TEC: Mipasuko kwenye jamii Husababishwa na Watu fulani kujiona bora zaidi na wako juu ya Katiba na sheria

tulia sindano iingie vizuri, naona mabwana zako wameguswa umekosa raaha kabisa!.
 
We leta vijitafsiri vyako uchwara maana unafaidika na huu utawala wa kikatili, lakini Maaskofu wamenyoosha maelezo. Yule askofu mwingine mmemkamata jana kwa suala la katiba,
Huyo askofu Mwamakula naye!!! kanisa linaingia kwenye mfungo yeye anaingia barabarani kuandamana kutafuta katiba mpya!!! Mambosasa kamrudisha ili kumkumbusha wajibu kuwa hiki kipindi cha kwaresma anatakiwa awe kanisani kwenye mfungo sio mabarabarani matembezi ya katiba mpya!!

Mambosasa katumiwa kama Malaika wa kumkumbusha kuwa kipindi hiki cha Mfungo wa Wakristo anatakiwa kuwa kanisani kwenye mafungo sio barabarani
 
Punguza utoto dogo.
 
Toa Waraka wako kwa Wana Lumumba wenzio, huu wa TEC hauwahusu wajinga wajinga.
 
Wewe ni famba kweli
Mbona wanasiasa wanasema yafanyike maombi kwa ajili ya taifa kwani hiyo sio kuingilia Imani?
 
Toka Nizaliwe sijawah kuona mkristo aliyefunga, iwe mnafunga matusi, kula,kunywa,ngono,pombe,kusengenya,chuki,uongo,utapeli.....narudia sijawah kuona aliyefunga chochote kile. Note nina ndugu wakristo, nina marafiki wakristo, nina mademu wakristo,nina majirani wakristo.
 
Wewe ni famba kweli
Mbona wanasiasa wanasema yafanyike maombi kwa ajili ya taifa kwani hiyo sio kuingilia Imani?
Ni ombi laweza kubaliwa au kukataliwa .Ulishawahi ona wanasiasa wanalazimisha mtu awaombee? Wao wanaomba anayekubali sawa anayekataa sawa
 
Kabla ya mfungo hao ambao kila siku wanapiga picha wakiwa altare wanatakiwa watubu madhambi hao na ndio maana wamepewa maandiko hayo
 
Sisi huwa hatufanyi matangazo kama nyie na kushinda na njaa halafu jioni unakuja kufukia balaa
 
Madhehebu yako mengi wengine hawafungi kabisa wengine hufunga kipindi hiki tena wengi tu hata hoteli zao na baa huzifunga tena siku arobaini nzima sio 30

Pia wako wengine hata ndani ya madhehebu yafungayo huwa hawafungi sababu ni hiari sio amri lakini wapo wafungaji
 
Hakuna nabii alienda kumkosoa mfalme kipindi cha mfungo .Kipindi cha mfungo walikitumia kwa kuwa mbele za MUngu tu Kuomba yao na kuombea taifa hawakwenda kukosoa.Huo mfungo batili baraza lifute huo waraka umekaa kifarisayo sio wa mfungo wa Kikristo!!
Kiufupi hoja zako zote ni batili kwasababu unakosoa Bila kuwa na fact kutoka kwenye Biblia ni mara ngapi mafumbo yalitumika kuwakosoa mafarisayo katika biblia nabii nathaniel alimkosoa Mfalme Daudi kwa mafumbo.

Hiyo ni hekima kwa lugha nyingine ambayo wewe umeita ufarisayo.Mungu akusaidie utambue hilo.
 
Hata Siasa zinaishi rohoni kwani Waraka uko vizuri.
Mungu awatie nguvu zaidi TEC.
Amina
 
Kukosoa ni elimu ktk Mtu so wakuelewa ataelewa
 
Sisi huwa hatufanyi matangazo kama nyie na kushinda na njaa halafu jioni unakuja kufukia balaa
Hhahahah ukifunga kula haiitaji matangazo kujua, ukiacha tabia zako za kishenzi coz unafunga haiitaji matangazo kujua. Ila matangazo na mbwembwe za kuanza kwa kwaresma mnafanya hahahahah
 
Namtafuta anayefunga hata mmoja mwaka huu, mana sija bahatika kumuona, unaweza kunitajia Hoteli na Bar hata tatu zinazofungwa kipindi hiki?
 
Siasa na imani vyote huilenga jamii husika, huwezi kuvitenganisha . Ustawi wa jamii hutegemea siasa safi na uongozi bora ukichagizwa na imani thabiti katika kumcha Mwenyezi Mungu. Siasa hujenga mwili na Imani hujenga roho ya mwanadamu katika maisha yake hapa Duniani.
 
Hawajawahi kukosea
 
Namtafuta anayefunga hata mmoja mwaka huu, mana sija bahatika kumuona, unaweza kunitajia Hoteli na Bar hata tatu zinazofungwa kipindi hiki?
Mimi mmojwapo nalog out saa hii naingia mfungo hutaniona tena humu jamii forums mpaka siku 40 ziishe za mfungo.Nafunga kila kitu sitasikiliza radio ,wala kuangalia tv wala kusoma magazeti wala kuingia jamii forums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…