PostGE2025 TEC na Kanisa Katoliki mnasema Serikali hii ni haramu. Kwanini mnaendelea kuvuna mabillion ya fedha kila mwezi kutoka serikalini? Hiyo MoU ivunjwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani MOU waliiomba wao? Nyie na makobazi yenu so ndio mnajipeleka kutibiwa na kusoma kwenye taasisi zao? Mnawadai? Walichukua chenu kutoka wapi? Uvivu tu na kutafuta sababu ya kulaumu. Victim mentality ya kitoto.
Unatumia hasira badala ya akili

Mou ilisainiwa 1992 baina ya kanisa TEK na CCP wakiwakilishwa na wilbroad slaa na serikali ikiwakilishwa na lowasa makanisa yakiomba msaada huo kutoka serikalini.

Tokea lini serikali ikaomba msaada kwa kanisa
 
Wewe kumbe ni mpumbavu hivi unajua Bugando ilijengwa na nani na kwa Madbumuni hapi hadi ikajengwa!?? Na haikiwa Bugando ni pamoja Na Rugambwa Girls leo imekuwa shule ya GvT
Bugando imejengwa na fedha za msaada wa kuwait fund ambao ilipaswa kwenda kujenga miundombinu ya barabara kusini

TEC ikafanya lobying hiyo fedha ikaenda kujenga bugando

Taarifa hizi huwezi kuzipata huko kanisani
 
Sasa kama wana hospital 400 waziendeshe wenyewe sasa

Iweje watake msaada wa kulipiwa mishahara na kununuliwa dawa kama wao wanajiweza??

Ni watu wajinga wajingq tuh na wapenda vitu vya bure,na ndiyo maana hapo bandarini wamepigwa pini
Wewe ulikimbia umande kazi yako kuchukua wasomi
 
Waendeshe nchi gani mbwa hao??

Bandari wanalia kila siku kisa wamebanwa mianya yao ya magendo na kupitisha vitu kwa dezo dezo na mtelezo.?

Hadi kwenye sakata la Escrow Kanisa lilipokea mgao wa fedha haramu leo wanataka kutueleza nini.
Weka hapa akaunti ya kanisa iliyopokea mgao wa Escrow, umejaaa wivu tu
 
Hivi ninyi wavaa makobazi mnaongea nini? Mnadanganywa na hao masheikh wenu ubwabwa. TEC hawahusiki na bandari, bandari ilikuwa serikalini hadi mlipoamua kuwapa wavaa kanzu na wakoloni wa kiarabu. TEC wana hospitali nyingi pamoja na kubinafsishwa nyingine nyingi, lakini bado wanasaidia wananchi aidha bure au kwa gharama ndogo sana kulinganisha na hospitali za binafsi au kwa huduma nzuri kushinda za serikali. Wewe huelewi hata unachoongea, Hospitali za RC zilikuwa designated kama hospitali za wilaya kwa hiyo madaktari wakawa wanalipwa na serikali....Hiyo MOU unaelewa inavyosema? Ndiyo hii serikali ni haramu kwani ni siri? Samia hakushinda, kwani ni siri.....Pamoja na kuua watu wengi hasa vijana, bado aliiba kura karibu zote, watu walitiki kura kuanzia usiku hadi asubuhi. Mnataka ushahidi gani zaidi?
TEC na CCP wanavuna mabillion ya fedha zetu walipakodi kwa sababu zisizo za msingi

Waendeshe hospitals zao wenyewe kwa gharama zao kwa sababu mtanzania anapoenda kwenye hizo hospitals analipia hizo huduma.

TEC walishazoea kupitisha vitu vya bure bure na magendo hapo bandarini...kupewa DP World ni kisu kwenye mfupa kwa wapenda dezo kama TEC
 
Baada ya kufanya study kubwa kuhusiana na machapisho yako nimegundua na kujiridhisha pasipo shaka kuwa umejengewa chuki kubwa sana dhidi ya wakatoliki.
Una wivu mkubwa sana na ustawi wa taasisi za Kikatoliki.
Ni mhanga wa mfumo uliokujenga kuwa matatizo yako kijamii, kiroho, na kiuchumi yamesababishwa na wakatoliki.
Unatamani taasisi zote za Kikatoliki zingekuwa za kiislam na hapo ndipo dhana ya kuwa the hatred forged in you against TEC reflects how you Muslims of Bongo would like to be!
Mnapenda sana kuwa kama TEC lakini haiwezekani.
Tulieni wenzenu washughulike na ustawi wa jamii kimwili na kiroho na nyie shughulikieni ya ahera
Hata mie hutafsiri exactly unavyowaza. badala ya kuwa na envy nao wabadirike, wanataka kupiga vita ili Katoliki iwe kama wao, TEC ni watu wenye elimu ya hali ya juu na kujitambua.
 
TEC na CCP wanavuna mabillion ya fedha zetu walipakodi kwa sababu zisizo za msingi

Waendeshe hospitals zao wenyewe kwa gharama zao kwa sababu mtanzania anapoenda kwenye hizo hospitals analipia hizo huduma.

TEC walishazoea kupitisha vitu vya bure bure na magendo hapo bandarini...kupewa DP World ni kisu kwenye mfupa kwa wapenda dezo kama TEC
Wachukue na shule zao, sijui kama serikali itabaki na shule za maana, Shule zote za maana za serikali ni za kikristo zilizotaifishwa na Nyerere wakati nchi zingine hazikutaifishwa.....Ngoje nikuulize wewe.....Shule gani ya kiislaam ilitaifishwa? Hospital gani ya kiislaam ilitaifishwa? Taja angalau moja wewe fala!
Nashangaa chuo cha waislaam Morogoro mmepewa na serikali ya Mkapa, yaani kila kitu kupewa....Akili hamna, mnachojua ni kuosha matak* shenzi nyie. Rudisheni chuo chetu cha Tanesco, mjitahidi mjenge chuo chenu wenyewe siyo mnategemea vya kupewa kupe nyie. Mnaona sifa misitu yetu na bandari zetu zikipewa hao wavaa kanzu wanaoleta matatizo hata katika nchi za waislaam wenzenu? Watu wanauana Sudan kwa sababu ya tamaa ya hao wavaa kanzu na makobazi wa UAE. Nawasifu sana waisrael ingawa siwapendi, kwa kuwatandika hao makobazi.
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Wewe ni true DEFINITION ya BRAIN 🧠 DYSFUNCTION (BRAIN DAMAGE)

unatuandikia matango porii kusanyikeni / kusanya watoto wadogo wa madrasa uwape huu upupu wako..
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Kama ipo hiyo MOU waivunje TEC hawahitaji hela zenu. Wanajimudu kwa 101%
 
Mnakaribia kuchanganyikiwa
 
mnaona mlivyo mbumbumbu??

Kwa kuwa mmejazana huko serikalini mkiiba fedha za umma unadhan serikali inaendeshwa na PAYE??

WALIPA KODI WAKUBWA WA SERIKALI HII NI SEKTA BINAFSI WAKIWEMO WAFANYA BIASHARA NA HUKO WAISLAM NDIKO WAMEJAA KWA TAARIFA YAKO

KANISA LIMEKAA HAPO KUFUJA MABILLION YA FEDHA ZA UMMA HUKU HUDUMA ZENYEWE BADO WATU WANAZILIPIA KAMA SIYO WIZI TUITE NINI.
Kwani wafanyabiashara wanalipa kodi kwa niaba ya jumuiya ya waislamu? Kuna mda ukinyamaza unaficha ujinga mkubwa. Tutaona mengi mwaka huu.
Huo mda ungesoma juzuu kujisogeza karibu na Allah
 
Haya ni mambo ambayo mnafundishana baada ya swala ya ijumaa
Una mimba iliokomaa subiri desemba 25 ujifungue
 
kuwait fund ilitoa fedha miaka hiyo iende ikajenge miundombinu ya bara bara kusini enzi za waziri nangwanda sijaona

TEC NA KANISA KATOLIKI WAKAFANYA HILA NA WATUMISHI WASIO WAAMINIFU WASOMI WAO HAO WA TEC ZILE FEDHA WAKAKIMBIZIA MWANZA KUJENGA BUGANDO HOSPITAL

HAWA JAMAA NI DISGRACE SANA KWA TAIFA HILI
Kwa hiyo nani aliyeijenga Bugando? Unajua ile contract walipewa kina nani? Usilolijua usilizungumze haya tuambie Bugando ilianza kujengwa lini na kwa nini mchoro wake hadi leo haukukamilika?
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Ni muhimu kutofautisha serikali na taifa.
Serikali ni kikundi cha watu wenye madaraka ya kuongoza nchi kwa wakati fulani. Serikali hufanya maamuzi kwa niaba ya wananchi.
Taifa ni wananchi.
Pesa ni za wananchi (taifa) na siyo za serikali.
 
Kwa hiyo nani aliyeijenga Bugando? Unajua ile contract walipewa kina nani? Usilolijua usilizungumze haya tuambie Bugando ilianza kujengwa lini na kwa nini mchoro wake hadi leo haukukamilika?
Hili ni Fala mkuu lakuachana nalo tu
 
TEC na CCP wanavuna mabillion ya fedha zetu walipakodi kwa sababu zisizo za msingi

Waendeshe hospitals zao wenyewe kwa gharama zao kwa sababu mtanzania anapoenda kwenye hizo hospitals analipia hizo huduma.

TEC walishazoea kupitisha vitu vya bure bure na magendo hapo bandarini...kupewa DP World ni kisu kwenye mfupa kwa wapenda dezo kama TEC
Hoja zako zinaonesha wewe na Sheikh ubwabwa mna akili moja.
Kwani kazi ya Dp world ni kutoa misamaha ya Kodi?
Unajua namna port inafanya kazi kwa kushirikiana na mamlaka mbalimbali za Udhibiti?
DP world kazi yao ni upakuzi na upakiaji TRA inafanya kila kitu kwa niaba ya serikali.
Achana na stori za vijiwe vya wakata vichwa!
 
Baba yangu ni mwislamu,mama yangu ni mkristo,hvyo mimi ni hybrid,katika kuishi kwangu hapa duniani nimegundua waislamu wengi ni empty set sana
 
Back
Top Bottom