Unajua hiyo MoU inahusu nini? Without data, you have no authority to speak.Serikali isitishe hiyo MOU ili waanze kuishi kwa kujitegemea

Bila shaka na kile chuo chetu kilichokuwa cha TANESCO cha Morogoro kirudishwe Serikalini.Friends and our Enemies,
Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...
Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.
Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.
Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.
Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??
Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??
Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Mtafute mtu mwenye CPA ataweza kukufafanulia utaelewa. Ila kwa namna umeandika sidhani kama utaweza elewa, kama unaamini kwamba serikali inatoa pesa kulipatia kanisa kama kuhonga au zawadi then una uaibisha ukoo wako kwasababu ya kukosa maarifa ya uhasibu. Aibu ndogo ndogo kama hizi huwa zinafichwa kwa kuuliza wanaojua wakufahamishe na sio kuja na hoja ambayo kesho ukipelekwa mahakamani ujibu unabakia kuomba msamaha.Fedha zetu kwanini ziende kanisani??
Wao kama wanajua kujenga hospitals ni gharama kuhudumia why wajenge kisha wategemee msaada wa serikali??
Naona leo umekula Maharage ya jana ndiyo maana unatoa UHARO mtupu mbwa wewe!!.Friends and our Enemies,
Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...
Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.
Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.
Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.
Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??
Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??
Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Unasemaje mkuu? Nafikiri hao matajiri unawataja tu ila uhalisia wao na biashara zao huujui kabisa.Ungeweza kuandika hoja yako bila kuweka udini. Hiyo takwimu ya kusema Christians ndo walipa kodi wakubwa umeitoa wapi? Unajua Mo Dewji peke yake anachangia zaidi ya 2% ya GDP ya nchi? Acha udini wa kipumbavu.
Mimi TEC huwa wala sipotezinmuda kujadili chochote kile wanachofanya,huwa nawatazama tu na pia huwa siwachukii,kwani ni binadamu kama mimiFriends and our Enemies,
Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...
Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.
Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.
Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.
Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??
Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??
Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Weka hapa akaunti ya kanisa iliyopokea mgao wa Escrow, umejaaa wivu tu
Hoja zako zinaonesha wewe na Sheikh ubwabwa mna akili moja.
Kwani kazi ya Dp world ni kutoa misamaha ya Kodi?
Unajua namna port inafanya kazi kwa kushirikiana na mamlaka mbalimbali za Udhibiti?
DP world kazi yao ni upakuzi na upakiaji TRA inafanya kila kitu kwa niaba ya serikali.
Achana na stori za vijiwe vya wakata vichwa!
Nilishangaa Imaan TV inajadili kuhusu hospital za wakatoliki lakini wao hawana hata hospitali hata moja nchi😀😀😀Friends and our Enemies,
Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa.
TEC na KANISA KATOLIKI...
Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya kazi,kununua dawa na kusomesha wanafunzi wao katika ngazi mbali mbali.
Ikumbukwe mwaka huo 1992 katibu mkuu wa TEC akiwa ni Wilbroad Slaa walifanya lobying hiyo ambayo hadi hivi sasa imepelekea kufujwa kwa mabillion ya fedha zetu za kodi tena bila ridhaa yetu kwenda kugharamia huduma ambazo hata hivyo wagonjwa wakienda huko kwenye hospitals zao bado wanazilipia.
Kwa ufupi TEC ni watu wapenda penda dezo na vitu vya bure ndani ya nchi hii huku wakijinasibu kuwa wao ni watu wa daraja la juu kumbe sivyo uhalisia ulivyo.
Sasa kwa kuwa TEC na KANISA KATOLIKI wanasema serikali hii ni haramu huku wakiungana na washirika wenzao CHADEMA na wanaharakati ndani na nje ya nchi je kwanini wanaendelea kuvuna mabillion ya fedha kutoka kwa serikali hii ambayo wao wanasema ni haramu??
Wito wetu kwa serikali ni kwamba,inatosha sasa TEC ni nyinyi wenyewe mmekichonga na tunashangazwa sana iweje kinyago hiki kiwatishe??
Ombi letu huu ni muda muafaka wa kuifuta hiyo MOU waanze kujitegemea wenyewe kama mlivyowafukuza kule bandarini.
Wivu niwaonee hao wavaa magauni??