TEC: Mipasuko kwenye jamii Husababishwa na Watu fulani kujiona bora zaidi na wako juu ya Katiba na sheria

Na hata tukikupeleka katika kundi hilo jingine ambalo hukulitaja, huko pia utaanza kuchambua, na mwishowe utahitimisha kwamba mfungo sahihi ni ule unaoufunga wewe!

Mantiki inaelekeza hivyo.
 
Mimi naona upo sahihi kabisa kuuudharau waraka huu, huu si waraka wa hadhi na kiwango Cha Kanisa katoliki. Kanisa katoliki Ni Taasisi kubwa mno ukilinganisha na waraka huu ambao umekaa kiuogauoga. Nyakati kama hizi tulitegemea Kanisa katoliki lisimame lioneshe njia, likemee mapepo ya udhulumati hasa wa kisiasa, uobevu na ubaguzi wa kijchumi, mapepo hayo yawatoke watanzania yakawaingie nguruwe yatokomee baharini, liingie hekaluni na kupinduapindua meza za wanaonajisi hekalu la bwana nk. Inakuwaje Kanisa linatoa waraka usiokemea uchafuzi uliopita ambao umebatizwa uchaguzi?!!! Kwa Nini waraka hautaji wazwaz hitajio la lazima la watanzania la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?!!!!! kwa Nini waraka haukemei wazwaz matendo ya kidhalimu tuliofsnyiwa watanzania kwa kuumizwa na Marisas pasipo hatua kuchukuliwa, kutekwa na wengine kuuwawa? Kanisa katoliki limekuwaje jaman?!!!!

Muigeni bas hata Askofu Mwamukula
 
Hiv kwa mfano nikibadilisha muda wa kula, yaan badala ya kula mchana nafunga halafu nakula usiku mzima si nakuwa nimefungaeee?!!!!
Sisi huwa hatufanyi matangazo kama nyie na kushinda na njaa halafu jioni unakuja kufukia balaa
Na vyakula vinapanda bei na kuadimika masokoni sababu watu wanafukia sana
 
Jiwe limekupata uchogoni.....naona unaugulia maumivu.
Ni vyema umepiga kelele ya maumivu nasi tumejua jiwe limempata nani.
 
Muda wao utafika na wao watakuwa watazamaji
Wapinzani wa kuumiza Ili upate furaha awapo ni zamu ya maccm kuumizwa.Kutafuta furaha kupitia machozi ya watu ni level ya juu Sana ya uyahayawani
 
mafarisayo sijui madudu gani. no body gives a flying fuk.
not even politicians. so usijifanye unajua sana dini kuliko vingoz wenye dini zao

kila mtu anajua jinsi anaongea na Mungu wake.
kama huridhishwi na njia za wengine. simple achana nazo.
na narudia tena huna mamlaka na usiwapangie.
 
huyo anataka kukuhamisha kwenye mada. akutoe kwenye focus husika. atakupeleks keenye dini muanze kubishania imani.

mtu mdogo sana huyo.
 
Na
Na nyinyi mnachangia kukumbatia waovu ni WANAFIKI WAKUBWA
 
Mkuu wacha kupoteza calories zako kwa kubishana na huyo vuvuzela la lumumba
 
huyo anataka kukuhamisha kwenye mada. akutoe kwenye focus husika. atakupeleks keenye dini muanze kubishania imani.

mtu mdogo sana huyo.
Ukisha mzoea na kumuelewa akili zake unamdharau
 
Ni ujumbe wa kurasa karibu 30. Humo yamezungumzwa mengi yakiwemo hayo uliyoyasema. Utafute uusome. Ukiuzingatia vizuri hakika Mbinguni kwako itakua Kama Kkoo
 
Umefanya vyema kulitukana.
Hili lijamaa limeshiba dhuluma mpaka limevimbiwa sasa linahemea juu juu tu.
Halijui Dunia inahitaji nini na inakwenda wapi.
Limekuwa kipofu na halisikii, linakashifu mambo muhimu likilinda ujinga tu.
 
Kwani wewe ni nani mpaka uwapangie Maaskofu wasomi kama wale jinsi ya kutenda kazi zao?
 
Mafanikio makubwa ya maendeleo ktk nchi zilizo endelea yalitokana na kuheshimu na kufuata misingi ya katiba walio jiwekea. Utaichukua Tanzania muda mrefu kufikia maendeleo ya kweli viongozi wakiendelea kuwa na mawazo yaumimi, kuvunja katiba(hata hiyo mbovu iliopo), na kutumia raslimali na muda mwingi kukaa vikao vya namna ya kuwashughulikia wenye mawazo tofauti na wao.
 
Jamii iliyo nyamza inawezekana imenyamaza yenyewe ama imenyamazishwa swali fikirishi je athari zake zikoje kuichumi 'Silent society' Silence surrender public responsibilty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…