojo za kisiasa ulitakiwa
1. Ueleze kipindi hiki kuwa cha maungamo kwa kila mtu kibinafsi kuacha mabaya na kutenda mema kama wafanyavyo waislamu kipindi cha mfungo wa ramadhani
2. Usisitize watu kujitoa kwa moyo wote kuhudumia wengine kama KRISTO alivyojitoa
3. Kuwahurumia wenye shida na mateso kama wagonjwa,yatima ,wahitaji wa chakula nk kama Yesu alivyosaidia wahitaji alipokuwa duniani
4. Kuomba Mungu atuepushe na janga la Corona .Yaani waraka umejaa porojo ina maana kuomba swala la Corona hawajakupa uzito!!!
5. Kuombea uchumi wa nchi na watu wake
Huo waraka umekaa kifarisayo kufunga wafunge wakatoliki halafu washambulie wanasiasa mfungo ni kujirudi mwenyewe ndani sio kuangalia huko kwingine nje kuna nini?
Hee kuombea uchumi wa nchi na watu wake"Ujumbe wa Kwaresima ulitakiwa ujikite kwenye imani zaidi mfano badala ya porojo za kisiasa ulitakiwa
1. Ueleze kipindi hiki kuwa cha maungamo kwa kila mtu kibinafsi kuacha mabaya na kutenda mema kama wafanyavyo waislamu kipindi cha mfungo wa ramadhani
2. Usisitize watu kujitoa kwa moyo wote kuhudumia wengine kama KRISTO alivyojitoa
3. Kuwahurumia wenye shida na mateso kama wagonjwa,yatima ,wahitaji wa chakula nk kama Yesu alivyosaidia wahitaji alipokuwa duniani
4. Kuomba Mungu atuepushe na janga la Corona .Yaani waraka umejaa porojo ina maana kuomba swala la Corona hawajakupa uzito!!!
5. Kuombea uchumi wa nchi na watu wake
Huo waraka umekaa kifarisayo kufunga wafunge wakatoliki halafu washambulie wanasiasa mfungo ni kujirudi mwenyewe ndani sio kuangalia huko kwingine nje kuna nini?
Hivi unajua ulichoandika kweli wewe? Si bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako?Sio kipindi cha mfungo kipindi cha mfungo ni cha kuombea sio kukosoa .Mtu anasimama mbele za Mungu kuomba ya kwake na kuombea adui zake sio kukosoa adui zake!! Mfungo batili huo kabla ya kuanza!! Mfungo gani ambao badala yakuombea adui zako unauanza kwa kukosoa adui zako???
Yesu aliposema waombeeni adui zenu hiki ndicho kipindi chake sio cha porojo za kukosoa !!!
Mkapa ametuletea shida Sana tulio haiHakuna nabii alienda kumkosoa mfalme kipindi cha mfungo .Kipindi cha mfungo walikitumia kwa kuwa mbele za MUngu tu Kuomba yao na kuombea taifa hawakwenda kukosoa.Huo mfungo batili baraza lifute huo waraka umekaa kifarisayo sio wa mfungo wa Kikristo!!