THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Friends and our Enemies,
Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...
Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.
Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.
Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.
Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??
Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??
Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.