TEC: Mipasuko kwenye jamii Husababishwa na Watu fulani kujiona bora zaidi na wako juu ya Katiba na sheria

Zuzu utabakia kuwa zuzu tu
 
Ujasili huo umebakia kwa kina Niwemugizi,Mwamakula
 
Mimi mmojwapo nalog out saa hii naingia mfungo hutaniona tena humu jamii forums mpaka siku 40 ziishe za mfungo.Nafunga kila kitu sitasikiliza radio ,wala kuangalia tv wala kusoma magazeti wala kuingia jamii forums
Hongera sana ufunge na chuki, roho mbaya, kutopenda wapinzani wako,kusapoti viongozi wasiotenda haki. Bado nasubiri majina ya hizo Bar/ Hotel zinazofungwa kipindi hiki
 
Kuramba miguu na kujadili hoja zenye kujenga jamii ni sawa na mbingu na ardhi
 
Na wewe toa waraka wako wa kusifu na kuabudu serikali.
 
Kumjua huyo kuwa ni mjinga hakuhitaji kuwa na diploma mkuu
 
Tuliza upuuzi wako
 
Hakuna nabii alienda kumkosoa mfalme kipindi cha mfungo .Kipindi cha mfungo walikitumia kwa kuwa mbele za MUngu tu Kuomba yao na kuombea taifa hawakwenda kukosoa.Huo mfungo batili baraza lifute huo waraka umekaa kifarisayo sio wa mfungo wa Kikristo!!
Upupu mtupu
 
mbona umepaniki mkuu
 
lazima kila mmoja ktk nafasi yake awe muwazi na kusema ukweli, Tz ni yetu sote hakuna mwenye haki kuliko wengine kwa mujibu wa katiba yetu. Kudai katiba bora kwa ustawi wa Taifa letu sio uhaini wala dhambi kama baadhi ya wachache wanavyotaka kutuaminisha.
 
Hee kuombea uchumi wa nchi na watu wake"

Nadhani kule kwenye waraka ndiyo kuna maombi ya hii kitu.
 
Hivi unajua ulichoandika kweli wewe? Si bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako?
Kukosa akili ni ugonjwa mbaya kuliko magonjwa yote humu duniani!
 
Hakuna nabii alienda kumkosoa mfalme kipindi cha mfungo .Kipindi cha mfungo walikitumia kwa kuwa mbele za MUngu tu Kuomba yao na kuombea taifa hawakwenda kukosoa.Huo mfungo batili baraza lifute huo waraka umekaa kifarisayo sio wa mfungo wa Kikristo!!
Mkapa ametuletea shida Sana tulio hai
 
Viongozi wa Kikristo wameacha kumhubiri Kikristo wamefunga ndoa na watawala kwa maslai ya kidunia thus madikteta wengi ni Wakristo,means wakristo wanapwaya.Angalau kwa waislamu Mafundisho yanawaingia wanakuwa watu.Uislamu hauchezewi Sana,we check mfano nkurunziza anauwa watu week days jumapili yupo kanisani anaimba kwaya anahubiri akitoka hapo anakwenda uwa watu.Hapa ni kosa la kanisa kufunga ndoa na wadhalimu why wasimfute uumini watu dhalimu warudiao dhambi hizo hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…