PostGE2025 TEC na Kanisa Katoliki mnasema Serikali hii ni haramu. Kwanini mnaendelea kuvuna mabillion ya fedha kila mwezi kutoka serikalini? Hiyo MoU ivunjwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Sawa tumekusikia....na kwenye bandari mlisema TEC wanafanya nini?

Onyesheni hayo mabilioni inayovuna....kwa taarifa yako kwenye mavuno jimbo la Dar pekee zimekusanywa 5B na ushee....ukijumlisha na mikoa mingine unapata ngapi? Hayo ni mavuno tu....kuna kumbi? Logdes nk...onyesheni hayo mabilioni yanayotoka serikalini
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.

Kama sisiemu inavyovuna wala usijali wote watanzania
 
Ndo ujue sasa

Hao tec ni mafa.la tuh

Nyerere mkatoliki mwenzao anakiri kabisa wakristo walimtenga kwenye harakati hadi ualimu akawekewa zengwe pale pugu kisa anashirikiana na waislam kina dosa azizi na abdulwahid sykes wakamchukua na kumpa hifadhi.

Pesa ya kwenda UN nyerere alipewa na waislam TEC wapo na mkoloni

Eti leo fyoko fyoko wanataka kujifanya wao ni wasemaji nchi hii

Washamba wakapige zao punyeto huko
Waislam wenyewe walishindwa kwenda UN? Ilikuaje mpaka akaenda nyerere...maana hii pia inaonyeaha jinsi mlivyokuwa viazi tangu kabla ya uhuru
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Leo hii topic “debunked” na Padre Kitima. Hamna cha MoU, serikali ilichukua shule 1500. Wakaahidiwa kusamehewa baadhi ya kodi. Shule 1500. Think about it.

Nyie mlikua na shule ngapi?

Na kasema wala hawahitaji hiyo fadhila
 
MOU ipo na inafahamika labda wewe haufaham.

Hakuna unafuu wowote ambao serikali inapata kwenye mou.

Common sense inatakiwa ikupe maarifa tuh kuwa aliekwenda kwa mwenzake kupiga magoti ya kuomba msaada ni kanisa na siyo serikali.

Kanisa bila maisha ya dezo dezo kama sadaka na misaada halina uwezo wa kusimama lenyewe
Debunked, full stop
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.

Hiyo propaganda ya kijinga na Father Kitima tayari kaitolea ufafanuzi. Kanisa linapata misamaha ya kodi sawa na makanisa mengine na madhehebu ya kiislam.

Nchi hii matajiri wengi wakubwa ni waislamu. Wanatenga misikiti badala ya shule au hospital.

Badala ya kusema mabilioni. Tuambie kweye hii bajeti serikali itaililipa kanisa Tshs ngapi? Don't generalize it in a verge language.
 
Wapuuzi makafiri hawana wanachojua

Washamba washamba wametoka porini huko wanataka kujifanya wanaijua hii nchi

Waasisi wa hiyo muhimbili enzi hizo inaitwa sewahajj hospital ni waislam

Wafadhili wakubwa wa harakati za uhuru wa nchi hii watu kama Jumbe Tambaza hadi anatoa majengo yanafanywa Tambaza high school ni waislam

Hao watu kama aziz ally leo mafala hawajui hata kwa nini panaitwa mtoni kwa aziz ally hao ni madon waislam wakimuweka nyerere town na kumpa maisha wakipigania uhuru wakati kanisa limemfukuza pugu sekondari

Madon kama Abdulwahid sykes,mshume kiyate,bibi titi and the list is going on...TEC toka lini wana uchungu na taifa hili kenge hawa

Uzuri GenZ hawajui hayo. Pia hayo yote hayahalalishi yaliyotokea MO29.
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Ivunjwe ili wewe usaini nao MOU
 
Vinjeni tu tuchukue hospital zetu tutibu wakristo tuone jinsi waislam mtavoanguka kama kuku wa mdondo
 
pole pole serikali yenyewe hiyo unayoiiita kodi fedha karibia yote inatoka nje msaada, na kidogo wanachokusanya majority ya wakatwa kodi wakubwa kama paye ni Christians, Christians ndiyo wanaokatwa kodi kwa wingi kwa maana ndiyo wanaofanya kazi, waarabu hawalipi kodi ndiyo wakwepaji namba moja kwa ujanja ujanja.

sijawahi kusikia islamic country kama irani ikichangia bajeti ya serikali hata siku moja, misaada yote hutoka Christian western countries …
Tuwekee top 10 ya walipa Kodi wakubwa Tanzania.
 
Upumbavu mwingine aisee is beyond repair, sasa wewe fala!

Unaweza lalamika Kwa Nini mkeo anayekusaliti anapokea fedha zako? Kwa Nini unampa? Probably sababu anakulelea wanao?????
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Baada ya kufanya study kubwa kuhusiana na machapisho yako nimegundua na kujiridhisha pasipo shaka kuwa umejengewa chuki kubwa sana dhidi ya wakatoliki.
Una wivu mkubwa sana na ustawi wa taasisi za Kikatoliki.
Ni mhanga wa mfumo uliokujenga kuwa matatizo yako kijamii, kiroho, na kiuchumi yamesababishwa na wakatoliki.
Unatamani taasisi zote za Kikatoliki zingekuwa za kiislam na hapo ndipo dhana ya kuwa the hatred forged in you against TEC reflects how you Muslims of Bongo would like to be!
Mnapenda sana kuwa kama TEC lakini haiwezekani.
Tulieni wenzenu washughulike na ustawi wa jamii kimwili na kiroho na nyie shughulikieni ya ahera
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
huwez judgeTEC kwa kutumia historia uchwara
Mbona huna facts, husemi wanafaidikaje kwa kiasi gani?

na ina uhusiano gani ?

Maneneo menginfacts hamna
 
Friends and our Enemies,

Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...

Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.

Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.

Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.

Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??

Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??

Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Kwani MOU waliiomba wao? Nyie na makobazi yenu so ndio mnajipeleka kutibiwa na kusoma kwenye taasisi zao? Mnawadai? Walichukua chenu kutoka wapi? Uvivu tu na kutafuta sababu ya kulaumu. Victim mentality ya kitoto.
 
Sikiliza interview yake mpaja mwisho.

Kasema hawapokei hata 100 ya serikali. Isipokuwa msamaha wa kodi wa 18% pamoja na watumishi wa umma kwenye baadhi ya Hospitali ambazo wana ubia.
Wanachukua zaidi ya Billion 30 kwa mwaka hao kenge

Na hizo ni fedha zetu za kodi
 
Back
Top Bottom