Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
Jiwe limetupwa kwa JiweJiwe hilo limetupwa gizani.
cc: mhimili uliojichimbia zaidi & co.
Jiwe limetupwa kwa JiweJiwe hilo limetupwa gizani.
cc: mhimili uliojichimbia zaidi & co.
Pale shetani anapoelekeza watu Mungu cha kufanya! Shen.zi sanaUjumbe wa Kwaresima ulitakiwa ujikite kwenye imani zaidi mfano badala ya porojo za kisiasa ulitakiwa
1. Ueleze kipindi hiki kuwa cha maungamo kwa kila mtu kibinafsi kuacha mabaya na kutenda mema kama wafanyavyo waislamu kipindi cha mfungo wa ramadhani
2. Usisitize watu kujitoa kwa moyo wote kuhudumia wengine kama KRISTO alivyojitoa
3. Kuwahurumia wenye shida na mateso kama wagonjwa,yatima ,wahitaji wa chakula nk kama Yesu alivyosaidia wahitaji alipokuwa duniani
4. Kuomba Mungu atuepushe na janga la Corona .Yaani waraka umejaa porojo ina maana kuomba swala la Corona hawajakupa uzito!!!
5. Kuombea uchumi wa nchi na watu wake
Huo waraka umekaa kifarisayo kufunga wafunge wakatoliki halafu washambulie wanasiasa mfungo ni kujirudi mwenyewe ndani sio kuangalia huko kwingine nje kuna nini?
Ishu ya "kipindi cha mfungo" ni yako wewe just to suit your evil interests...Hakuna nabii alienda kumkosoa mfalme kipindi cha mfungo .Kipindi cha mfungo walikitumia kwa kuwa mbele za MUngu tu Kuomba yao na kuombea taifa hawakwenda kukosoa.Huo mfungo batili baraza lifute huo waraka umekaa kifarisayo sio wa mfungo wa Kikristo!!
Sasa wewe mademu wakristo ndo umewahi funga nini sahivi uko kujisifu uasherati hhhhToka Nizaliwe sijawah kuona mkristo aliyefunga, iwe mnafunga matusi, kula,kunywa,ngono,pombe,kusengenya,chuki,uongo,utapeli.....narudia sijawah kuona aliyefunga chochote kile. Note nina ndugu wakristo, nina marafiki wakristo, nina mademu wakristo,nina majirani wakristo.
Namtafuta anayefunga hata mmoja mwaka huu, mana sija bahatika kumuona, unaweza kunitajia Hoteli na Bar hata tatu zinazofungwa kipindi hiki?
Wanasiasa ni waumini. Yesu alitumia muda mwingi kufikisha ujumbe wake kwa kuweka wazi uovu wa mafarisayo. Hawa mafarisayo ndio walikuwa wakuu wa utawala wa ndani wa Israel. Tena yeye hakuzunguka zunguka bali aliwasema wazi.Ujumbe wa Kwaresima ulitakiwa ujikite kwenye imani zaidi mfano badala ya porojo za kisiasa ulitakiwa
1. Ueleze kipindi hiki kuwa cha maungamo kwa kila mtu kibinafsi kuacha mabaya na kutenda mema kama wafanyavyo waislamu kipindi cha mfungo wa ramadhani
2. Usisitize watu kujitoa kwa moyo wote kuhudumia wengine kama KRISTO alivyojitoa
3. Kuwahurumia wenye shida na mateso kama wagonjwa,yatima ,wahitaji wa chakula nk kama Yesu alivyosaidia wahitaji alipokuwa duniani
4. Kuomba Mungu atuepushe na janga la Corona .Yaani waraka umejaa porojo ina maana kuomba swala la Corona hawajakupa uzito!!!
5. Kuombea uchumi wa nchi na watu wake
Huo waraka umekaa kifarisayo kufunga wafunge wakatoliki halafu washambulie wanasiasa mfungo ni kujirudi mwenyewe ndani sio kuangalia huko kwingine nje kuna nini?
Wanazunguka mbuyu hawataki kusema ukweli.
Unamsema Nkurunziza yupi yule marehemu au kuna mwingine?.Viongozi wa Kikristo wameacha kumhubiri Kikristo wamefunga ndoa na watawala kwa maslai ya kidunia thus madikteta wengi ni Wakristo,means wakristo wanapwaya.Angalau kwa waislamu Mafundisho yanawaingia wanakuwa watu.Uislamu hauchezewi Sana,we check mfano nkurunziza anauwa watu week days jumapili yupo kanisani anaimba kwaya anahubiri akitoka hapo anakwenda uwa watu.Hapa ni kosa la kanisa kufunga ndoa na wadhalimu why wasimfute uumini watu dhalimu warudiao dhambi hizo hizo
Beating around the bushBARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limewataka Watanzania kuacha siasa za upendeleo na ubinafsi, kwa kuwa zinasababisha mfarakano katika kijamii.
Wito huo umetolewa na TEC kupitia ujumbe wake wa Kwaresma uliotolewa hivi karibuni, ukiwa na kichwa cha habari “Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu…” (Zab 95:7-8).
Leo Jumatano, tarehe 17 Februari 2021, Wakristo wengi duniani wameanza ibada ya Kwaresma.
Kwenye ujumbe huo wenye kurasa 29, umehusisha maaskofu 33 akiwemo Rais wa TEC, Gervas Nyaisonga, umeelezea mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiroho ukisema, kwa sasa dunia imeshuhudia manung’uniko na malalamiko kutoka kwa umma.
Malalamiko hayo ni juu ya baadhi ya viongozi wanaotumia mamlaka zao kufanya mambo kwa ajili yao na wanaowazunguka ama kikundi fulani, jambo linalokuza mashaka na kuondoa uaminifu.
“Licha ya hayo yote mema ambayo wenye mamlaka hususani ya kisiasa wamekabidhiwa, nyakati zetu hizi dunia, imeshuhudia manung’uniko na malalamiko kutoka kwa umma kwamba baadhi ya viongozi, wanatumia dhamana hiyo kwa ajili ya kujinufaisha wenyewe au kwa ajili ya manufaa ya kikundi fulani.”
“Siasa za namna hiyo, husababisha unyanyasaji wa baadhi ya watu au kikundi cha watu na hivyo kuondoa hali ya kuaminiana,” limeeleza baraza hilo la juu la Kanisa Katoliki.
Ujumbe huo umeeleza wazi kwamba, miongoni mwa mipasuko mikubwa ya kisiasa inayotokea katika jamii, huchagizwa na kutokana na kikundi cha watu fulani kujiona ni wa daraja la juu na bora kuliko kingine.
Na kwamba, kikundi hicho wakati mwingine kujiona kiko juu ya Katiba na Sheria mbalimbali za nchi na hivyo kuzivunja pasi na kujali.
“Matokeo ya haya yote ni kufarakana kijamii, lawama zisizoisha na hivyo kuhatarisha amani na usalama wa jamii husika,” umeeleza waraka huo.
Ujumbe huokutoka Kitabu cha Zaburi 95:7-8 ‘Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu,’ umewakumbusha Watanzania kurudi kwenye misingi ya Mungu ili kuleta uongozi bora na siasa safi.
“Kati ya maeneo muhimu sana ya kipimo cha uongozi bora na siasa safi, ni namna kiongozi anavyoishi uadilifu wake wa uongozi tukitambua kwamba “Hakuna mamlaka (halali) isiyotoka kwa Mungu”(Rum 13:1). Kutokana na hilo, uongozi, madaraka au mamlaka yoyote ile inapaswa kuwa ni dhamana kutoka kwa Mungu.
“Dhamana hii anapewa kiongozi kama mwakilishi wa Mungu katika uongozi tukitambua Mungu ndiye kiongozi na mtawala pekee. Dhamana hii inapaswa kumkumbusha kiongozi kwamba, mamlaka aliyopewa si kwa ajili yake bali ni kwa ajili ya wote aliokabidhiwa,” umekumbusha waraka huo.
TEC limewataka Watanzania kusikia sauti ya Mungu kwa kufanya toba na kuilainisha mioyo yao, katika kuhakikisha haki inatendeka katika jamii.
“Ujumbe wa Kwaresima unatutaka kama jamii “tusikie sauti yake, tusifanye migumu mioyo yetu. Tutaisikia sauti ya Mungu kwa kuhakikisha kwamba haki inatendeka katika jamii.
“… na hasa haki za kikatiba za kujiendesha kisiasa zikiwemo kuheshimu uhuru wa mawazo mbadala, kama sehemu ya kudumisha demokrasia na hasa katika mfumo wa vyama vingi vya kisiasa ,” umeeleza ujumbe huo.
Chanzo: Mwanahalisionline
Tec wameanza kujitambua , kuwakemea Hawa wahuni waliopora uchaguzi kinahitani ujasiriUjumbe wa Kwaresima ulitakiwa ujikite kwenye imani zaidi mfano badala ya porojo za kisiasa ulitakiwa
1. Ueleze kipindi hiki kuwa cha maungamo kwa kila mtu kibinafsi kuacha mabaya na kutenda mema kama wafanyavyo waislamu kipindi cha mfungo wa ramadhani
2. Usisitize watu kujitoa kwa moyo wote kuhudumia wengine kama KRISTO alivyojitoa
3. Kuwahurumia wenye shida na mateso kama wagonjwa,yatima ,wahitaji wa chakula nk kama Yesu alivyosaidia wahitaji alipokuwa duniani
4. Kuomba Mungu atuepushe na janga la Corona .Yaani waraka umejaa porojo ina maana kuomba swala la Corona hawajakupa uzito!!!
5. Kuombea uchumi wa nchi na watu wake
Huo waraka umekaa kifarisayo kufunga wafunge wakatoliki halafu washambulie wanasiasa mfungo ni kujirudi mwenyewe ndani sio kuangalia huko kwingine nje kuna nini?
Hawa wahuni wakikosolowe unaumia kwa Nini?Hakuna nabii alienda kumkosoa mfalme kipindi cha mfungo .Kipindi cha mfungo walikitumia kwa kuwa mbele za MUngu tu Kuomba yao na kuombea taifa hawakwenda kukosoa.Huo mfungo batili baraza lifute huo waraka umekaa kifarisayo sio wa mfungo wa Kikristo!!
Acha porojo na mkwara mbuzi, you know and I know hakuna anayefungaHao "waliofunga unaowatafuta" una orodha yao na kwa hiyo unawataka wawe wana ripoti kwako uwapime mkojo?
Acha hizo bwana. Wewe mtu unajiandikia mambo kwa jumla jumla wakati uko hapo Yombo Vituka - Temeke ukiwa hujui hata nini kinaendelea ktk kona zingine za dunia na hususani Tanzania...!
Acha hizo we we. Acha kujipalia mkaa kwa kuhukumu watu na wewe ukijihesabia haki. Ni mbaya. Siyo sawa hiyo. Nimekuonya...
Umesomea ujinga au, kuna sehem nimeandika kuwa huwa nafunga??Sasa wewe mademu wakristo ndo umewahi funga nini sahivi uko kujisifu uasherati hhhh
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Sijui mungu wako alivyokuelekeza ufunge, and hoja ni kuwa mna mbwembwe nyingi siku ya kutangaza kwaresma but Sijawah kuona anayefunga chochote kile.Hiv kwa mfano nikibadilisha muda wa kula, yaan badala ya kula mchana nafunga halafu nakula usiku mzima si nakuwa nimefungaeee?!!!!
Na vyakula vinapanda bei na kuadimika masokoni sababu watu wanafukia sana