Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Aligeuza ibada kuwa ukumbi wa mikutano ya ccmUngemuuliza Magufuli kwanini alikuwa anaongozana na viongozi wa dini kwenye mikutano yake.
Kwani maiti inasema ?Ungemuuliza Magufuli kwanini alikuwa anaongozana na viongozi wa dini kwenye mikutano yake.
Wewe mwenye akili kazi ya madhehebu ni kutangaza habari za kimungu au kujishughulisha na harakati za kisiasa ?Tatizo lako huna akili ndiyo maana hujui kazi za madhehebu ya dini zetu hapa duniani
Kwa nini unataka mashindano ya Simba na Yanga yawe katika uzi huu ? Kuuliza TEC unataka niulize na Bakwata kwa nini hilo usifanye wewe kwenye uzi wako ?Mbona hauulizi Bakwata?
Faiza. Kanisa lina uzoefu wa zaidi ya miaka 1000 pale wanapokaa kimya hali mbaya ikajitokeza. Vita ikijikeza watu hukimbilia kanisani tena kanisa katoliki. Hivyo wameamua kutosubiri kipokea wakimbizi bali kuzuia hali mbaya kwa gharama yeyote ile.Huelewi wabarikiwa wanavyokuwa kimbelembele kila sehemu?
Kitu cha kwanza ambacho wabarikiwa wanaondolewa ni haya, hawana haya hao wala hawajuwi vibaya.
Wewe mwenye akili kazi ya madhehebu ni kutangaza habari za kimungu au kujishughulisha na harakati za kisiasa ?
Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile ?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea ?
Tec Sio Bakwata...Bakwata ni ChawaNafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile ?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea ?
Sema siku hizi umekua mpole, sijui na umri unachangiaHuelewi wabarikiwa wanavyokuwa kimbelembele kila sehemu?
Kitu cha kwanza ambacho wabarikiwa wanaondolewa ni haya, hawana haya hao wala hawajuwi vibaya.
Unafanya nini sasa hapa kwenye swali la kijinga ?Swali la kijinga.
Kwani kuna ulazima wa wao kuhusika ?Mbona hata mambo ya kijamii wanahusika?. Bugando, SAUT etc