PostGE2025 TEC na Kanisa Katoliki mnasema Serikali hii ni haramu. Kwanini mnaendelea kuvuna mabillion ya fedha kila mwezi kutoka serikalini? Hiyo MoU ivunjwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ngoja tuone USS Ford strike force, wakisogeza zana zao karibu na nchi yako ukiendelea na huu uhuni.
 
Wapuuzi makafiri hawana wanachojua

Washamba washamba wametoka porini huko wanataka kujifanya wanaijua hii nchi

Waasisi wa hiyo muhimbili enzi hizo inaitwa sewahajj hospital ni waislam

Wafadhili wakubwa wa harakati za uhuru wa nchi hii watu kama Jumbe Tambaza hadi anatoa majengo yanafanywa Tambaza high school ni waislam

Hao watu kama aziz ally leo mafala hawajui hata kwa nini panaitwa mtoni kwa aziz ally hao ni madon waislam wakimuweka nyerere town na kumpa maisha wakipigania uhuru wakati kanisa limemfukuza pugu sekondari

Madon kama Abdulwahid sykes,mshume kiyate,bibi titi and the list is going on...TEC toka lini wana uchungu na taifa hili kenge hawa
Sikujua kama wewe ni fala kiasi hiki 😂😂
 
Sikujua kama wewe ni fala kiasi hiki 😂😂
Ndo ujue sasa

Hao tec ni mafa.la tuh

Nyerere mkatoliki mwenzao anakiri kabisa wakristo walimtenga kwenye harakati hadi ualimu akawekewa zengwe pale pugu kisa anashirikiana na waislam kina dosa azizi na abdulwahid sykes wakamchukua na kumpa hifadhi.

Pesa ya kwenda UN nyerere alipewa na waislam TEC wapo na mkoloni

Eti leo fyoko fyoko wanataka kujifanya wao ni wasemaji nchi hii

Washamba wakapige zao punyeto huko
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Sikiliza interview yake mpaja mwisho.

Kasema hawapokei hata 100 ya serikali. Isipokuwa msamaha wa kodi wa 18% pamoja na watumishi wa umma kwenye baadhi ya Hospitali ambazo wana ubia.
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Sio agenda ya Maandamano hiii

Waulize serikali kwanini walishindwa kuwahudumia wanachi wake wakaamua kuwaomba kuingia nao mkataba kuwahudumia wanachi wake
 
Ndo ujue sasa

Hao tec ni mafa.la tuh

Nyerere mkatoliki mwenzao anakiri kabisa wakristo walimtenga kwenye harakati hadi ualimu akawekewa zengwe pale pugu kisa anashirikiana na waislam kina dosa azizi na abdulwahid sykes wakamchukua na kumpa hifadhi.

Pesa ya kwenda UN nyerere alipewa na waislam TEC wapo na mkoloni

Eti leo fyoko fyoko wanataka kujifanya wao ni wasemaji nchi hii

Washamba wakapige zao punyeto huko
Nusu ya huduma za shule, vyuo, hospitali, chakula, watoto wa mtaani ni TEC wanasaidia.
 
Ndo ujue sasa

Hao tec ni mafa.la tuh

Nyerere mkatoliki mwenzao anakiri kabisa wakristo walimtenga kwenye harakati hadi ualimu akawekewa zengwe pale pugu kisa anashirikiana na waislam kina dosa azizi na abdulwahid sykes wakamchukua na kumpa hifadhi.

Pesa ya kwenda UN nyerere alipewa na waislam TEC wapo na mkoloni

Eti leo fyoko fyoko wanataka kujifanya wao ni wasemaji nchi hii

Washamba wakapige zao punyeto huko
Tanzania haina ubaguzi wa kidini kama unavyotaka kuwaaminisha watu humu, tumekuwa na maraisi watatu kati ya sita ambao ni waislam, hizo shule na mahospitali ya wakatoliki yanachukua kila mtu bila kujali dini, mifano na uhalisia ni mwingi sana to disprove your claims lakini tayari una sick agenda kichwani kwako na Wapuuzi wenzako msio na akili, mmeshafeli tayari 👎
 
pole pole serikali yenyewe hiyo unayoiiita kodi fedha karibia yote inatoka nje msaada, na kidogo wanachokusanya majority ya wakatwa kodi wakubwa kama paye ni Christians, Christians ndiyo wanaokatwa kodi kwa wingi kwa maana ndiyo wanaofanya kazi, waarabu hawalipi kodi ndiyo wakwepaji namba moja kwa ujanja ujanja.

sijawahi kusikia islamic country kama irani ikichangia bajeti ya serikali hata siku moja, misaada yote hutoka Christian western countries …
Which Country from the west ni Christian? We unafahamu maana ya CHRISTIAN COUNTRY?
Western country zote USHOGA, USAGAJI, HOMOSEXUAL GAMBLING na machafu yote YALIOKATAZWA NA BIBLIA KWAO NI HALALI NA Yanalindwa na KATIBA ZAO.

Soma kabla hujaja hapa kuandika uharo.
 
sisi tunachotaka TEC na kanisa waache kulitia taifa letu hasara

Tokea 1992 wanavuna mabillion ya pesa zetu za kodi bila ridhaa yetu na huko hospitalini huduma zao bado ni ghali na zinalipiwa

Serikali ielekeze fedha hizo sehemu zingine na kanisa lianze kujitegemea liache kupenda vya bure bure na dezo dezo
Makafiri BILA WIZI hawawezi kuwa hai.
Lazima Watumie mbinu zote duniani ili wapate KUIBA na siku zote RAIS AKIWA MUSLIM wanajambamba ovyo sababu wanajua WIZI WAO uko mwisho

Iko siku itafika tu. Zile kofia zao ndefu zitageuka mitumbwi.
Kelbu wahedi kabisa
 
Ishu hapa sio mifumo ya kiserikali bali uongozi uliopo. Serikali ni wananchi. Kina Samia wakitoka haimaanishi serikali imeisha
 
mnaona mlivyo mbumbumbu??

Kwa kuwa mmejazana huko serikalini mkiiba fedha za umma unadhan serikali inaendeshwa na PAYE??

WALIPA KODI WAKUBWA WA SERIKALI HII NI SEKTA BINAFSI WAKIWEMO WAFANYA BIASHARA NA HUKO WAISLAM NDIKO WAMEJAA KWA TAARIFA YAKO

KANISA LIMEKAA HAPO KUFUJA MABILLION YA FEDHA ZA UMMA HUKU HUDUMA ZENYEWE BADO WATU WANAZILIPIA KAMA SIYO WIZI TUITE NINI.
Naomba unitajie Hospitali au shule moja tu chini ya BAKWATA inagoa Ilimu Dunya Bura kabisa Bira Malipo!??
 
hakuna mwarabu anayelipa kodi, tafuta takwimu za serikali, kodi kubwa inatoka mining, utalii, mashirika kama tbl, sigara, banking kama crdb, nmb, lkn hakuna gsm, caspian au sijui asas wote hawalipi kodi kazi yao madili tu mara sukari wanatengeneza wizi lkn hawalipi kodi hata tu sijawahi kuona lake oil kwenye orodha ya walipa kodi na ndiyo maana wamepora bandari zetu waendeleze uchuuzi bila ya malipo yoyote halali.

wachangiaji wakubwa kwa ujumla ni Christians …
Halafu ukute baba Kijakazi kaajiiwa na AZAM na Mama Kijakazi kaajiriwa na Oil com kupima mafuta. Halafu leo anawatukana waarabu.
Teh teh teh.
Enyi wagalatia msiokuwa na akij je ni nani aliyewaroga?
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Hivi ninyi wavaa makobazi mnaongea nini? Mnadanganywa na hao masheikh wenu ubwabwa. TEC hawahusiki na bandari, bandari ilikuwa serikalini hadi mlipoamua kuwapa wavaa kanzu na wakoloni wa kiarabu. TEC wana hospitali nyingi pamoja na kubinafsishwa nyingine nyingi, lakini bado wanasaidia wananchi aidha bure au kwa gharama ndogo sana kulinganisha na hospitali za binafsi au kwa huduma nzuri kushinda za serikali. Wewe huelewi hata unachoongea, Hospitali za RC zilikuwa designated kama hospitali za wilaya kwa hiyo madaktari wakawa wanalipwa na serikali....Hiyo MOU unaelewa inavyosema? Ndiyo hii serikali ni haramu kwani ni siri? Samia hakushinda, kwani ni siri.....Pamoja na kuua watu wengi hasa vijana, bado aliiba kura karibu zote, watu walitiki kura kuanzia usiku hadi asubuhi. Mnataka ushahidi gani zaidi?
 
pole pole serikali yenyewe hiyo unayoiiita kodi fedha karibia yote inatoka nje msaada, na kidogo wanachokusanya majority ya wakatwa kodi wakubwa kama paye ni Christians, Christians ndiyo wanaokatwa kodi kwa wingi kwa maana ndiyo wanaofanya kazi, waarabu hawalipi kodi ndiyo wakwepaji namba moja kwa ujanja ujanja.

sijawahi kusikia islamic country kama irani ikichangia bajeti ya serikali hata siku moja, misaada yote hutoka Christian western countries …
Ungeweza kuandika hoja yako bila kuweka udini. Hiyo takwimu ya kusema Christians ndo walipa kodi wakubwa umeitoa wapi? Unajua Mo Dewji peke yake anachangia zaidi ya 2% ya GDP ya nchi? Acha udini wa kipumbavu.
 
kuwait fund ilitoa fedha miaka hiyo iende ikajenge miundombinu ya bara bara kusini enzi za waziri nangwanda sijaona

TEC NA KANISA KATOLIKI WAKAFANYA HILA NA WATUMISHI WASIO WAAMINIFU WASOMI WAO HAO WA TEC ZILE FEDHA WAKAKIMBIZIA MWANZA KUJENGA BUGANDO HOSPITAL

HAWA JAMAA NI DISGRACE SANA KWA TAIFA HILI
Wewe kumbe ni mpumbavu hivi unajua Bugando ilijengwa na nani na kwa Madbumuni hapi hadi ikajengwa!?? Na haikiwa Bugando ni pamoja Na Rugambwa Girls leo imekuwa shule ya GvT
 
Back
Top Bottom